Waziri wa Mifugo kubishana hadharani na Rais ni utovu wa nidhamu

Tumeshuhudia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki akipinga hadharani maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyeagiza vitalu vya NARCO vifutwe na kupewa vijana wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo SUA ili kutengeza fursa za ajira kupitia ufugaji

Mambo ambayo Waziri alipaswa kuyafanya ni mawili ama kutekeleza maagizo aliyopewa na Mh. Rais kama yalivyo ama kuandika barua ya kujiuzulu na sio kupingana na Mh Rais hadharani na kusema kabisa kwamba anaunda timu ya wataalamu ili kuishauri Sekali.

Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri Mashimba " jambo hili tumelipima na tukaliona linahitaji umakini mkubwa na kwa hiyo ili kutekeleza jambo hili wizara tumeunda timu ya wataalamu kutoka wizara na taasisi mbalimbali zinazohusika na mambo mbalimbali sasa timu hii tunataka ifanye tathmini ya kina ya utendaji na changamoto zilizoko ndani ya Narco ili tuweze kuishauri sawasawa Serikali"

Huu ni utovu wa nidhamu uliopitiliza lakini tukisema humu mnaanza kuhusisha mambo yenu ya udini na ukabila, sijawahi kuona Waziri anapingana na Rais wake kwa sababu madaraka ya waziri amekasimiwa na Mh Rais sasa unaposema anaundia timu ya wataalamu maagizo ya Mh Rais maana yake nini.
Sasa hizi nazo ni siasa za maji taka unazozileta wewe kila siku ni waziri wa mifugo tu!??hata kama hizo tuhuma zina ukweli inaonekana una chuki binafsi na waziri huyo, haiwezekani kila leo ni yeye tu!!muachie aliyemteua ndio atamuona kuwa hafai atampiga chini!!
 
Hata jambo la hovyo unakubaliana naye sababu tu ni Boss.sisi watz huu ujinga ndo unatufikisha pabaya.mbona Ruto walitofautiana na Uhuru ?
1. Waziri anafanya kazi kwa mapenzi ya Rais, kama anaona ni ujinga; angeenda kwake privately akatoe maoni yake; asipoelewa; inabidi afuate maagizo au ajiuzulu.

2. Ruto nafasi yake ni kuchaguliwa na wananchi, sio kuteuliwa. Kenya Naibu wa Rais anaomba kura tofauti na Rais wake. Mchakato wa kumtoa sio mwepesi kama waziri.
 
Tumeshuhudia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki akipinga hadharani maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyeagiza vitalu vya NARCO vifutwe na kupewa vijana wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo SUA ili kutengeza fursa za ajira kupitia ufugaji

Mambo ambayo Waziri alipaswa kuyafanya ni mawili ama kutekeleza maagizo aliyopewa na Mh. Rais kama yalivyo ama kuandika barua ya kujiuzulu na sio kupingana na Mh Rais hadharani na kusema kabisa kwamba anaunda timu ya wataalamu ili kuishauri Serikali.

Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri Mashimba " jambo hili tumelipima na tukaliona linahitaji umakini mkubwa na kwa hiyo ili kutekeleza jambo hili wizara tumeunda timu ya wataalamu kutoka wizara na taasisi mbalimbali zinazohusika na mambo mbalimbali sasa timu hii tunataka ifanye tathmini ya kina ya utendaji na changamoto zilizoko ndani ya Narco ili tuweze kuishauri sawasawa Serikali"

Huu ni utovu wa nidhamu uliopitiliza lakini tukisema humu mnaanza kuhusisha mambo yenu ya udini na ukabila, sijawahi kuona Waziri anapingana na Rais wake kwa sababu madaraka ya waziri amekasimiwa na Mh Rais sasa unaposema anaundia timu ya wataalamu maagizo ya Mh Rais maana yake nini.
Nautafuta huo unaouita Utovu wa Nidhamu wa huyo Waziri kwa Mheshimiwa Rais bado sijauona sana sana ninachokiona ni Porojo zako tu.
 
acheni kutetea ujinga Mawaziri wangapi wametumbuliwa. ametumbuliwa Kabudi, Lukuvi, Kalemani, Ndugulile, Kitila Mkumbo, Mwambe, Chamuriho, Prof. Manya, Mwita Waitara na wote hao hawajawahi kujibizana na Mh. Rais hadharani kwa lolote
Wote hao ni wakristo au unataka kusemaje??Au kuna waziri muislam amewahi kutumbuliwa na Rais Samia tumuongeze kwenye orodha??
 
Achana na mambo ya usukuma na ukristo kaa kwenye hoja ya Waziri kujibizana hadharani na Mh Rais
Sababu ni mkiristo ndo mana umekuja povu lako huku...kwa hyo rais akikwambia muue baba yako utaenda kuteleza au? Mana unasema rais akisema bss tekeleza..acha ujinga baas mvaa kobazii...
 
