Waziri wa Kilimo Profesa Mkenda, unataka Rais Samia akubebeje?

Leo tunasema kuhusu kilimo ambacho kinaajili asilimia 70 ya watanzania
Kilimo ni muhimu sana katika uchumi wa viwanda, ukishindwa kuwekeza kwenye kilimo Taifa linaanguka, linakuwa ombaomba. Swala la mbolea siyo la Mkenda ni swala zima la nchi na mamlaka zake zote kuipa nguvu wizara ya kilimo ili Taifa lipone.

Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
 
Uko SAHIHI
Lakini suluhisho la kuongeza surplus kwenye kilimo hasa cha Biashara sio kuchanganya mbolea bali ni ku stabilize bei ya mbolea ili walimu na wapate zaidi kubiashara
 
Waambie matajiri waache kuiba pesa na kuzificha mabenki ya nje wazirufishe wajenge viwanda ikiwemo vya mbolea ili wakuze uchumi na kuleta ajira kwa vijana na mbolea itashuka bei
Wanaooba peas ni wanasiasa sio matajiri
Asilimia kubwa ya wezi wa pesa ni wanasiasa Mkuu
 
Uko SAHIHI
Lakini suluhisho la kuongeza surplus kwenye kilimo hasa cha Biashara sio kuchanganya mbolea bali ni ku stabilize bei ya mbolea ili walimu na wapate zaidi kubiashara
Mkuu wizara ilisema kwamba bei ya mbolea itakuwa huria yani kila mdau atapanga bei yake kutokana na gharama za uzalishaji alizotumia kwenye kuzalisha iyo mbolea

Kwaiyo ilo limepita tayali Mkuu kifuatacho ni utekelezaji tuu
 
Aisee hoja zingine bhana!. Kwa logic yako hii Serikali isiangalie hata kupanda kwa bei ya Petrol na Diesel kwa kuwa haini Visima vya Mafuta!!!
Mbona bidhaa kibao Kama mabati cement n.k bila kusahau huduma nyingine Kama ada za shule, zinapanda na hulalamiki kwamba Mawaziri husika wachukuwe hatua?

Umeiona mbolea tu? Nauli hujaziona? Tozo hujaziona? Hoja yako mbona imechagua waziri wa mbolea tu?
 
Mbolea kufika lak na kumi ni kumchafua Waziri tumwambie nani kama mbolea tumepanda..?
Nauli, tozo na bidhaa nyingine madukani mbona pia zimepanda hata kabla ya mbolea na hukusema? Una ajenda yako dhidi ya waziri wa kilimo
 
Mbolea ni uti wa mgongo
Yaani huwezi kuandika humu JF bila chakula
Heshimu sana chakula mzee
 
Nauli, tozo na bidhaa nyingine madukani mbona pia zimepanda hata kabla ya mbolea na hukusema? Una ajenda yako dhidi ya waziri wa kilimo
Mimi nimesema kuhusu mbolea wewe sema kuhusu ayo mengine
 
Soko huria haimaanishi uzalishaji wauze bei juu
Anaweza kuagiza mbolea nje akasaidie ku moderate price na inflation
 
Unabwata bure ndugu yangu. Mbolea bei juu kila mahali. Kenya mfuko ni shs 4000 za kenya x 20shs= shs 80000 elfu. Huo ni mfuko wa chini.
 
Kkwanini
Unabwata bure ndugu yangu. Mbolea bei juu kila mahali. Kenya mfuko ni shs 4000 za kenya x 20shs= shs 80000 elfu. Huo ni mfuko wa chini.
Usiondoke Kodi kwenye mbolea hapo uganda ni Elfu 60 na wanatumia bandari yetu
 
Safi Hali hii iendelee Ili tuandike katiba upya
 
Huyu waziri ana kiwanda cha mbolea? Acha kuchafua watu.
kwenye vitu nyeti kama hivi si vibaya ukakaa kimya, kuliko kuja kwenye uzi wa watu , unaogusa moja moja maisha ya baba ako na mama ako, na hata huyo ambaye huwa ana kukojoza! na kuweka uharo wako kama huo! uwage na aibuu!! Ovyo! Ovyo! Ovyo kabsa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…