Waziri wa nishati aitangaze orodha ya Watanzania ambao Hadi Sasa wameshalipia Tsh 27,000 za kufungiwa umeme Mjini. Tanesco kuna mgomo baridi

Waziri wa nishati aitangaze orodha ya Watanzania ambao Hadi Sasa wameshalipia Tsh 27,000 za kufungiwa umeme Mjini. Tanesco kuna mgomo baridi

Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000.
Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi.
1. Hakuna surveyor
2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia
3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa hakuna meta za Umeme.
4. Hakuna nguzo
5. Hakuna waya
6. Ukiwabana sana wanasema wanafunga stock ya mwisho wa mwaka hivyo stoo zote zimefungwa Hadi September 2021.
7. Ili kuondoka Kero ofisi za tanesco wateja ambao walishapimiwa umeme wamenyimwa kulipia.
Kwa maelezo haya, waziri ataje au atoe orodha ya waliofanikiwa kulipia Tsh 27,000 na waliopo mijini na kufanikiwa kupata umeme wilaya Kwa wilaya,mkoa Kwa mkoa. Kuna mgomo baridi.
Ndugu watanzania, tanesco kuna matatizo tunaomba vyombo vya habari,ulinzi na usalama viingilie Kati . Hali sio
Mh waziri pale Tanesco mkuranga Meneja anawalea watendaji wanao kura rusha kwa kuchukua pesa za watu wakiwaahidi watawaunganishia umeme tume peleka tuhuma hizo lakini yule meneja wa tanesco mkuranga hazifanyii kazi mh waziri kwa dahamana uliyopewa na mamlaka uliyopewa ondoa yule meneja na watendaji wake wabovu vinginevyo tuta tumia software za kiafrica
 
Mbaya zaidi hii imewaathiri na wale waliokuwa wamelipa 320,000/= baada ya hili zoezi kuanza wale waliolipa 27 wakatumia balance kutoa rushwa wakafungiwa umeme tofauti na wale waliokuwa wamelipa laki tatu na ishirini ambao wanaona wamelipa hela nyingi na hawaoni sababu ya kutoa rushwa.
Kibaha wengi waliolipa 320 ndo wanaosubiri umeme na 27 wengi wameshapata umeme.
Kinachofanyika Yule wa 27 anaongeza 50 au 100 anakula Moto faster

Tamko lilenga kukutumika kukusanya Kodi ya jengo ambayo itakatwa kila ukinunua umeme. Ninachokiona hakujuandaa vizuri wao walipiga hesabu ya hela wakaona figure basi wakatoa tamko.
Ah Tanesco Kibaha NI JIPU Sugu pale
 
Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000.
Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi.
1. Hakuna surveyor
2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia
3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa hakuna meta za Umeme.
4. Hakuna nguzo
5. Hakuna waya
6. Ukiwabana sana wanasema wanafunga stock ya mwisho wa mwaka hivyo stoo zote zimefungwa Hadi September 2021.
7. Ili kuondoka Kero ofisi za tanesco wateja ambao walishapimiwa umeme wamenyimwa kulipia.
Kwa maelezo haya, waziri ataje au atoe orodha ya waliofanikiwa kulipia Tsh 27,000 na waliopo mijini na kufanikiwa kupata umeme wilaya Kwa wilaya,mkoa Kwa mkoa. Kuna mgomo baridi.
Ndugu watanzania, tanesco kuna matatizo tunaomba vyombo vya habari,ulinzi na usalama viingilie Kati . Hali sio
Changamoto ni kubwa sana. Nimepata control number ya kulipia 27,000 baada ya miezi mitatu ya kufuatilia. Nimelipia hiyo pesa na bado sijafungiwa LUKU separate ya eneo la biashara. Ni mwezi wa nne Sasa umeingia.... Siku zinazidi kukatika.

Kumbuka sihitaji nguzo ni wire tuuu toka nguzo ya jirani. Mpaka Leo sijapata huduma hii. Nimefuatilia mpaka niseme inachosha kwa kweli.... TANESCO Mnafanya kazi kwa utaratibu upi?? Sisi si ndio wateja wenu??
 
Back
Top Bottom