Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba Kabudi atokomea kusiko julikana katikati ya mahojiano na Sauti ya Ujerumani DW

Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba Kabudi atokomea kusiko julikana katikati ya mahojiano na Sauti ya Ujerumani DW

Nahitaji kujua kwanini wasomi wazuri wakishakuwa kwenye mfumo wa siasa wanakuwa kama hawajielewi hv?
 
1. Kwanza nikurejeshe kwenye uzi wangu original.

"Waziri wa Tanzania atokomea kusiko julikana katikati ya mahojiano Sauti ya Ujerumani
Nasisitiza sii kweli, hajatokomea , clip ipo nimeisikiliza aliaga ana kikao akakata simu. Kupata impromptu ya 9 minutes is not a joke!
3. Nitambue kuwa always huwa una vested interest na mada zenye vionjo vya kupalilia teuzi ndugu paskali.
Kiukweli hunitendei haki kwenye hili la kupalilia teuzi. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
4. Bila shaka kila lose ball itokeayo your way, hutaka ku i exploit kikamilifu ila bahati haijasimama, au siyo?
Duh...!.
5. Nikuitishe kutoniwekea maneno mdomoni kwani hata huyo mwamba haikuwa ajali kutokumtaja directly au hata indirectly.
Nimekulisha maneno gani?!
6. Kwamba hakukimbia and now it is just for the sake of argument?
No hakukombia kaaga ana kikao akakata simu.
7. Kwamba wadanganywa wote siku zote?

Thubutu!
Naomba kuheshimu mchango wako, lakini ukweli usemwe.
P
 
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi hivi karibuni alikuwa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha DW ambapo katika mahojiano Kabudi na mtangazaji Sudi walizungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea Tanzania kabla ya Waziri huyo kuondoka mwishoni mwa mahojiano hayo bila kuaga.

Kwenye mahojiano hayo mtangazaji Sudi Mnete alimuuliza Kabudi kuhusu kitendo cha serikali kuzuia maandamano ya CHADEMA, ripoti mpya iliyotoka ya Human Rights Watch na hali ya siasa ilivyo nchini.

Kabudi alipoulizwa kuhusu kitendo cha serikali ya Tanzania kufungia The Citizen, Kabudi alidokeza kuwa Mwananchi na The Citizen walifungiwa kwa mujibu wa sheria za nchi na kwamba kama kituo hicho kingekuwa hakijaridhishwa na maamuzi ya TCRA kilikuwa kinaruhusiwa kukata rufaa.

Soma pia: Mbowe ampinga Profesa Kabudi mbele ya halaiki; 'hatuwezi jadili mambo yale yale kwa miaka 30'

Ilipofika dakika ya 9 ya mahojiano Kabudi aliomba udhuru kwamba anaingia kwenye kikao kingine ambapo mara baada ya mtangazaji kuanza kumuuliza Waziri huyo kuhusu hali tete ya kisiasa hasa katika kipindi hiki ambacho taifa linaelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Waziri huyo alikataa simu.

View attachment 3132609

Ama kweli la kuvunda halina ubani.

Source: DW Swahili
Atakiwa ameenda kutafuta Majibu Mnemba
 
Tanzania siyo tu banana republic bali ni matango na madafu republic kabisa.
Heshima gani anayoiongelea ambayo Tanzania inayo zaidi ya ordinary?
 
Nasisitiza sii kweli, hajatokomea , clip ipo nimeisikiliza aliaga ana kikao akakata simu. Kupata impromptu ya 9 minutes is not a joke!

Sikiliza tena.

1. Kwamba alitokomea na kuwa kuaga kilikuwa siyo kisingizio tu? Labda kama wewe ni subhana kuyajua hayo?

2. Haipo shaka kuwa kulikuwa na miadi rasmi na bila shaka muda kamili wa interview hiyo uliojulikana Kwa pande zote.

3. Kuwa mwulizaji aliendelea kuuliza maswali wakati mheshimiwa Kisha kula Kona kuwa hakukushangazi wewe? Hapo ndipo wengine kunapotushangaza. Zingatia redio hizi siyo RTD!

