Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba awajibu TLS kuhusu Rais Samia Suluhu kuteua Baraza jipya la Mawaziri

Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba awajibu TLS kuhusu Rais Samia Suluhu kuteua Baraza jipya la Mawaziri

Mwigulu ni zaidi ya parish worker, wanaowajua watakuwa wamenielewa, ana kiherehere jamani kuliko ushuzi wa ngomani, kwani hajui kukaa kimya sometimes ni busara?

Ataweza kujibu kila neno kweli huyu?

Au ndiyo anajitutumua aonekane na raisi mpya!?

Wapi aliyetoka jalalani akala maganda akabugi!?? Anayeita wanadamu Mhm Mungu!

Wapi Askofu maarufu kwa ufufuaji?

Wapi waziri wa tangawizi na malimau mwenye mpenzi wakili msomi??

Kimya SANA!

Everyday is Saturday................................😎
 
Nimesoma andiko la TLS, kwa heshima zote kwa chombo chetu hiki kilichopewa mamlaka kisheria, Nimeshtuka sana, I wish to say...
Mwigulu ni mwehu

nasema uongo ndugu zangu?
 
Kama kuna ulazima sana wa huyu jamaa kuendelea kuwa waziri basi apelekwe wizara ya kilimo na ufugaji akashinde na ng'ombe huko.
 
Nimesoma andiko la TLS, kwa heshima zote kwa chombo chetu hiki kilichopewa mamlaka kisheria, Nimeshtuka sana, I wish to say...
Nchi haiendeshwi kwa misingi ya kiafrika, nchi huendeshwa kwa misingi ya sheria za nchi husika bila kujali msiba, harusi au bethidei.
Tatizo mlizoea kufanya mtakavyo.
 
uko sahihi Mhe. Mwigulu waziri wa Katiba Na Sheria.

Hao TLS wamekosa kabisa utu wanaanza kuanzisha mjadala wa mgawanyo wa madaraka?

wakati sisi watanzania bado tuna majonzi!!

Pumzika kwa Amani JPM
 
Nimememwelewa mwigulu, Raisi alitakiwa kutoa taarifa Kwa Baraza , ni Baraza lipi? Kwa mazingira yake hlo Baraza lilikuwepo , na hivyo busara aliyotumia Raisi ya kusitiri mwili Kwanza zen maswala ya kuvunja Baraza yaendelee ipo poa tuuu...anyway naweza kosolewa mana sio mtaalam wa Sheria Na katiba ....

TLS walitoa mwanga kuhusu hili.

Mwigulu naye amesema vyema tu.

Huu ni mjadala mzuri tu.

Lakini mimi nadhani tatizo liko kwenye katiba kwa sababu imenyamaza kimya kuhusu mazingira ya namna hii yanapojitokeza.

Labda watunga katiba hawakuwahi kufikiri kuwa Rais aliye madarakani anaweza kufa.

Problem iko hapa. Nadhani hekima iendelee kutumika.

Na kwa haraka haraka tu, walichosema TLS ndicho kina - make sense zaidi.

Kwamba, waziri yeyote huapa kwa Rais. Hawa waliopo waliapa kwa Rais ambaye si Rais tena, hayupo, amekufa na hana mamlaka ya Urais tena...

Na ktk kiapo kama sitakosea huapa wakisema, " nitakuwa mtiifu kwa JMT na kwa Rais..."

Sasa waliyemwapia kuwa watamtii, hayupo, hana madaraka hayo tena. Yupo mwingine. Obviously, ni sharti wale kiapo kingine tena, kwake.

Si lazima ateue wapya. Akipenda anaweza kuendelea na hawahawa ila kwa viapo vipya.

Kwa wakuu wa mikoa RCs, DCs na wote wasioapa direct kwa Rais, wao hawahusiki na viapo hivi moja kwa moja unless otherwise.

Japokuwa kila mtu angependa na anategemea kuona mabadiliko makubwa kuanzia chini hadi juu.
 
Wewe nawe umepotoka kabisa.
Samia Suluhu kwa sasa ni Rais wa Tanzania na anawajibika kuunda serikali yake yeye mwenyewe sio kurithi serikali ya mtu mwingine yoyote.

