AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Simbachawene kaa kimya... hii ni amri sio ombiNi mwendo wa kutunishiana vifua.
Wao wanaona wana nguvu kwa sababu wana mabunduki, vifaru na pesa za nchi. Wananchi wanaona wana nguvu kwa sababu kimsingi nchi ni yao na wako wengi sana kuwazidi hao wenye mabunduki.
Wanatia hasira sana... halafu cha ajabu wao ndio waanzilishi wa vuruguHivi kwanini hamtaki kusikia maandamano,
Vipi tukitoka na mikono tumeifunga pingu ama kamba, mtaruhusu mandamano, mtaacha kutuSHOOT?
Madaraka mzee, ni wanapambania kubaki madarakani..Wanatia hasira sana... halafu cha ajabu wao ndio waanzilishi wa vurugu
Falasana huyo Waziri feki..Yeye ni mahakama? Aache ujinga
Yeye ni Waziri feki... mwambieni azime maiki na akae kimyaAnaonya kama nani?
Maandamano ni haki ya kikatiba na waandamaanaji wanatakiw kutoa tu taarifa ya kuandamana na jamii nzima hadi duniani kote wanajua tarehe 9 kuna maandamano.
Atadhali vilaza, hawam ni mbwa kokoHawa vilaza sijui walisoma wapi mbwa hawa.
Yaani wao wakiskia neno "maandamano" kitu kinachowaijia vichwani ni kutoweka kwa hiyo wanayoita "amani"
Yaani wanasahau kabisa haki za mwanainchi za kikatiba ni pamoja na hayo maandamano.
Na hiki kichaka cha neno "kulinda amani" wamekuwa wakikitumia kuhalalisha uonevu na unyama wanaoufanya kwa wanainchi.
Hakika kuna serikali ya ovyo yenye viongozi wa ovyo mpaka wanakera, sijui tulimkosea nini Mungu leo hii tunaongozwa na haya majinga.
Angalia kwenye maelezo yake amekazia sana kuhusiana na uharibu wa vitu na hakuna mahali alipotaja vifo....yaan hawa basi tu
Serekali inataka kutumia nguvu kuwaondoa wakimbizi wa Kirundi walioishi Tanzaania kwa zaidi ya miaka 40! Yote hayo ya nini kama Mwafrika mwenzetu hajafanya uovu hapa nchini? Miaka ya 60 na 70 Tanzania tulikuwa na wakimbizi wengi sana kutoka Rwanda na Burundi. Baada ya ghasia kutulia kiasi huko makwao, Nyerere alitoa blanket offer kwa wakimbizi wote ama warudi makwao, au wachukue uraia wa Tanzania. Wachache walirudi makwao. Wengi wakachukua uraia wa Tanzania. Tatizo kwisha. Si busara kutumia nguvu dhidi ya mtu aliyekuwa akiishi nchini kwetu kwa miaka yote hiyo kama hajafanya uhalifu mwingine. Tuna mataizo mengi ya kutosha ya kushughulikia zaidi ya hilo la wakimbizi wa kutoka Burundi ambao wamekuwa wakiishi Tanzania kwa miongo na miongo.
Umesahau kuweka "?"Kwani nani kasema kuna vurugu wakati ni maandamano ya Amani
Ndio nashangaa anaongea kama nani hapo.Yeye ni Waziri feki... mwambieni azime maiki na akae kimya
Marufuku,aliyechoka kula ugali apeleke komwe hiyo 9DMimi nafikiri huyo Simbachawene angesema jeshi la polisi litoe kibali mapema ili wananchi waandamane kwa amani na kutoa malalamiko yao pasipo kufanya fujo, au polisi kuwaua hovyo kwa risasi za moto.
Na siyo kupiga marufuku, au kupinga uwepo wa hayo maandamano! Maana sheria inaruhusu watu kuandamana.