Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba Kabudi atokomea kusiko julikana katikati ya mahojiano na Sauti ya Ujerumani DW

Mnashangilia ya kina Gachagua wakati kwenu ndio katiba ina-najisiwa kila siku, and no one raises his finger. Stupid you.

Kwetu tunatambua tuna wajinga wajinga kama nyie.

Hadi mtakapoelimika.

Tunapigania nini upande mmoja na wapuuzi kama nyie?
 
Jaribu kuwa mvumilivu kwa wenye maoni tofauti na mtazamo wako. Usiwe dikteta kama yule mwenyekiti mtukufu.

Ni kawaida dawa kuwa chungu hasa kwa wenye mahaba na watekaji.

Ila ukweli mchungu huyu ndugu kama Gachagua wengine hatukumtegemea ahimili hadi mwisho.

Kwa hakika hata angekuwa nani, hakuwa na namna nyingine!
 
Hapo ndipo mnakosea na watesi wenu wanashangilia.

Mnayo matatizo mengi nchini kuliko huko kwa kina Gachagua, hamuonyeshi juhudi zozote kuyaondosha, mmebaki kushangilia kuondoshwa Gachagua, itawasaidia nini?

Idiots.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…