PostGE2025 Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene aonya juu ya maandamno ya Desemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Serekali inataka kutumia nguvu kuwaondoa wakimbizi wa Kirundi walioishi Tanzaania kwa zaidi ya miaka 40! Yote hayo ya nini kama Mwafrika mwenzetu hajafanya uovu hapa nchini? Miaka ya 60 na 70 Tanzania tulikuwa na wakimbizi wengi sana kutoka Rwanda na Burundi. Baada ya ghasia kutulia kiasi huko makwao, Nyerere alitoa blanket offer kwa wakimbizi wote ama warudi makwao, au wachukue uraia wa Tanzania. Wachache walirudi makwao. Wengi wakachukua uraia wa Tanzania. Tatizo kwisha. Si busara kutumia nguvu dhidi ya mtu aliyekuwa akiishi nchini kwetu kwa miaka yote hiyo kama hajafanya uhalifu mwingine. Tuna mataizo mengi ya kutosha ya kushughulikia zaidi ya hilo la wakimbizi wa kutoka Burundi ambao wamekuwa wakiishi Tanzania kwa miongo na miongo.
 
Too late bro
 
Inashangaza sana wanaolia na amani ni viongozi tu licha ya kwamba amani ikipotea wanao umia ni walala hoi, cha kujiuliza unafkiri wanawapenda sana hao walala hoi?
Kama wanawapenda kwanini wasitekeleze kile ambacho walala hoi wanakihitaji mpaka waandamane?
By the way hakuna utawala mpaka uliodumu milele hapa duniani isipokuwa utawala wa Mungu tu.
 
Atoke hapa huyo Waziri feki anamfokea nani?
 
Aende zake huko tena akae kimya sio waziri halali huyo ni waziri feki anamwambia nani matamko yake hayo? Wananchi hatumtambui
njoo uwanjani tarehe hiyo usikie kitu cha baridi kikiiingia mwilini
 
Ni mwendo wa kutunishiana vifua.

Wao wanaona wana nguvu kwa sababu wana mabunduki, vifaru na pesa za nchi. Wananchi wanaona wana nguvu kwa sababu kimsingi nchi ni yao na wako wengi sana kuwazidi hao wenye mabunduki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…