Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Yaani hii habari imeletwa na Waziri wa Tanzania?“Wakati tunaendelea na mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast nikamuuliza kwanini mmemuacha Pacome akaniuliza Pacome ndiyo nani? Nikamjibu ni Mchezaji wa Yanga na ni nyota wa Ligi Kuu”
Mheshimiwa Damas Ndumbaro, Waziri wa Michezo akieleza moja ya mahojiano yake aliyoyafanya na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast.
Source: Bwigane Tv