Waziri wa Mifugo kubishana hadharani na Rais ni utovu wa nidhamu

Yuko sahihi shida ni uchawa unawasumbua ndo mnakua akina ndio ndio.


Haya twende, Huyo mhitimu wa SUA anapewa kitalu Ng'ombe anazitoa wapi? Au anapanda nyasi kwenye hicho kitalu?

Wazo la mheshimiwa huenda ni zuri ila sio rahisi kama mnavyo liona.

NARCO huwa wanawakodishia Wafugaji vitalu, wao wanakuja kulisha mifugo yao inapata malisho inanenepa na wanapata fedha ya kulipa na kodi ya kukodishiwa kitalu.

Sasa huyu mwanafunzi anapewa kwa muktadha upi? Amekodi au kapewa msaada? Na atapewa kwa muda gani? Ni lazma wizara ikae na wadau waujadili huo mpango kwa pamoja lasivyo sio kitu rahisi.



Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 

Nchi hii ngumu, aliyebishiwa kaona poa tu wengine nje wanaungua
 
Una tatizo binafsi na Waziri ww, unaonekana una chuki binafsi, stop this nonsense ASAP.
 
Wewe kwa nini una vita kubwa na mashimba ndaki?unataka cheo?

kama Mungu hajakupangia hutapata

Kwa chuki ulizonazo kila ukiamka unaeneza fitina

🔊🔊NA HUTAPATA CHOCHOTE MPK SIKU UNAKUFA UTABAKI HIVO HIVO,save hii 🟥
 
achana na mambo binafsi tuzungumzie hoja mahususi hao walioondolewa kina Kalemani, Lukuvi, Kabudi nao ulikuwa unautaka uwaziri wao?
Acha ujinga wewe mpumbavu,unadhani Rais hana taarifa sahihi

Kila siku unakuja na vitaarifa vyako vya kipuuzi,ushindwe na ulegee na ushuke mpk chini
 
Ina maana rais ana akili kuliko watu wote katika nji hii
 
Boss wako anapokupa maagizo hata kama si sahihi huna budi kuyafuata.

Rais sio Mama yako anayeweza kukutuma bombani ukachote maji na usitii amri kwa kisingizio cha kuchoka.
Sasa kama Rais sio mama yako, ni kwa nini mnajipendekeza kwa kumuita mama??
 

Mbona una chuki sana na Waziri Ndaki? Shida nini mkuu?
Kila siku unafungua nyuzi kumponda na kuonyesha yeye si lolote kakukosea nini?

Kama ni uwaziri mbona Wizara ziko lukuki? Kuna mawaziri kibao wanapuyanga mbona huwasemi? Daily uko na Ndaki
Unaboa sana
 
Ficha ujinga wako taratibu za kumiliki vitalu ziko vizuri sifa kubwa uwe mtanzania, usiwe na sifa ya uhalifu, uwe na uzoefu wa kufuga hizo ni baadhi ya sifa chache kama una sifa nenda kaombe kitalu badala ya kuleta majungu
 
Kumshauri kiongozi mkuu ndo kazi ya waziri na kufanya hivyo siyo kumpinga. Mimi nadhani watanzani tunatakiwa kubadilika sana. Nidhamu ya uoga ndo chanzo cha matatizo yetu.
 
Waziri yupo sahihi.
 
Ifikie mahali tuanzishe kozi ya uchawa na majungu kwa kuanzia ngazi ya cheti hadi PHD naona siku hizi vijana wengi wavivu wanaipenda na inawalipa sana na ajira zake zipo nje nje.
 
Sio kweli
Boss wako anapokupa maagizo hata kama si sahihi huna budi kuyafuata.

Rais sio Mama yako anayeweza kukutuma bombani ukachote maji na usitii amri kwa kisingizio cha kuchoka.
 
Huyu jamaa atakuwa kalipwa ili kumchafua waziri Mashimba
 
Kama kwamba mtanzania mwenye akili uko peke yako. Haiwezekani ukamfungulia nyuzi kibao wewe mwenyewe, mbona unamshupalia mh ndaki kama kwamba kuna kitu binafsi unataka utimize malengo kwa kumtumia Mkuu wa nchi!? Umefungua uzi wa kwanza ukaona hautoshi, wa pili, wa tatu, wa nne, wa tano😳😤 kitu gani kilicho jificha nyuma ya pazia hutaki kuwaelewa watanzania sema unataka kutumia fimbo ya mkuu wa nchi kumchapia mh Ndaki?
 
acheni kutetea ujinga Mawaziri wangapi wametumbuliwa. ametumbuliwa Kabudi, Lukuvi, Kalemani, Ndugulile, Kitila Mkumbo, Mwambe, Chamuriho, Prof. Manya, Mwita Waitara na wote hao hawajawahi kujibizana na Mh. Rais hadharani kwa lolote
Halafu wote wakristo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…