Waziri wa Kilimo Profesa Mkenda, unataka Rais Samia akubebeje?

Kwani bosi wako Chongolo anasemaje?!
Screenshot_20211120-213411_Drive.jpg
 
Ondoa chuki zako wewe, umetoka kutoa tuhuma za ovyo kwa Dotto Biteko umegukia kwa Prof Mkenda shame upon you!!
 
Mbolea kufika laki na kumi ni kumtuhumu Mkenda ili nipate nini sasa
Sisi ni wakulima.tunalia na bei ya mbolea we unasema tuna mtuhumu shwain kabisa
 
Binafsi napata wasiwasi na huyu Waziri ambae elimu yake ni Professor, namuuliza kweli ameshindwa ku handle tatizo la bei ya mbolea nchini..?, na msaidizi wake Bashe ambaye kimsingi ni mkulima inamana Bashe na wewe kwenye mashamba yako unanunua DAP, KAN, UREA 110,000 kwa mahekari yote hayo uliyonayo. Mbona mnafanya makusudi kumchonganish Rais na wananchi.

Mnachokojua wewe na msaidizi wako ni kujiandikia pesa za Gala za taifa waje kanunue mhindi yenu na kuwahadaa WFP kuwa mmenunua kwa wakulima kumbe ni yenu. Mnachofanya hakikubaliki hata kidogo.

Sasa kama mbolea imetoka Elfu 65,000 hadi 110,000 na Waziri upo kazini hadi sasa na hatuoni mabadiliko unataka Rais afanyeje...?

Kwa sasa bei ya gunia mshindi Elfu 30, viaz 30, maharage 40. Kwa heka moja unatumia mifumo ni 3 ya mbolea bado madawa, vibarua, palizi, uvunaji na usafirishaji. Hii ni kusema ukitaka mkulima hela moja itabidi uuze mahindi gunia 12 hapo ni upate tuu mifuko mi 3 ya mbolea. Kwaio ukitoa ma gharama zingine mkulima atapata wastani wa gunia 3 kama faida yaani Elfu 90 kwa msimu wote wa kilimo. Je hamuoni mnaenda kupunguza wqzalishaji, je namuona mnaenda kuleta baa la njaa..?

Asilimia 80 ya wapiga kura wa CCM ni wakulima, je unataka wananchi waichukie serikali ya CCM. Muda mwingine hawa walimu wenye ma profesa wabaki vyuoni wafundishe hizi kazi wapewe wataalamu ambao kimsingi wana uwezo mkubwa zaidi wa kiutendaji kuliko hawa walimu wenye u Professor.

Rais Samia wakulima tunaimani na wewe fanya jambo bei ya mbolea. Na hili tunakuomba usimwachie mtu sio PM sio Waziri, ingia mwenyewe front msimu wa kilimo ndio huu ili uiepushe nchi yetu na baa la njaa hapo mwakani.

Rais Samia
#KAZI IENDELEE
mshangao mkubwa sana tunapata

1. Ilitangazwa kwa majivuno kuwa, gesi asili ya mtwara itatumika kutengeneza mbolea hapa nchini. Ilielezwa pia, mbolea hiyo itakuwa na bei nafuu si chini ya asilimia 30 kulingana na bei zilizopo sokoni. Story hizo zimeisha na mbolea zimepanda toka wastani wa shs 55 elfu hadi 120 eflfu kwa mfuko wa kilo 50. Serikali yetu ipo na inatekeleza ilani na tunaambiwa hadi sasa asilimia 75 imeshatekelezwa...... basi tuamini hizo 25 zilizobaki zinahusika na tatizo la mbolea.

2. Kuna taasisi ya UMMA inaitwa Tanzania Fertilizer Company- hebu tuelezwe hasa kazi yake ni nini? Ina mtaji kiasi gani na tangible works ambazo wamefanya for the past three years.