Baraza la mawaziri la Magufuli liliundwa na Magufuli na kuapa mbele ya Magufuli, haliwezi kuwajibika kwa Samia Suluhu. Samia Suluhu kwa sasa hawezi kumuwajibisha waziri yoyote kwa sababu hamkuteua yeye na huyo waziri hakuapa mbele ya Samia.

Rais ni taasisi, na anayekalia kiti cha urais kikatiba ndio mwenye mamlaka na taasisi ya urais.

Baraza lote la mawaziri kiuhalusia lilikufa baada ya tangazo la kifo cha Rais Magufuli. Na kisheria mama Samia Suluhu (akiwa bado makamu wa rais) alipaswa kuitisha kikao cha baraza la mawaziri kwa niaba ya Rais na kutoa tangazo la kifo cha Rais ili kuliua baraza la mawaziri kikatiba.
 
Rais ni taasisi akifa na baraza la mawaziri linakufa automatically!

Hili hata Prof wa sheria Palamagamba analielewa vizuri.
Hapo bwa shekhe hata kabudi atasema baraza bado linaendelea lile ili kutetea nafasi yake,wengi wanajua hawatarudi barazani so watapindishapindisha sheria kama madelu alivyofanya,.mwigulu wala hakua wa kutolea ufafanuzi juu ya hili,mwanasheria mkuu wa serikali ndiye muhusika katika hili,mahakama pia.
 
Mwigulu Nchemba ! Upo? 😇 Natamani sana utumbuliwe moja kwa moja awamu hii! Sasa sijui kama MAMA yetu atapata huo ujasiri!

Wengine ni PM, yule mwenzako wa afya, Kabudi, Bashungwa (huyu hata kupiga dana dana sijui kama anaweza! Halafu eti ni Waziri wa michezo!), Kibabu George Mkuchika, Doto James, Ole Sabaya, na wengineo wengi!! Nyinyi mlikubuhu kwa unafiki, kujikomba komba na pia kumpotosha Mzee enzi za uhai wake.
Mkuu naomba nimwongeze na Jafo pia. Kwenye hotuba yake alikuwa kila baada ya sentesi mbili lazima amtaje JPM.
 
Kwanza ana maslahi na hili suala kwa hiyo hatutegemei aseme tofauti. Labda mahakama ingekaa na kusema kidogo tungeelewa, pili yeye siyo mtaalamu wa sheria. Na tatu, asituambie habari za utu na utamaduni wa muafrika, hana moral authority ya kuzungumza hayo.
 
Inasemekana watu wameanza KUGOMBEA vyeo kabla ya MAGUFULI kuzikwa.
Kwani kuna siri gani kwenye huu msiba,tujuzane ?
Tazama hii picha chini
Screenshot_20210320-115307_Instagram.jpg
 
This mwigulu guy!

Ako na shida mahali. Sijawahi kumuamini.
 
Rais ni taasisi akifa na baraza la mawaziri linakufa automatically!

Hili hata Prof wa sheria Palamagamba analielewa vizuri.
Muulize huyo muhuni Mwigulu anayesema mambo yasubiri kwanza mpaka marehemu azikwe, je Alipokufa Balozi Mahiga, hayati Magufuli alisubiri mpaka marehemu azikwe ndio ajaze nafasi yake? Anataka kuonyesha utu kwa mtu ambaye hakuwa anajali huo utu?
 
Inasemekana watu wameanza KUGOMBEA vyeo kabla ya MAGUFULI kuzikwa.
Kwani kuna siri gani kwenye huu msiba,tujuzane ?
Tazama hii picha chini
View attachment 1729939

Angeongezea pale tuzingatie mabarakoa kwenye kuomboleza yeye kama Daktari wa binadamu angekuwa kakomelea zaidi.

Ni muhimu sana kelele zipigwe kuhusiana na ugonjwa huu unaoouwa watu.

Vinginevyo baada ya msiba huu kuna mingine.

Eeh mola wetu utupe hekima ya kusoma nyakati.
 
Back
Top Bottom