Tumeshuhudia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki akipinga hadharani maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyeagiza vitalu vya NARCO vifutwe na kupewa vijana wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo SUA ili kutengeza fursa za ajira kupitia ufugaji

Mambo ambayo Waziri alipaswa kuyafanya ni mawili ama kutekeleza maagizo aliyopewa na Mh. Rais kama yalivyo ama kuandika barua ya kujiuzulu na sio kupingana na Mh Rais hadharani na kusema kabisa kwamba anaunda timu ya wataalamu ili kuishauri Serikali.

Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri Mashimba " jambo hili tumelipima na tukaliona linahitaji umakini mkubwa na kwa hiyo ili kutekeleza jambo hili wizara tumeunda timu ya wataalamu kutoka wizara na taasisi mbalimbali zinazohusika na mambo mbalimbali sasa timu hii tunataka ifanye tathmini ya kina ya utendaji na changamoto zilizoko ndani ya Narco ili tuweze kuishauri sawasawa Serikali"

Huu ni utovu wa nidhamu uliopitiliza lakini tukisema humu mnaanza kuhusisha mambo yenu ya udini na ukabila, sijawahi kuona Waziri anapingana na Rais wake kwa sababu madaraka ya waziri amekasimiwa na Mh Rais sasa unaposema anaundia timu ya wataalamu maagizo ya Mh Rais maana yake nini.
Kwani mtazamo wako huu ulionao lazima Raisi awe nao,juu ya waziri huyu,si vzr kumjaza Rais ujinga na upotoshaji,ww nadhan ungefurahi sana kama waziri angekurupuka ili useme hana akili.ww unadhani Rais Samia hapendi wataalamu,wasiposhirikisha wataalamu mnasema mawaziri mizigo.Tuwe waungwana.
 
Una tatizo binafsi na Waziri ww, unaonekana una chuki binafsi, stop this nonsense ASAP.
Tatizo gani binafsi, hapa tunajadili suala la Waziri kujibizana na Mh Rais hadharani kama ni sahihi au sio sahihi na wewe tupe mfano wa Waziri aliyewahi kujibizana na Rais hadharani
 
1. Waziri anafanya kazi kwa mapenzi ya Rais, kama anaona ni ujinga; angeenda kwake privately akatoe maoni yake; asipoelewa; inabidi afuate maagizo au ajiuzulu.

2. Ruto nafasi yake ni kuchaguliwa na wananchi, sio kuteuliwa. Kenya Naibu wa Rais anaomba kura tofauti na Rais wake. Mchakato wa kumtoa sio mwepesi kama waziri.
Wewe umeelewa vizuri sio hao wajinga wanaozungumza mambo ya udini na ukabila
 
Tumeshuhudia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki akipinga hadharani maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyeagiza vitalu vya NARCO vifutwe na kupewa vijana wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo SUA ili kutengeza fursa za ajira kupitia ufugaji

Mambo ambayo Waziri alipaswa kuyafanya ni mawili ama kutekeleza maagizo aliyopewa na Mh. Rais kama yalivyo ama kuandika barua ya kujiuzulu na sio kupingana na Mh Rais hadharani na kusema kabisa kwamba anaunda timu ya wataalamu ili kuishauri Serikali.

Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri Mashimba " jambo hili tumelipima na tukaliona linahitaji umakini mkubwa na kwa hiyo ili kutekeleza jambo hili wizara tumeunda timu ya wataalamu kutoka wizara na taasisi mbalimbali zinazohusika na mambo mbalimbali sasa timu hii tunataka ifanye tathmini ya kina ya utendaji na changamoto zilizoko ndani ya Narco ili tuweze kuishauri sawasawa Serikali"

Huu ni utovu wa nidhamu uliopitiliza lakini tukisema humu mnaanza kuhusisha mambo yenu ya udini na ukabila, sijawahi kuona Waziri anapingana na Rais wake kwa sababu madaraka ya waziri amekasimiwa na Mh Rais sasa unaposema anaundia timu ya wataalamu maagizo ya Mh Rais maana yake nini.
Hivi Rais ni Mungu ? Kwamba mteule wake hawezi kuwa na mawazo mbadala, ? Sasa Kama rais inafika kwamba mteule wake kutoa hoja ni utovu wa nidham anateua wa nini ,maana hao ndo wanatakiwa kuwa pia washauri kwake,
Mungu katuruhusu kusemezana naye iweje Sasa binadam hamtaki semezena na binadam mwenzake? CCM mmehalibu Sana taifa hili
 
Back
Top Bottom