3. Regulated Market forces ndio msema kweli daima. Serikali itoe vibali na standards za mbolea kwa kampuni 5 za kizalendo na kampuni 5 za nje, kuingiza mbolea. Sampuli zifanyiwe uchunguzi vizuri kabla ya kuruhusiwa kuingizwa nchini. Serikali isijiingize kupanga bei kabisa, ila ichunge sana existence of cartels za wafanya- biashara. Hii ndio kazi ya FCC- Fair Competition Commission. FCC wakishidwa hili ofisi yao ifutwe. Waache kujiangaisha na petty issues kama za klabu ya simba, ambazo nazo hawajatoa uamuzi clear hadi leo.

4. Kilio cha bei za mbolea leo hii ni hatari sana kwa maendeleo ya nchi:
  • Tunasema nchi hii kilimo ni uti wa mgongo- ila mbolea ndio hivyo hazinunuliki
  • Uzalishaji wa kilimo kwa jumla unategemea wakulima wadogo kwa zaidi ya asilimia 90- wengi wao hawana uwezo wa kununua mbolea hii
  • Hali ikiendelea hivi tutegemee
. Baa la njaa
. upungufu mkubwa wa fedha za kigeni sababu uzalishaji utapungua, na fedha zilizopo kidogo zitatumika kuagiza chakula
Kuna watu wanatakiwa waamke haraka kuokoa jahazi
 
kwenye vitu nyeti kama hivi si vibaya ukakaa kimya, kuliko kuja kwenye uzi wa watu , unaogusa moja moja maisha ya baba ako na mama ako, na hata huyo ambaye huwa ana kukojoza! na kuweka uharo wako kama huo! uwage na aibuu!! Ovyo! Ovyo! Ovyo kabsa!
Kumshambulia mtu badala ya hoja ni dalili kwamba akili ndogo kama uduvi hivyo imeshindwa kupambana na hoja
 
Binafsi napata wasiwasi na huyu Waziri ambae elimu yake ni Professor, namuuliza kweli ameshindwa ku handle tatizo la bei ya mbolea nchini..?, na msaidizi wake Bashe ambaye kimsingi ni mkulima inamana Bashe na wewe kwenye mashamba yako unanunua DAP, KAN, UREA 110,000 kwa mahekari yote hayo uliyonayo. Mbona mnafanya makusudi kumchonganish Rais na wananchi.

Mnachokojua wewe na msaidizi wako ni kujiandikia pesa za Gala za taifa waje kanunue mhindi yenu na kuwahadaa WFP kuwa mmenunua kwa wakulima kumbe ni yenu. Mnachofanya hakikubaliki hata kidogo.

Sasa kama mbolea imetoka Elfu 65,000 hadi 110,000 na Waziri upo kazini hadi sasa na hatuoni mabadiliko unataka Rais afanyeje...?

Kwa sasa bei ya gunia mshindi Elfu 30, viaz 30, maharage 40. Kwa heka moja unatumia mifumo ni 3 ya mbolea bado madawa, vibarua, palizi, uvunaji na usafirishaji. Hii ni kusema ukitaka mkulima hela moja itabidi uuze mahindi gunia 12 hapo ni upate tuu mifuko mi 3 ya mbolea. Kwaio ukitoa ma gharama zingine mkulima atapata wastani wa gunia 3 kama faida yaani Elfu 90 kwa msimu wote wa kilimo. Je hamuoni mnaenda kupunguza wqzalishaji, je namuona mnaenda kuleta baa la njaa..?

Asilimia 80 ya wapiga kura wa CCM ni wakulima, je unataka wananchi waichukie serikali ya CCM. Muda mwingine hawa walimu wenye ma profesa wabaki vyuoni wafundishe hizi kazi wapewe wataalamu ambao kimsingi wana uwezo mkubwa zaidi wa kiutendaji kuliko hawa walimu wenye u Professor.

