Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo avikumbusha vyombo vya habari kuwa kutumia uvumi kama habari rasmi ni kukiuka sheria

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo avikumbusha vyombo vya habari kuwa kutumia uvumi kama habari rasmi ni kukiuka sheria

Zikiwa zile zinazowahusu wao ndiyo makatazo na vitisho zikiwa ni zile zisizowahusu wala hutaona wakisema chochote cha kukemea
Sasa wamemzushia Mrema wa Chadema kifo. Mrema kajitokeza hadharani yuko gado. Haya tuonyesheni rais wetu kipenzi cha Watanzania. Alie chaguliwa na Watanzania wote kwa kura nyingi yeye na wabunge wa CCM na madiwani wa CCM.
 
I cement that kabisaaaa maana watu wamekalia umbea tuuu , oo flani anaumwa ooh flani kafa , turudi kwenye misingi yetu ya zamani ya utu ifike mahali usifurahie mwenzio akipata matatizo hata kama ni kweli. Enzi za mwalimu haikuwa hivi tubadilike
Hata mm nashangaa watanzania tumefika hapa .Ila cha kujiuliza ni nani katufikisha hapa kwenye chuki ya nanma hii maana kuna kundi linafurahi matatizo ya watu.Tuendako ndo kubaya zaidi itafika mahara hata kutumiwa na maadui ni rahisi maana hatuna upendo tena.
 
Uvumi unasababishwa na wanao kataa kutoa habari wakati tunajua wanazo. Inabidi mjue kuwa hii ni enzi ya digitali huwezi kuficha kitu
 
Sasa wamemzushia Mrema wa Chadema kifo. Mrema kajitokeza hadharani yuko gado. Haya tuonyesheni rais wetu kipenzi cha Watanzania. Alie chaguliwa na Watanzania wote kwa kura nyingi yeye na wabunge wa Ccm na madiwani wa Ccm
Huyo Mrema nani anamjua hadi azushiwe kifo?
 
I cement that kabisaaaa maana watu wamekalia umbea tuuu , oo flani anaumwa ooh flani kafa , turudi kwenye misingi yetu ya zamani ya utu ifike mahali usifurahie mwenzio akipata matatizo hata kama ni kweli. Enzi za mwalimu haikuwa hivi tubadili
Mwalimu hakuwa mbinafsi, muuaji, fisadi na alikuwa na utu. Ukiona watu wanasherekea ujue wana maumivu ya siku nyingi miyini. Mfano wizi wa kura, hali ngumu ya maisha nk.
 
I cement that kabisaaaa maana watu wamekalia umbea tuuu , oo flani anaumwa ooh flani kafa , turudi kwenye misingi yetu ya zamani ya utu ifike mahali usifurahie mwenzio akipata matatizo hata kama ni kweli. Enzi za mwalimu haikuwa hivi tubadilike
Ukiona hali inafikia hivyo ujue kuna mahali fulani kuna shida na ni kikundi cha watu au mtu fulani ndio aliyechochea haya mambo na kutuondoa kwenye umoja wetu tuliokuwa nao tangu enzi za mwalimu. Tafakari!
 
WANAOZUSHIA WATU VIFO MITANDAONI KUKIONA.
Waziri wa Habari Innocent Bashungwa ameonya juu ya kasumba iliyoibuka ya baadhi ya watu kutoa taarifa za uongo katika mitandao ya Kijamii na kuzua taharuki.
Kauli ya Waziri huyo imekuja muda mchache baada ya kuzushiwa kifo Mkurugenzi wa Itifaki,Mawasiliano,na mambo ya nje wa CHADEMA,John Mrema.
 
Watawala wanaminya mianya yote ya taarifa kupatikana, wapinzani wanafanya kinyume chake. Twetter inapatikana bila vpn?.
 
I cement that kabisaaaa maana watu wamekalia umbea tuuu , oo flani anaumwa ooh flani kafa , turudi kwenye misingi yetu ya zamani ya utu ifike mahali usifurahie mwenzio akipata matatizo hata kama ni kweli. Enzi za mwalimu haikuwa hivi tubadilike
Mabadiliko yaanzie hukohuko juu kwanza.......
 
Ukiona hali inafikia hivyo ujue kuna mahali fulani kuna shida na ni kikundi cha watu au mtu fulani ndio aliyechochea haya mambo na kutuondoa kwenye umoja wetu tuliokuwa nao tangu enzi za mwalimu. Tafakari!
Wakitaka nchi irudi kwenye upendo, Ccm irudishe majimbo/kata zote walizo iba. Pia mgonjwa hakushinda. Mungu hadhihakiwi.
 
I cement that kabisaaaa maana watu wamekalia umbea tuuu , oo flani anaumwa ooh flani kafa , turudi kwenye misingi yetu ya zamani ya utu ifike mahali usifurahie mwenzio akipata matatizo hata kama ni kweli. Enzi za mwalimu haikuwa hivi tubadilike
Panya wasumbufu sana wakianza kuchakura ukiamka kimya ukirudi kulala wanaanza tena. Ila paka akiingia tu...
Ila ndivyo panya walivyoumbwa kuchakura kawaida kwao
 
Back
Top Bottom