Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania kazini, asema Tanzania na Mozambique wameshirikiana kuleta amani Gabo Delgado

Mkapa did not merely lose his cool. He was saying it is cool to lose his cool.

Tim Sebastian was like "Are you angry right now?" expecting a "No, I am not".

Mkapa was like "You're damn right I'm angry" 😂😂😂
 
Sijaangalia interview.

Ila kwenye lugha ni sahihi kusema swahili na siyo kiswahili.

Kiswahili siyo kiingereza ni neno la kibantu. Tukihalalisha hoja yako itabidi pia tuanze kusema Waswahili na siyo Swahili people
Unapotosha mantiki ya Masanja anachoongelea ni matumizi ya maneno haya...we use swahili badala ya kusema...we have swahili
 
Kuna hili suala la kujaza Wazanzibari katika serekali ya JMT ukilinganisha na idadi,uchumi na weledi.

Sijui kwanini nashangaa Zanzibar ya 1.8 milion kuwa na mawaziri 5 ktk baraza la mawaziri.Mbaya zaidi tena wanapewa Wizara nyeti !.

Wizara ya uchukuzi si muungano inaongozwa na Mzanzibar .

Wizara ya TAMISEMI si ya muungano lkn kapewa mzanzibar

Mambo ya ndani & Nje zote za Wazanzibari.
 
Hapo angekuwa Mulamula au Stegomena, aibu ungeiona wewe.

Walau huyu anaongea na kueleweka.
For sure, huyu kueleweka ameeleweka straight..
Mula mula yule mama sipat picha akitongozwa anakuaje maana akihojiwa tu anacheka cheka mara ajishike shike yani full kutotulia
 
Nice. I will look into this when I plan my sojourn.

Right now Sendwave and Whatsapp are all that I need for Bongo.
 
For sure, huyu kueleweka ameeleweka straight..
Mula mula yule mama sipat picha akitongozwa anakuaje maana akihojiwa tu anacheka cheka mara ajishike shike yani full kutotulia
Alikuja Marekani hapo Washington DC kuongea mambo ya uraia pacha na mimi nilishangaa huyu mama mbona anachekacheka sana?

Ila Wamarekani walikuwa wanampenda sana.
 
Unapotosha mantiki ya Masanja anachoongelea ni matumizi ya maneno haya...we use swahili badala ya kusema...we have swahili
Haupo serious.

Mpaka ameyawekea quote maneno aliyoona shida bado tu hauoni?
 
Hao wajapan utawasikia ukiwa wapi?
 
Well, on the face of it, why don't we have him as the President, instead of you know who...!

He seems to have the necessary confidence on facing the mike, and his image projects that confidence as well.
Na huyu wa sasa Je, au unataka kumaanisha 2030
 
Ki afrika hii unaona jau kabisaa

Wajanja wanaona fursa, kucheka cheka hivyo wao wanapenyeza ajenda zao mezani , anazingalia anacheka cheka anasaini. Imeisha...
Wabongo mnavyopenda conspiracy theories.

Yani habari kabla hamjaielewa vizuri tu, mshaona conspiracy theory.
 
Na Raisi wetu anaitwa Mtukufu Raisi/Muheshimiwa Raisi/Our Excellency President Samia Suluhu Hassan/Our Excellency President Dr Samia Suluhu Hassan
 
Dr. kwa PhD ya kupewa. Au anataka aonekane msomi?
Sioni tatizo kama kuitwa hivyo, hakuathiri haki ya mtu yeyote, na endapo Yeye ameridhia kuitwa hivyo. Kama analazimishwa hilo ni tatizo!!!
 
Na Raisi wetu anaitwa Mtukufu Raisi/Muheshimiwa Raisi/Our Excellency President Samia Suluhu Hassan/Our Excellency President Dr Samia Suluhu Hassan
Umesahau Commander in Chief.
 
Na Raisi wetu anaitwa Mtukufu Raisi/Muheshimiwa Raisi/Our Excellency President Samia Suluhu Hassan/Our Excellency President Dr Samia Suluhu Hassan
Tumekubaliana Rais ni alama ya nchi. Kwa hiyo, haukubali kuwa Tanzania Ina utukufu?
 
sina bando mjuukuu wangu, Je huyo bwana analimudu vema yai la malkia? Au ni wale wale
 
Mambo ya ndani & Nje zote za Wazanzibari.
Wana kofia mbili ni Wazanzibar na ni Watanzania. Vinginevyo, unataka hao mawaziri wanyang'anywe passport ya JMT! Kama Wana passport hiyo, sioni cha kuwazuia kushika nyadhifa hizo. Pia hakuna sheria ama kipengele cha katiba kinachotukuza kuwabagua Wazanzibari!!!

Tusifanyie mambo kwa hisia, leta Sheria, regulations ama sera ama kipengele cha katiba kinachounga Mkono hoja yako hii ya kuwabagua wenzetu!!!
===
Povu ruksa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…