Polisi hawana mamlaka ya kutoa kibali wanatakiwa kupokea taarifa ya maandamano[ ambayo imefanyika na dunia nzima wanajua]Mimi nafikiri huyo Simbachawene angesema jeshi la polisi litoe kibali mapema ili wananchi waandamane kwa amani na kutoa malalamiko yao pasipo kufanya fujo, au polisi kuwaua hovyo kwa risasi za moto.
Na siyo kupiga marufuku, au kupinga uwepo wa hayo maandamano! Maana sheria inaruhusu watu kuandamana.
Hamna tena jeuri nyinyi vichwa panzi. Dunia kwa sasa inawaangalia kila upande.Marufuku,aliyechoka kula ugali apeleke komwe hiyo 9D
Na wewe peleka Kunduchi lako Kwa AbduliMarufuku,aliyechoka kula ugali apeleke komwe hiyo 9D
Wapo viongozi wachache wenye IQ kubwa, lakini sio viongozi wa kitaifa. Kwa mfano, RC Mtaka ana combination sahihi ya akili na leadership traits. I wish angekuwa kiongozi wa kitaifa!Hivi hakuna kiongozi mwenye Iq kubwa Serikalini anayeweza kusimama akalihutubia taifa mambo yanaoweza kushusha hasira za wananchi, mambo hayo machache mbona yanafahamika na kila mtu?
Kiongozi asimame akemee hadharani mambo ya utekaji, mauaji, kusingizia watu kesi, ku upgrade kesi kutoka za uzurulaji na kuwa kesi za uhaini ili kukandamiza raia.
Kueleza wazi hatua madhubuti zitakazochukuliwa kwa wale wote walioshiriki mauaji ya raia wasio na silaha D29 pamoja na kuwalipa fidia wote waliopoteza maisha.
Naendelea kujiuliza, hivi kweli Serikali nzima imeshindwa kubaini point ndogo hizi ili kuweza kuleta afueni kwenye mtanziko huu?
Haya mambo ya kuonya watu walio na hasira mioyoni mwao, tena walio na mamlaka juu ya nchi yao ni dharau na uvunjifu wa katiba.
Sasa wote tutaonyana, Serikali inatuonya wananchi na wananchi nao tunaionya Serikali, mwisho utakuwaje hapo?
Mkifungiwa ndani hiyo dunia itaangaliaje kila upande?Hamna tena jeuri nyinyi vichwa panzi. Dunia kwa sasa inawaangalia kila upande.