TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Ha ha ha haaa! Hii niliikosa. reyzzap njoo huku kuna mwandisi wa maji anataka kukupiku kwa vichekesho...! Eti usiku mabomba yanapaaa!!! Waziri naye kauzu eti na rubani wake yupo wapi!?"Unakwenda Vijijini unakuta 'tank' kubwa lakini hakuna maji, unauliza kwa mkandarasi kwanini hakuna maji anakwambia Mh. Naomba nikunong'oneze namwambia hapana! Waeleze wananchi kwanini maji hakuna anasema hajawahi kuona wananchi wachawi kama Vijijini anasema mabomba Usiku yanapaa kama ndege, namuuliza rubani wake yupo wapi? Kwahiyo wahandisi wa namna ile hawawezi kufanya kazi na wizara"