Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania kazini, asema Tanzania na Mozambique wameshirikiana kuleta amani Gabo Delgado

Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania kazini, asema Tanzania na Mozambique wameshirikiana kuleta amani Gabo Delgado

Well, he wasn’t on a hard hitting interview like HARDtalk and the like.

Some of us remember when and how Mkapa lost his cool on that programme 🤣.

But, even with the softball questions on a friendly network in a brotherly/ sisterly country, I shudder to think the type of word salads that would have come out of Mulamula’s or Stegomena Tax’s mouths.
Mkapa did not merely lose his cool. He was saying it is cool to lose his cool.

Tim Sebastian was like "Are you angry right now?" expecting a "No, I am not".

Mkapa was like "You're damn right I'm angry" 😂😂😂
 
Sijaangalia interview.

Ila kwenye lugha ni sahihi kusema swahili na siyo kiswahili.

Kiswahili siyo kiingereza ni neno la kibantu. Tukihalalisha hoja yako itabidi pia tuanze kusema Waswahili na siyo Swahili people
Unapotosha mantiki ya Masanja anachoongelea ni matumizi ya maneno haya...we use swahili badala ya kusema...we have swahili
 
Kuna hili suala la kujaza Wazanzibari katika serekali ya JMT ukilinganisha na idadi,uchumi na weledi.

Sijui kwanini nashangaa Zanzibar ya 1.8 milion kuwa na mawaziri 5 ktk baraza la mawaziri.Mbaya zaidi tena wanapewa Wizara nyeti !.

Wizara ya uchukuzi si muungano inaongozwa na Mzanzibar .

Wizara ya TAMISEMI si ya muungano lkn kapewa mzanzibar

Mambo ya ndani & Nje zote za Wazanzibari.
 
Hapo angekuwa Mulamula au Stegomena, aibu ungeiona wewe.

Walau huyu anaongea na kueleweka.
For sure, huyu kueleweka ameeleweka straight..
Mula mula yule mama sipat picha akitongozwa anakuaje maana akihojiwa tu anacheka cheka mara ajishike shike yani full kutotulia
 
Ok, so hizi iPhones mpya, kuanzia 14 mpaka 16, zina uwezo wa kuwa na lines mbili.

Nina namba ya Marekani na nina namba ya bongo kupitia Vodacom.

Both numbers are active.

Nikiwa Marekani, namba yangu ya Vodacom inafanya kazi. Napokea simu, texts, n.k. Access ya M-Pesa inafanya kazi vizuri tu. Naweza kumtumia mtu hela, kupokea hela, kulipia Luku, na mengineyo.

Nikiwa Tanzania vivyo hivyo, namba ya T-Mobile inafanya kazi kama kawaida.

Nikiwa Marekani, primary line na secondary line zinatumia network ya T-Mobile. Na simu inakuonyesha juu mkono wa kushoto network inayotumika.

Nikiwa Tanzania, network inabadilika inakuwa inakuwa ya Vodacom.

Jana tu nimepokea ujumbe toka Vodacom. Huwa napokea jumbe kama hizi karibu kila siku. Nadhani system yao inapo detect kuwa eSIM yao ipo nje ya Tanzania, automatically inatuma ujumbe kama huu.

View attachment 3120466
Nice. I will look into this when I plan my sojourn.

Right now Sendwave and Whatsapp are all that I need for Bongo.
 
For sure, huyu kueleweka ameeleweka straight..
Mula mula yule mama sipat picha akitongozwa anakuaje maana akihojiwa tu anacheka cheka mara ajishike shike yani full kutotulia
Alikuja Marekani hapo Washington DC kuongea mambo ya uraia pacha na mimi nilishangaa huyu mama mbona anachekacheka sana?

Ila Wamarekani walikuwa wanampenda sana.
 
hivi ni kwa nini watanzania wanapenda sana huo msemo una maana gani haswa? i mean, sijawahi kusikia mjapani akisema we have japanese as our national language, au mchina we have chinese as our national language, ethiopia we have amharic as our national language, au hata rwanda wakisema we have kinyarwanda as our national language kwa nini watanzania husema hivyo? kwa nini ni big deal kwa tanzania mpaka hata kila mahali waseme huo msemo? sijawahi sikia mswede akisema we have swedish as our national language, kwa nini tanzania ni muhimu hivyo kwa maana karibia kila kiongozi huongea hivyo kwenye international press wakati huo huo wao ndio maadui wakubwa wa hicho hicho kiswahili ? hakuna kingine cha kuongelea?
Hao wajapan utawasikia ukiwa wapi?
 