4. Kwamba uwezekano wa kuwa kala kona upo, ila wewe umeng'ang'ana kuwa hakika hakula kona? Au ulikuwa naye muda huo?

Kiukweli hunitendei haki kwenye hili la kupalilia teuzi.
Duh...!.

1. Mkuu hapa utakuwa unatulaumu Bure.

2. Labda nikuulize wewe unajua 100% kuwa hakula kona?

3. Unajua kuna tofauti ya kuaga na kutumia kisingizio cha kuaga?

4. Hujawasikia hata kusikia wenye kuwaambia watoto majumbani akija fulani mmwambie sipo?

Kumbe kipi kigeni ndugu?

Nimekulisha maneno gani?!

1. Nimekuonyesha original Uzi wangu. Huyo mwamba hata jina wala uwaziri wake sikutaja.

2. Uzi wangu title nimekupa na content ilikuwa sentensi mbuli tu.

3. Mengine ni ya moderator ambao hata interview hiyo hawakujua ilikuwa leo.

4. Nukuu zote kwenye maneno yao ni kuniwekea miye maneno na huko si kunitendea haki!

No hakukombia kaaga ana kikao akakata simu.

1. Hayo ni mawazo yako. Nadi tuna mawazo yetu. Tofautisha kisemwacho mdomoni na kinachoendelea moyoni. Walisema mwenye macho haambiwi tazama.

2. Hata HAMAS na Hezbollah wanasema wanapiga kweli kweli huko. Ni mawazo yako tuamini tu wasemayo?

Naomba kuheshimu mchango wako, lakini ukweli usemwe.
P

Naomba kuheshimu mchango wako for the sake of argument, lakini ukweli shuruti usemwe.

Au nasema uongo?
 
Niache na uzushi wako ndio maana wananchi wanamfuata wanae amini anasema ukweli wewe nataka nikuite muongo mkubwa na mnafiki!

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Sikiliza tena.

1. Kwamba alitokomea na kuwa kuaga kilikuwa siyo kisingizio tu? Labda kama wewe ni subhana kuyajua hayo?
Mimi ni mwanahabari, na kwa waandishi wa Tanzania, mimi ni bingwa wa impromptu, kitendo cha kupata chance ya impromptu ya dakika 9, kiukweli kabisa ni Kabudi amemuheshimu sana Sudi na DW, mtu huhitaji kuwa Subhana wa Taala kujua baada ya kuaga alikata simu na hakulisikiliza hata swali la mwisho!.
2. Haipo shaka kuwa kulikuwa na miadi rasmi na bila shaka muda kamili wa interview hiyo uliojulikana Kwa pande zote.
Alifanya appointment ya simu tuu kupata reaction, impromptu ni hakutoa maswali yalikuwa ya papo kwa papo, tujifunzeni appreciation ya kushukuru kwa madogo ili tujaaliwe makubwa. Sudi mwenyewe amemaliza kwa kushukuru.
3. Kuwa mwulizaji aliendelea kuuliza maswali wakati mheshimiwa Kisha kula Kona kuwa hakukushangazi wewe? Hapo ndipo wengine kunapotushangaza. Zingatia redio hizi siyo RTD!
Kuna kitu wengi hawakijui kunihusu mimi, wakati nikiwa kijana, nikiishi London nilitinga Bush House, nikiwa US nilitinga VOA na nikiwa Ujerumani nilitinga DW pale Kolon na nilikuwa correspondent wa DW Radio, wenzetu wanafundishwa being assertive na persistent, mimi nilishindwa kwa uzalendo tuu. Mpaka leo my family lives in US, uzungu umenishinda hivyo nina two families, kule na huku, na niliposoma sana Bible nikagindua issue ya mke mmoja ni urongo wa wazungu, sio mpango wa Mungu, kwasababu wao whites, they are cold blooded, not as hot and active as blacks damu moto, ndio maana nikamshauri hata yule Blaza wangu, "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
4. Kwamba uwezekano wa kuwa kala kona upo, ila wewe umeng'ang'ana kuwa hakika hakula kona? Au ulikuwa naye muda huo?
Mimi nimejaaliwa jicho la tatu kuona visivyo onekanika, Kabudi alitaka kumkatiza kitambo ila alimheshimu sana. Naomba tumpe Kabudi maua yake, hakuna mtu mwingine angeweza kupangua hoja zile za uongo, uzushi na uzandiki kama Kabudi, lets appreciate this.
1. Mkuu hapa utakuwa unatulaumu Bure.
No silaumu kitu bali kwanza nimekushukuru, kuileta humu, maana kusikiliza redio ni nikiwa kwenye gari tuu, hivyo hii sikuisikia.
2. Labda nikuulize wewe unajua 100% kuwa hakula kona?
Hakula kona, baada ya kuomba udhuru, alimkatia simu Sudi, ila aliendeleza tuu uking'ang'anizi , hata Tido akiwa BBC ni tofauti na akiwa TBC Hassan Marin wa TBC hafai kwenye TV
3. Unajua kuna tofauti ya kuaga na kutumia kisingizio cha kuaga?
Ni kweli, tukisha kubaliana makubwa ya msingi, haya mengine madogo madogo tutayamaliza tuu, kubwa la msingi kwanza ile kupatikana tuu kuhojiwa na DW ni credits kwake, viongozi wetu wengi ni waoga kama kunguru!, hawajiamini!, hivyo wakitafutwa wanaingia mitini!. Kabudi amepatikana, that alone is plus kwake!. Usually impromptu ni swali moja, mwisho mawili, lakini hii ya 9 minutes, kiukweli Kabudi amewaheshimu sana, angalia hizi impromptu zangu
View: https://youtu.be/VS3dGmNY1XQ?si=Kzn8kom8Lf9IIWku

