Waziri wa Michezo wa Ivory Coast asema hamjui Pacome

Yaani hii habari imeletwa na Waziri wa Tanzania?
 
Sasa mleta mada yeye alitaka apate maoni negative...hahahahahaha
Ushabiki maandazi unatuzidi, chochote cha yanga unataka kuponda tu.

Mie ushabiki huo sina kwa kweli, ni mpenzi wa simba lakini pacome ni mchezaji mzuri, siwezi kukosa adabu kiasi hiki, waziri wa michezo akisema hamjui samatta sote tutamshangaa ila akisema hamjui abdallah khamis, hatuwezi shangaa
 
Mkuu hapa ni waziri huyo akimkabidi ufunguo wa gari Pacome kuwa MVP wa ligi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri Ndumbaro, mleta Mada na Bwigane Tv wote ni ..... Mbumbumbu in Rage voice.

MVP wa Ligi ya Ivory Coast aheshimiwe.

Waziri wa Ivory Cost yuko na Akili Kubwa..
 
Hao ndio mawaziri mizigo. Waziri hamjui mchezaji ambaye alikuwa MVP kwenye ligi kuu ya nchi yake.
Inamaana waziri hafuatilii kabisa ligi kuu ya nchi yake.
 
Sawa sawa
 
Sasa uliona ile clip ya yule journalist?

Journalist alikuwa anasema umati mkubwa wa mashabiki wa Ivory Coast waliokuwa wanaleta vurugu baada ya kutofuzu walionekana kumlaumu kocha kwanini hakumuita Pacome.
Wengine huwa wanaleta propaganda za kitoto tu.
 
Ni kawaida sana hili. Kwani kuwa waziri wa michezo ni lazima umfahamu kila mchezaji? Kufahamu wachezaji ni swala lingine, huenda kuna hata timu za ligi kuu yao anaweza asizijue.
 
Waziri wa Tanzania ni Chawa au Akili ndogo....ikae hivyo
Nakubaliana na wewe [emoji817]. Nchi yako imefanya vibaya kwenye mashindano, wewe unakuja na Taarifa ya kuponda mchezaji wa timu nyingine kisa hushabikii timu hiyo? Suala la Pacome linasaidia nini kufuta aibu ya Taifa stars kuondolewa mapema AFCON?
 
Tatizo letu watanzania tunadhani dunia nzima wanachanganya .......taaluma na siasa....hakuna hiyooo kwa nini waziri amjue mchexaji wa kila team ? Sio kweli....yeye sio kocha wala scout....acheni siasa za kitoto Ndumbaro ni tapeli wa mpira hilo tunajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…