Well, on the face of it, why don't we have him as the President, instead of you know who...!

He seems to have the necessary confidence on facing the mike, and his image projects that confidence as well.
Na huyu wa sasa Je, au unataka kumaanisha 2030
 
Ukiwa unaongea kiingereza, Kiswahili kinaitwa Swahili, Ki ni prefix inayotumika ukiwa unaongea Kiswahili kuitaja lugha yoyote, kwa hivyo kuna Kiingereza, Kireno, Kiarabu, Kisukuma. Hizi ligha kwa Kiingerwza ni English, Portuguese, Arabic, Sukuma. Ukiwa unaongea Kiingereza husemi KiEnglish, KiPortuguese, KiArabic, KiSukuma. Ki inasemwa wakati unaongea Kiswahili. Haisemwi wakati unaingea Kiingereza, kwa sababu ni prefix ya Kiswahili.

Sasa, ukitaka kukiita Kiswahili "Kiswahili" wakati unaongea Kiingereza, na Kiingereza utakiitaje? KiEnglish?

Kumtaja Samia kama alivyomtaja hapo si uchawa. Hiyo ni diplomasia, kuonesha collective responsibility na unity of message.

Mimi nilifundishwa kuandika memo za corporate world, nimefundishwa kwamba ukitaja kulipa ujumbe jambo, unaliunganisha na maneno ya mkubwa fulani kama CEO wenu, ili kuonesha kuwa yale maneno unayoyasema si yako wewe mwenyewe, ni muelekeo wa kampuni. Kwa hiyo Mahmoud hapo alikuwa anaonesha kuwa haya si maneno yake tu, ni maneno ambayo yana backing ya rais wa nchi.
Na Raisi wetu anaitwa Mtukufu Raisi/Muheshimiwa Raisi/Our Excellency President Samia Suluhu Hassan/Our Excellency President Dr Samia Suluhu Hassan
 
Dr. kwa PhD ya kupewa. Au anataka aonekane msomi?
Sioni tatizo kama kuitwa hivyo, hakuathiri haki ya mtu yeyote, na endapo Yeye ameridhia kuitwa hivyo. Kama analazimishwa hilo ni tatizo!!!
 
Na Raisi wetu anaitwa Mtukufu Raisi/Muheshimiwa Raisi/Our Excellency President Samia Suluhu Hassan/Our Excellency President Dr Samia Suluhu Hassan
Umesahau Commander in Chief.
 
Na Raisi wetu anaitwa Mtukufu Raisi/Muheshimiwa Raisi/Our Excellency President Samia Suluhu Hassan/Our Excellency President Dr Samia Suluhu Hassan
Tumekubaliana Rais ni alama ya nchi. Kwa hiyo, haukubali kuwa Tanzania Ina utukufu?
 
Jamaa yupo vizuri. He seems to know what he’s talking about.
Only next time asiseme we have “Swahili” as our national language. Rather we use “kiswahili” as our national language.

Ila pia alipenyeza ka statement ka uchawa design😂😂
Eti Dr. Samia Suluhu Hassan. Hivi kwa nini hawa watu wanapenda validation? Presidency ni taasisi inajitosheleza! Kibaya kwa huyu mama PhD ni ya kupewa bure. Huwezi tumia neno Dr. kwa PhD ya kupewa. Au anataka aonekane msomi?

It is my first time kumsikia akiongea huyu bwana. Good luck to him.
sina bando mjuukuu wangu, Je huyo bwana analimudu vema yai la malkia? Au ni wale wale
 
Mambo ya ndani & Nje zote za Wazanzibari.
Wana kofia mbili ni Wazanzibar na ni Watanzania. Vinginevyo, unataka hao mawaziri wanyang'anywe passport ya JMT! Kama Wana passport hiyo, sioni cha kuwazuia kushika nyadhifa hizo. Pia hakuna sheria ama kipengele cha katiba kinachotukuza kuwabagua Wazanzibari!!!

Tusifanyie mambo kwa hisia, leta Sheria, regulations ama sera ama kipengele cha katiba kinachounga Mkono hoja yako hii ya kuwabagua wenzetu!!!
===
Povu ruksa!
 
Back
Top Bottom