macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Haa haa haa. Weka efforts zote basi hata kazini usiende. Nyie ni watu hatari sana sana, design ya Gwajima the porn master. Alikuwa anawakebehi wakenya wamepigika na corona na kusema Magufuli ataifanya Tanzania kuwa tajiri kuliko Marekani kwa msimamo wake wa corona sasa kiko wapi? Tumwamini Mungu huku tukitekeleza wajibu wetu. Kuweka imani kwa Mungu bila kutekeleza wajibu wako ni kufuru.Wewe kufa ni given.
Kwa mantiki hio basi wote walokufa walimkufuru Mungu?
Na hio kufuru ni Tafsiri yenu msiemjua Mungu wa Kweli yukoje.
Nyie kuwa Partially kwa Mungu ndio mnaoba sawa. Mtu ukiweka effort zote kwa Mungu eti ni Kufuru.
Pole. Utakufa haijalishi unaishi vipi..!