Waziri wa Michezo wa Ivory Coast asema hamjui Pacome

Angekua mchezaji mkubwa lazima angejulikana.Kwahiyo kama hajulikani maana yake sio mchezaji mkubwa.Inawezekana huyo pacome ndio kaanza kujulikana baada yakutua yanga.kama ilivyokua kwa Mayele,ukubwa wake aliupata yanga.Wako wachezaji uku kwetu tunawaona ni wakubwa kumbe uko kwao wala hawajulikani kwasababu waliondoka wakiwa wa kawaida.
 
Halafu wapenzi na wadau wa michezo tunamkumbuka sana huyo Damas Ndumbaro wakati alipokuwa wakili wa simba, na baadaye kufungiwa na TFF!

Maana yake pamoja na kuokota embe dodo la uwaziri, ila bado tabia kama za mashabiki wenzake wa simba.
 
Kwahiyo tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya Ivory coast aliipata akiwa na Yanga?
 
Mbumbumbu tu hilo linaeneza ukolo wake
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…