View: https://youtu.be/kws2YUVqNq0?si=uNhwfAkzGocziUMn
4. Hujawasikia hata kusikia wenye kuwaambia watoto majumbani akija fulani mmwambie sipo?
Hizo sio tuu nazijua, nimekutana nazo sana,na hata mimi nazitumia sana haswa niwapo safarini, mimi napenda sana misosi tofauti tofauti, na hufikia hoteli zile zile, chakula cha hoteli hiyo hula breakfast only, lunch,nakula mtaani dinners nakula viwanja clubs na kujichukulia take away ya kile chakula cha usiku,kuna misosi kwa macho they look so tasty,ila ukila ni tofauti, hivyo ukija next time ukijilikana tuu upo, unaletewa msosi bila hata kuagiza, hivyo nawaambia reception akija mtu wa take away mwambie sipo!Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
Kumbe kipi kigeni ndugu?
hakuna kigeni
1. Nimekuonyesha original Uzi wangu. Huyo mwamba hata jina wala uwaziri wake sikutaja.
?!。
2. Uzi wangu title nimekupa na content ilikuwa sentensi mbuli tu.
?!。
3. Mengine ni ya moderator ambao hata interview hiyo hawakujua ilikuwa leo.
hii ndio jf ya kisasa,
4. Nukuu zote kwenye maneno yao ni kuniwekea miye maneno na huko si kunitendea haki!
pole
1. Hayo ni mawazo yako. Nadi tuna mawazo yetu. Tofautisha kisemwacho mdomoni na kinachoendelea moyoni. Walisema mwenye macho haambiwi tazama.
naomba niheshimu mawazo yako
2. Hata HAMAS na Hezbollah wanasema wanapiga kweli kweli huko. Ni mawazo yako tuamini tu wasemayo?
naamini
Naomba kuheshimu mchango wako for the sake of argument, lakini ukweli shuruti usemwe.
asante
Au nasema uongo?
kweli
asante
P
 
Duh! Profesa wa UDSM akiwa hohehahe sijui ndugu zetu waalimu wa shule za msingi watakuwa na hali gani.
Kama prof. aliokotwa jalalani hebu kwa busara zako fikiria hao walimu wa shule za msingi watakuwa kwenye dampo la aina gani?
 
Back
Top Bottom