Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba awajibu TLS kuhusu Rais Samia Suluhu kuteua Baraza jipya la Mawaziri

Haa haa haa. Weka efforts zote basi hata kazini usiende. Nyie ni watu hatari sana sana, design ya Gwajima the porn master. Alikuwa anawakebehi wakenya wamepigika na corona na kusema Magufuli ataifanya Tanzania kuwa tajiri kuliko Marekani kwa msimamo wake wa corona sasa kiko wapi? Tumwamini Mungu huku tukitekeleza wajibu wetu. Kuweka imani kwa Mungu bila kutekeleza wajibu wako ni kufuru.
 
Hilo Baraza la Mawaziri like temporary mpaka litakapovunjwa na mchakato wa kuunda baraza lingine lifanyike.
 
Si mliimuita Yesu wengine mheshimiwa Mungu hiyo si kufuru kuu... Aksema anaenda kuongoza malaika! Wakati wa Mungu umefika. Tubuni.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Looh pole...

Kwa Taarifa ya CCM Ni ile ile na bado ni chama dola...!

Don't expect something new [emoji2]
Kuna mambo mengi Jiwe alifanya yeye kama yeye kwa kutumia kofia ya uraisi.Alivunja katiba na sheria mchana kweupe.Raisi wa sasa angalau tu afuate katiba hii hii kwa kuanzia!
 
Emu

Kwenda. Tatizo una imani haba.
Ni kama vile unasali alafu unaenda kwa waganga ili umsaidie Mungu. Pumbavu
 
Kuna mambo mengi Jiwe alifanya yeye kama yeye kwa kutumia kofia ya uraisi.Alivunja katiba na sheria mchana kweupe.Raisi wa sasa angalau tu afuate katiba hii hii kwa kuanzia!
Sawa tusubiri...!
 
Si mliimuita Yesu wengine mheshimiwa Mungu hiyo si kufuru kuu... Aksema anaenda kuongoza malaika! Wakati wa Mungu umefika. Tubuni.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Tatizo hata Biblia utakuwa hujui.

Sisi tumeumbwa kwa mfano wa Mungu.

So sisi ni Miungu kama hujui kwa Taarifa yako...!
 
Huyu mama Samia asipoiga udikteta wa jiwe kwa hizi siku mbili tatu watampasua kichwa kwa maushari na makelele kitoka kila kona,hawa TLS walikuwaga wapi kipindi kile Jiwe linaikanyaga Katiba na kufanya neno lake kuwa sheria.
Mkuu umesahau kwamba paka akiondoka, panya hucheza cheza sebuleni?
 
TLS wametimiza majukumu yao kisheria. Walinukuu na vifungu kabisa. Huyu analeta stori za tamaduni
'Njaa' mbaya sana!
 
uko sahihi Mhe. Mwigulu waziri wa Katiba Na Sheria.
hao TLS wamekosa kabisa utu wanaanza kuanzisha mjadala wa mgawanyo wa madaraka?!
wakati sisi watanzania bado tuna majonzi!!
Pumzika kwa Amani JPM
Sheria hazifuati utu, utu ni kujuana na chanzo cha uvunjifu wa sheria, je, zile risasi 36! Zilifuata utu?
 
Huku aanze kupanga safu mpya, huku msiba anatakiwa kumzika mtangulizi wake jamani atafanya kwa weredi kweli, nabda kama ingekuwa kajiuzulu lakini kifo? Acha ampuzishe kwanza kisha mengine hata yeye anajua afanyacho! Ila nimaoni yangu!
 
Hahahhaha wacha bwana.. Unajua tofauti ya Mungu na miungu?

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
We kiazi kweli.

Pamoja na kuandika hivyo hujaelewa kitu.

Tafadhali uwe unaenda kanisani hata mara moja kwa juma ujifunze neno la Mungu unaonekana Mweupe sana kwenye masuala ya kiroho .!
 
Kati ya watu ambao hawatarudi kwenye nafasi zao za mawaziri Mwigulu ni mmoja wapo
Kashaingia kwa mtaalam kuweka mambo sawa. Utashangaa baraza lijalo mtu ndani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji28]
 
Rais ni taasisi akifa na baraza la mawaziri linakufa automatically!

Hili hata Prof wa sheria Palamagamba analielewa vizuri.
Tuandikie ibara tafadhali. Mambo yanakwenda kwa sheria, nipo tayari kukuunga mkono kama utaandika kama mtoa Thread, kapanga na kuonyesha katiba inasemaje?

Mi si mpenzi wa mtoaji threada lakini kwa udadafuaji alioufanya nampa 5.
 
We kiazi kweli.

Pamoja na kuandika hivyo hujaelewa kitu.

Tafadhali uwe unaenda kanisani hata mara moja kwa juma ujifunze neno la Mungu unaonekana Mweupe sana kwenye masuala ya kiroho .!
Sipo hapa kutukana... Go refer 1st and 2nd commandments. Upo deep in shallow and I doubt kama umeyashika maandiko kisawa sawa.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Huu ndio ustaarabu. Taifa lazima liwe na umoja kwa kipindi hiki. Siasa baadae! Nakupa 5 kwa maelezo mazuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…