Waziri wa mambo ya nje wa Marekani amtaja Mbosso kama mmoja ya msanii wake bora 2022

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani amtaja Mbosso kama mmoja ya msanii wake bora 2022

Ukichagua playlist ya akiwa barabarani utauona wimbo wa mbosso.

Nimethibitisha mwenyewe.
Wimbo wa 6
 
View attachment 2463461

Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Secretary of State) Blinken ameachia orodha ya ngoma alizozizimia kwa mwaka 2022 ambapo miongoni mwa ngoma hizo, ameitaja Yataniua yake Mbosso Khan akimshirikisha Diamond Platnumz aka Simba.
Kwahiyo wazungu waki.. nasi tu... kumbe mentality yetu ingali na safari ndefu
 
Back
Top Bottom