Rais Samia wakulima tunaimani na wewe fanya jambo bei ya mbolea. Na hili tunakuomba usimwachie mtu sio PM sio Waziri, ingia mwenyewe front msimu wa kilimo ndio huu ili uiepushe nchi yetu na baa la njaa hapo mwakani.

Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Hivi wewe unaijua hali mbolea dunuani au unakuja hapa kubwabwaja?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
This saga is well orchestrated by some government officials in collaboration with some foreign elites. I can assure you in the coming year, there will be a full blowing famine in the country.
mshangao mkubwa sana tunapata

1. Ilitangazwa kwa majivuno kuwa, gesi asili ya mtwara itatumika kutengeneza mbolea hapa nchini. Ilielezwa pia, mbolea hiyo itakuwa na bei nafuu si chini ya asilimia 30 kulingana na bei zilizopo sokoni. Story hizo zimeisha na mbolea zimepanda toka wastani wa shs 55 elfu hadi 120 eflfu kwa mfuko wa kilo 50. Serikali yetu ipo na inatekeleza ilani na tunaambiwa hadi sasa asilimia 75 imeshatekelezwa...... basi tuamini hizo 25 zilizobaki zinahusika na tatizo la mbolea.

2. Kuna taasisi ya UMMA inaitwa Tanzania Fertilizer Company- hebu tuelezwe hasa kazi yake ni nini? Ina mtaji kiasi gani na tangible works ambazo wamefanya for the past three years.

3. Regulated Market forces ndio msema kweli daima. Serikali itoe vibali na standards za mbolea kwa kampuni 5 za kizalendo na kampuni 5 za nje, kuingiza mbolea. Sampuli zifanyiwe uchunguzi vizuri kabla ya kuruhusiwa kuingizwa nchini. Serikali isijiingize kupanga bei kabisa, ila ichunge sana existence of cartels za wafanya- biashara. Hii ndio kazi ya FCC- Fair Competition Commission. FCC wakishidwa hili ofisi yao ifutwe. Waache kujiangaisha na petty issues kama za klabu ya simba, ambazo nazo hawajatoa uamuzi clear hadi leo.

4. Kilio cha bei za mbolea leo hii ni hatari sana kwa maendeleo ya nchi:
  • Tunasema nchi hii kilimo ni uti wa mgongo- ila mbolea ndio hivyo hazinunuliki
  • Uzalishaji wa kilimo kwa jumla unategemea wakulima wadogo kwa zaidi ya asilimia 90- wengi wao hawana uwezo wa kununua mbolea hii
  • Hali ikiendelea hivi tutegemee
. Baa la njaa
. upungufu mkubwa wa fedha za kigeni sababu uzalishaji utapungua, na fedha zilizopo kidogo zitatumika kuagiza chakula
Kuna watu wanatakiwa waamke haraka kuokoa jahazi
 
Binafsi napata wasiwasi na huyu Waziri ambae elimu yake ni Professor, namuuliza kweli ameshindwa ku handle tatizo la bei ya mbolea nchini..?, na msaidizi wake Bashe ambaye kimsingi ni mkulima inamana Bashe na wewe kwenye mashamba yako unanunua DAP, KAN, UREA 110,000 kwa mahekari yote hayo uliyonayo. Mbona mnafanya makusudi kumchonganish Rais na wananchi.

Mnachokojua wewe na msaidizi wako ni kujiandikia pesa za Gala za taifa waje kanunue mhindi yenu na kuwahadaa WFP kuwa mmenunua kwa wakulima kumbe ni yenu. Mnachofanya hakikubaliki hata kidogo.

Sasa kama mbolea imetoka Elfu 65,000 hadi 110,000 na Waziri upo kazini hadi sasa na hatuoni mabadiliko unataka Rais afanyeje...?

