Waziri wa Michezo wa Ivory Coast asema hamjui Pacome

Ni jambo la kawaida kabisa, Yeye ni waziri na si kocha kuwafahamu wachezaji zaidi ya 100 wenye uraia wa Ivory coast walio tawanyika Africa, Ulaya, Asia n.k lingekua jambo la kushangaza.

Izo Nchi zilizo endelea ki soka Zina mamia ya wachezji wanao tamba sehemu mbali mbali duniani, Sio kama Tanzania tunatafuta na wapo wachache Sana Tena wengi ni wa kawaida.
Angekua mchezaji mkubwa lazima angejulikana.Kwahiyo kama hajulikani maana yake sio mchezaji mkubwa.Inawezekana huyo pacome ndio kaanza kujulikana baada yakutua yanga.kama ilivyokua kwa Mayele,ukubwa wake aliupata yanga.Wako wachezaji uku kwetu tunawaona ni wakubwa kumbe uko kwao wala hawajulikani kwasababu waliondoka wakiwa wa kawaida.
 
Halafu wapenzi na wadau wa michezo tunamkumbuka sana huyo Damas Ndumbaro wakati alipokuwa wakili wa simba, na baadaye kufungiwa na TFF!

Maana yake pamoja na kuokota embe dodo la uwaziri, ila bado tabia kama za mashabiki wenzake wa simba.
 
Angekua mchezaji mkubwa lazima angejulikana.Kwahiyo kama hajulikani maana yake sio mchezaji mkubwa.Inawezekana huyo pacome ndio kaanza kujulikana baada yakutua yanga.kama ilivyokua kwa Mayele,ukubwa wake aliupata yanga.Wako wachezaji uku kwetu tunawaona ni wakubwa kumbe uko kwao wala hawajulikani kwasababu waliondoka wakiwa wa kawaida.
Kwahiyo tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya Ivory coast aliipata akiwa na Yanga?
 
“Wakati tunaendelea na mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast nikamuuliza kwanini mmemuacha Pacome akaniuliza Pacome ndiyo nani? Nikamjibu ni Mchezaji wa Yanga na ni nyota wa Ligi Kuu”

Mheshimiwa Damas Ndumbaro, Waziri wa Michezo akieleza moja ya mahojiano yake aliyoyafanya na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast.

Source: Bwigane Tv
Mbumbumbu tu hilo linaeneza ukolo wake
 
“Wakati tunaendelea na mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast nikamuuliza kwanini mmemuacha Pacome akaniuliza Pacome ndiyo nani? Nikamjibu ni Mchezaji wa Yanga na ni nyota wa Ligi Kuu”

Mheshimiwa Damas Ndumbaro, Waziri wa Michezo akieleza moja ya mahojiano yake aliyoyafanya na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast.

Source: Bwigane Tv
IMG_5140.jpeg
 
Back
Top Bottom