Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Masauni fuatilia pesa za makusanyo ya Wiki ya Nenda kwa Usalama. Zimepigwa?

Zinakusanywa bila control number? hapo lazima utengenezee watu ulaji na serikali kukosa mapato....
Kupiga kupo lkn hii imepitiliza mkuu unakula hadi mbegu
 
Kipindi hicho iliamuriwa itumike kwenye hili eneo la ununuzi magari mkuu
Mkuu nijuavyo hata mkitumia control number fedha huwa zinarudishwa kutoka BOT kuna kuwaga na A/C 2 za taasisi(BOT) ya makusanyo na ya matumizi kwa kila taasisi, hata kama ni fedha za ukumbi za taasisi lazima zilipwe kwa control number then zinarudishwa bank, hapo waziri kabariki wizi na nijuavyo taasisi yenu hiyo kwa rushwa ni balaa na nusu
 
Mkuu hujawahi kulipia stika ya nenda kwa usqlama?
Hii hulipwa mkononi kwenye ofisi ya RTO
 
Tuanze na hapo mkuu inabidi mbadilike kwanza nanyie ambao ndiyo wasimamizi wakuu wa sheria
Ni kweli usemavyo mkuu lkn nakuhakikishia humu ndwni kuna watu mikono yao ni safi 100%
Tuna HR wetu huyo ni mfano wa kuigwa ni mzee mcha Mungu sana hagusagi lolote.

Wapo watakatifu kabisa huwezi amini
 
HR anakutana na mahabusu wapi mkuu? nasemea nyie mnaokamata watu hovyo hovyo na kuwaweka mahabusu bila sababu za msingi
 
Back
Top Bottom