Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba Kabudi atokomea kusiko julikana katikati ya mahojiano na Sauti ya Ujerumani DW

Nchimbi alimkimbia Chief Odemba, Mwana Jalalani amemkimbia Sudi.
CCM wameshatuona sisi manyani kwani hawawajibiko kwetu.
 
Uchunguzi wa kina ufanyike na apatikane
 
Profeseri alichukua ndege ya Serikali kwenda kuleta dawa ya Corona Madagascar, kachukua chupa mbili kwa ajili ya utafiti ila alivyofika akaipiga kwanza kuionja kabla haijaenda kwa watafiti
 
Sasa ndio nini!
 
🏃🏃🏃🏃
 
Ya kuokotwa jalalani na Magufuli, alidhihilisha Kabudi mwenyewe katika context ya kuonewa huruma kwani alisha kuwa hohehahe!
Duh! Profesa wa UDSM akiwa hohehahe sijui ndugu zetu waalimu wa shule za msingi watakuwa na hali gani.
 
Kasema he is out of time, ana vikao vinamsubiri. Nothing wrong with that.
Kwa hadhi na Elimu bobezi yake ya sheria alikuwa anajua programe yake ya siku iyo kwanini alikubali kuhojiwa huku akijua ana mikutano mingine? Nawaza tu
 
We ulitaka aache kazi yake ya maana kwa maswali ya kipuuzi? Ujerumani nchi yetu inawahusu nini, tunajua mabwana zenu

Umemsikiliza au ni ule u much know wa uswahilini?
 


Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi kwenye mahojiano na mtangazaji Sudi Waziri huyo kuondoka mwishoni mwa mahojiano hayo bila kuaga.
Si kweli, nimeisikiliza clip, Prof. Kabudi aliaga!.

Ujio wa social media umefanya kila mtu kuwa a journalist, a reporter wa citizens journalism.

Msingi mkuu wa tasnia ya habari ni "Tell nothing but the truth".
Kwenye mahojiano hayo mtangazaji Sudi Mnete alimuuliza Kabudi kuhusu kitendo cha serikali kuzuia maandamano ya CHADEMA, ripoti mpya iliyotoka ya Human Rights Watch na hali ya siasa ilivyo nchini.
Kabudi alijibu vizuri na kuusemaukweli, hao HRW ni waongo, wazushi na wazandiki.
True
Hii pia sii kweli, Waziri alikata simu mara baadaya kumaliza kujibu na aliaga ana kikao kingine.

Kiukweli Prof. Kabudi amejibu vizuri sana, na amemtendea haki Sudi na kuitendea haki DW, kumpata waziri impromptu kwa mahojiano ya dakika 9 is not a joke!.

Viongozi wetu wanaheshimu sana media za kibeberu na kutudharau media za nyumbani. Maombi yangu kumhoji JPM yameozea ikulu hadi anatwaliwa, sikuwahi kupata chance zaidi ya kulazimisha kama pale ikulu.

Ile Samia ameingia tuu, maombi yangu mezani kwake, nae itakua kama JPM!.
Thanks for this.
Hivi ndivyo mawaziri wote wanatakiwa kuwajibu hizi media za kibeberu, msiwaogope BBC, DW, VOA au media zozote za kibeberu.
P
 

1. Kwanza nikurejeshe kwenye uzi wangu original.

"Waziri wa Tanzania atokomea kusiko julikana katikati ya mahojiano Sauti ya Ujerumani

Clip inajieleza wazi:

"... Clip ilikuwa hapa ..."

Ama kweli la kuvunda halina ubani."


2. Ukarabati wa moderater sihusiki nao.

3. Nitambue kuwa always huwa una vested interest na mada zenye vionjo vya kupalilia teuzi ndugu paskali.

4. Bila shaka kila lose ball itokeayo your way, hutaka ku i exploit kikamilifu ila bahati haijasimama, au siyo?

5. Nikuitishe kutoniwekea maneno mdomoni kwani hata huyo mwamba haikuwa ajali kutokumtaja directly au hata indirectly.

6. Kwamba hakukimbia and now it is just for the sake of argument? Mbona hata Gachagua ni siri ya madaktari walioamua kumfunikia kombe?

7. Kwamba wadanganywa wote siku zote?

Thubutu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…