Kwa sasa bei ya gunia mshindi Elfu 30, viaz 30, maharage 40. Kwa heka moja unatumia mifumo ni 3 ya mbolea bado madawa, vibarua, palizi, uvunaji na usafirishaji. Hii ni kusema ukitaka mkulima hela moja itabidi uuze mahindi gunia 12 hapo ni upate tuu mifuko mi 3 ya mbolea. Kwaio ukitoa ma gharama zingine mkulima atapata wastani wa gunia 3 kama faida yaani Elfu 90 kwa msimu wote wa kilimo. Je hamuoni mnaenda kupunguza wqzalishaji, je namuona mnaenda kuleta baa la njaa..?

Asilimia 80 ya wapiga kura wa CCM ni wakulima, je unataka wananchi waichukie serikali ya CCM. Muda mwingine hawa walimu wenye ma profesa wabaki vyuoni wafundishe hizi kazi wapewe wataalamu ambao kimsingi wana uwezo mkubwa zaidi wa kiutendaji kuliko hawa walimu wenye u Professor.

Rais Samia wakulima tunaimani na wewe fanya jambo bei ya mbolea. Na hili tunakuomba usimwachie mtu sio PM sio Waziri, ingia mwenyewe front msimu wa kilimo ndio huu ili uiepushe nchi yetu na baa la njaa hapo mwakani.

Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Serikali inatambua hili jambo na sio ishu ya Waziri mkuu bali ya serikali, nadhani wanatafakari hatua za kuchukua
 
Kai za kilimo zimesimama sijui nani zinaendelea kawaida yake
 
Ni kweli, Prof Mkenda anafeli.

Jimboni Rombo kuna haya matatizo na ameshindwa kutatua...

Moja ni Ukiritimba katika mgawanyo wa mashamba ya misitu...Wa Mama masikini, wajane na wanavijiji wanandikishwa majina...Lakini wakishavuna miti. Wananchi wanaambulia patupu. Wale matajiri wachache ..wanapewa kwa upendeleo ..Eka 10 mpaka 20.

Mbunge una power zote, unashindwa kuongea na Waziri mwenzako wa maliasili..ili kuwa na mgawo wa Eka Moja hadi 2 wapate wengi. Basi kama hujui, fanya ziara.

Pili: shida ya maji...ipo kubwa Tarakea, useri na Mashati.

Mkenda ni mzaliwa wa Tarakea...Kila kitu unakijua, na vingine umeona kwa macho

Sasa wewe kumbatia matajiri, uwaache Wananchi. Tuone kama Matajiri wanakaa foleni kupiga kura ..au ni wizi wa kura kama 2020!
 
They are lazy because they get huge amount of money , from tax payers

Mishahara minono, na Posho Nene ..na matumizi ya anasa
 
kuna kampuni wanaingiza urea na kuuza 65k kwa gunia
 
Ni kweli, Prof Mkenda anafeli.

Jimboni Rombo kuna haya matatizo na ameshindwa kutatua...

Moja ni Ukiritimba katika mgawanyo wa mashamba ya misitu...Wa Mama masikini, wajane na wanavijiji wanandikishwa majina...Lakini wakishavuna miti. Wananchi wanaambulia patupu. Wale matajiri wachache ..wanapewa kwa upendeleo ..Eka 10 mpaka 20.

Mbunge una power zote, unashindwa kuongea na Waziri mwenzako wa maliasili..ili kuwa na mgawo wa Eka Moja hadi 2 wapate wengi. Basi kama hujui, fanya ziara.

Pili: shida ya maji...ipo kubwa Tarakea, useri na Mashati.

Mkenda ni mzaliwa wa Tarakea...Kila kitu unakijua, na vingine umeona kwa macho

Sasa wewe kumbatia matajiri, uwaache Wananchi. Tuone kama Matajiri wanakaa foleni kupiga kura ..au ni wizi wa kura kama 2020!
Prof. Anaweza kuwa sio fisadi lakini yasiwe hard worker
Ndio maana matatizo hayaishi wizara yake
 
Back
Top Bottom