Watawala wa awamu ya tano ndio wametufikisha kwenye hii chuki, hulijui hilo?I cement that kabisaaaa maana watu wamekalia umbea tuuu , oo flani anaumwa ooh flani kafa , turudi kwenye misingi yetu ya zamani ya utu ifike mahali usifurahie mwenzio akipata matatizo hata kama ni kweli. Enzi za mwalimu haikuwa hivi tubadilike
Wacha kuropoka wewe. JPM ubinafsi wake upo wapi? Kamuua nani? Ufisadi gani anao? Mmekalia wivu tu wakati kazi hamuwezi. Hali ngumu inakuhusu wewe.Mwalimu hakuwa mbinafsi, muuaji, fisadi na alikuwa na utu. Ukiona watu wanasherekea ujue wana maumivu ya siku nyingi miyini. Mfano wizi wa kura, hali ngumu ya maisha nk.
Serekali itakapoacha kufichaficha mambo, uzushi utakoma hapo hapo. Vinginevyo, hakuna namna ni uzushi tu kwa kwenda mbele!!Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa vyombo vya habari kuendelea kutoa taarifa zinazotolewa kwenye vyanzo rasmi na kuepuka kutumia uvumi/rumours, kwani kitendo hicho ni kukiuka sheria na kitapelekea vyombo hivyo kuwajibika. Waziri Innocent amesema hayo kupitia ukurusa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter.
"Natoa wito kwa wanahabari na wananchi wetu kuendelea na utaratibu wa kupata taarifa kupitia vyanzo rasmi vya habari. Kutumia rumours/uvumi kama habari rasmi ni kukiuka sheria zinazosimamia sekta ya habari. Epukeni kusambaza habari ambazo mtawajibika nazo."
Si kila uvuni hujibiwa ila nawasifu nitaani uswahilini ukileta uvumi au umbeya mtaa utafungwa utaletewa hadi ngona ya kukusuta na utapata hadi kipigo cha uhakika huki polisi wakiangalia tu bila kuingilia katiAngetumia nafasi hiyo kukanusha huo uvumi nakueleza ukweli bila hivyo uvumi utaendelea, ile kitu ni kama njaa haina baunza jombaaa!!
Ugonjwa sio tangazo la biashara ni siri kati ya mgonjwa na daktari wewe ukiumwa huwa ubatoa tangazo mtaani kuwa una kipindupindu au ukimwi?Serekali itakapoacha kufichaficha mambo, uzushi utakoma hapo hapo. Vinginevyo, hakuna namna ni uzushi tu kwa kwenda mbele!!
Kama wamefinya vyombo official vya habari wakiamini watatuacha gizani, imekula kwao...Internet raha sana.
"Uvumi" ndio umeenea, na hakuna hata Media house moja responsible.
Wanashindana kutufokea.Baraza zima la mawaziri limegeuzwa kuwa madispline masters wa zile shule za boarding za miaka ya 90
Wao kila kukicha wanakuja kutuonya kana kwamba sisi ni watoto wao
Ukiona mtoto anamuombea baba yake mabaya usimlaumu,anza kuchunguza mapenzi ya baba kwa mwanae,akipandacho mtu ndicho avunacho.I cement that kabisaaaa maana watu wamekalia umbea tuuu , oo flani anaumwa ooh flani kafa , turudi kwenye misingi yetu ya zamani ya utu ifike mahali usifurahie mwenzio akipata matatizo hata kama ni kweli. Enzi za mwalimu haikuwa hivi tubadilike
Uongo ukiuachia uenee hugeuka kuwa ukweli. Sasa kuna wengine wamepiga kambi humu kusubiria huo ukweli!!Watupe sasa habari rasmi,kama hawatoi nasisi tunaendelea na huohuo uvumi mpaka wimbo wa taifa utakapopigwa
Hivi mbona wewe meza yako ya kazi haina hata penseli! Inamaana unafanyakazi kwa kupitia mitandao! Waziri hatakiwi kushinda mitandao ni ili apate jambo la kulikemea.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa vyombo vya habari kuendelea kutoa taarifa zinazotolewa kwenye vyanzo rasmi na kuepuka kutumia uvumi/rumours, kwani kitendo hicho ni kukiuka sheria na kitapelekea vyombo hivyo kuwajibika. Waziri Innocent amesema hayo kupitia ukurusa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter.
"Natoa wito kwa wanahabari na wananchi wetu kuendelea na utaratibu wa kupata taarifa kupitia vyanzo rasmi vya habari. Kutumia rumours/uvumi kama habari rasmi ni kukiuka sheria zinazosimamia sekta ya habari. Epukeni kusambaza habari ambazo mtawajibika nazo."
This time We've very hopeless Minister for that docket.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa vyombo vya habari kuendelea kutoa taarifa zinazotolewa kwenye vyanzo rasmi na kuepuka kutumia uvumi/rumours, kwani kitendo hicho ni kukiuka sheria na kitapelekea vyombo hivyo kuwajibika. Waziri Innocent amesema hayo kupitia ukurusa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter.
"Natoa wito kwa wanahabari na wananchi wetu kuendelea na utaratibu wa kupata taarifa kupitia vyanzo rasmi vya habari. Kutumia rumours/uvumi kama habari rasmi ni kukiuka sheria zinazosimamia sekta ya habari. Epukeni kusambaza habari ambazo mtawajibika nazo."
Uongo utabaki uongo tu hiyo theory sio kweli kuwa uongo hugeuka ukweliUongo ukiuachia uenee hugeuka kuwa ukweli. Sasa kuna wengine wamepiga kambi humu kusubiria huo ukweli!!
Kamfufue huyo Mungu wakoWacha kuropoka wewe. JPM ubinafsi wake upo wapi? Kamuua nani? Ufisadi gani anao? Mmekalia wivu tu wakati kazi hamuwezi. Hali ngumu inakuhusu wewe.
Wakafunga na Twitter... tunaishi kwenye VPN hamna nomaKama wamefinya vyombo official vya habari wakiamini watatuacha gizani, imekula kwao...
Wacha tupate habari toka vyanzo visivyo rasmi ambapo impact yake ni wao ku-loose power ya kuvicontrol...
Ndo maana wanawaza ku-limit WhatsApp calls au malaika aje azime mitandao ya kijamii.
wao wanafurahia kusifiwa. OVerZikiwa zile zinazowahusu wao ndiyo makatazo na vitisho zikiwa ni zile zisizowahusu wala hutaona wakisema chochote cha kukemea
Wakafunga na Twitter... tunaishi kwenye VPN hamna nomai
Wakafunga na Twitter... tunaishi kwenye VPN hamna no
Hawana focus ya what to do... Ndo maana wapo busy na mambo ya ajabu ajabuWakafunga na Twitter... tunaishi kwenye VPN hamna noma
Nakumbuka miaka 2 iliyopita kutamka "Vyuma vimekaza" lilikuwa kosa la Jinai.Internet raha sana.
"Uvumi" ndio umeenea, na hakuna hata Media house moja responsible.
Waambie kwanza wapiga risasi wqheshimu uhai wa wenzao.I cement that kabisaaaa maana watu wamekalia umbea tuuu , oo flani anaumwa ooh flani kafa , turudi kwenye misingi yetu ya zamani ya utu ifike mahali usifurahie mwenzio akipata matatizo hata kama ni kweli. Enzi za mwalimu haikuwa hivi tubadilike