Waziri wa nishati aitangaze orodha ya Watanzania ambao Hadi Sasa wameshalipia Tsh 27,000 za kufungiwa umeme Mjini. Tanesco kuna mgomo baridi

'ukiambiwa na wewe jiambie' 'akili kumkichwa'

lipia 27k ufungiwe mwakani
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Nilijua utaibuka na maswali haya.
 
sasa tanesco kwa hiyo migomo baridi wanatoa sababu gani ambazo ni kinzani na za serikali
 
Lalamiko lolote linaenda na taarifa muhimu hivyo kama kweli umekwama popote tupatie taarifa tuzifanyie kazi mara moja
We naye si utafute walioingiziwa umeme baada ya tangazo ni wangapi..!! Ulinganishe na kabla ya hilo tangazo utaona
 
We naye si utafute walioingiziwa umeme baada ya tangazo ni wangapi..!! Ulinganishe na kabla ya hilo tangazo utaona
Unahitaji takwimu? Zipo taratibu za kifata ili kupata takwimu halali kwenye taasisi lakini kama una tatizo tupatie taarifa kamili tulifanyie kazi
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Huo muda unaoutumia hapa kwa nini usiutumie kwenda kuwaelimisha wafanyakazi wenzako waongeze ufanisi na kuacha urasimu

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Tutumie taarifa hata kwa email

Customer.service@tanesco.co.tz tupo kukuhudumia
WEWE TANESCO ACHA UPUMBAVU..NCHI ZIMA VIJIJINI TULIOLIPIA ELF 27 HATUPEWI UMEME LABDA UMPE LAKI MOJA MENEJA WA WILAYA.NASEMA HAYA NIKIWA MUASILIKA MMOJA WAPO KUTOKA KIJIJI CHA NYAKAKARANGO..KATA YA NYAMIREMBE WILAYA YA CHATO MKOANI GEITA
 
Kwanini wamepunguza single fesi arafu three fesi iko vile vile? Laki tisa na kidogo kwa three fesi na single fesi kwa 27000/= wapi na wapi!!!! Kwanini na yenyewe wasiipunguze angarau ishuke adi laki mbili/200,000/=!!!!!! Sio watu wote wana uwezo bandugu, TANESCO ebu muwe na huruma na muogopeni Mungu aise. Hii ni zulma.
 
WEWE TANESCO ACHA UPUMBAVU..NCHI ZIMA VIJIJINI TULIOLIPIA ELF 27 HATUPEWI UMEME LABDA UMPE LAKI MOJA MENEJA WA WILAYA.NASEMA HAYA NIKIWA MUASILIKA MMOJA WAPO KUTOKA KIJIJI CHA NYAKAKARANGO..KATA YA NYAMIREMBE WILAYA YA CHATO MKOANI GEITA
Tunashukuru sana kwa taarifa elekezi hii wataalamu wetu wameipokea kwa uchungu,i zaidi
 
WEWE TANESCO ACHA UPUMBAVU..NCHI ZIMA VIJIJINI TULIOLIPIA ELF 27 HATUPEWI UMEME LABDA UMPE LAKI MOJA MENEJA WA WILAYA.NASEMA HAYA NIKIWA MUASILIKA MMOJA WAPO KUTOKA KIJIJI CHA NYAKAKARANGO..KATA YA NYAMIREMBE WILAYA YA CHATO MKOANI GEITA

Kulikuwa hakuna sababu ya kushusha ada ya kuvutiwa kama ndio ivyo. Hakuna sekta wanaviburi na dharau kama tanesco. Na sijui kwanini serikali zimewakalia ukimya, wanafanya wanavyotaka. Na hii ni kwa sababu awana mpinzani.

TANESCO

Pia tunaomba umeme wa 3phase wapunguze walau laki mbili jamani, munazani wote wana uwezo!!!!!! Kama single fesi 27000, kwani 3fesi nayo isipungue angalau 200,000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…