Waziri wa nishati aitangaze orodha ya Watanzania ambao Hadi Sasa wameshalipia Tsh 27,000 za kufungiwa umeme Mjini. Tanesco kuna mgomo baridi

Waziri wa nishati aitangaze orodha ya Watanzania ambao Hadi Sasa wameshalipia Tsh 27,000 za kufungiwa umeme Mjini. Tanesco kuna mgomo baridi

TANESCO hawaangazi tena maisha yetu bali wanayapeleka kizani
Access to electricity
IMG-20210724-WA0031.jpg
 
Eti 27,000 uvutiwe umeme watanzania amkeni kutoka usingizini jamani hizo ni porojo tu ila nyuma ya pazia ndo kuna ukweli wote
 
Kulikuwa hakuna sababu ya kushusha ada ya kuvutiwa kama ndio ivyo. Hakuna sekta wanaviburi na dharau kama tanesco. Na sijui kwanini serikali zimewakalia ukimya, wanafanya wanavyotaka. Na hii ni kwa sababu awana mpinzani.

TANESCO

Pia tunaomba umeme wa 3phase wapunguze walau laki mbili jamani, munazani wote wana uwezo!!!!!! Kama single fesi 27000, kwani 3fesi nayo isipungue angalau 200,000/=
Wameassume wanaotumia 3 phase ni watu wanaojiweza na wafanya biashara ndio maana

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Breaking News: MOTO MKUBWA WATEKETEZA MITAMBO YA UMEME ILIYOPO MSAMVU MOROGORO

Moto mkubwa waunguza na kuteketeza kituo kikubwa cha mitambo ya kupokea, kupoza na kusambaza Umeme kuelekea Mikoa ya Morogoro, Dar es salaam, Tanga na Kilimanjaro

Moto huo bado haujazimika hadi sasa
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Niulize tena namba ya simu, jina,eneo, wilaya,
 
nimehonga 25,000,, surveyor akakuja,,,,nikampiga Kvant ndogo.....akaomba 10,000,kakamilisha mchoro na control number.....nimelipia.....akaomba 15,000 anifungie fasta.....siku wanaafunga nikawapa 20,000= jumla ni kama 100,000 pamoja na mawasiliano,,,
runshwa ngumu sana Tanzania...ngumu mno........
 
Wameassume wanaotumia 3 phase ni watu wanaojiweza na wafanya biashara ndio maana

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app

Hapana mkuu, hayo na mawazo yao yasio na kichwa wala miguu. Wako wengi muno wenye uhitaji wa 3fesi alakini awana uwezo kutokana na ada kubwa mno, 912,000/= sio kidogo mkuu, wenye viwanda vikubwa, vituo vya mafuta ndiyo wenye uwezo huo.

TANESCO muogopeni Mungu ninyi watu,, Mungu apendi ukandamizaji mzehe.
 
Hapana mkuu, hayo na mawazo yao yasio na kichwa wala miguu. Wako wengi muno wenye uhitaji wa 3fesi alakini awana uwezo kutokana na ada kubwa mno, 912,000/= sio kidogo mkuu, wenye viwanda vikubwa, vituo vya mafuta ndiyo wenye uwezo huo.
Wewe ni kwa nini umeamua kutumia 3 phase?

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000.
Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi.
1. Hakuna surveyor
2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia
3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa hakuna meta za Umeme.
4. Hakuna nguzo
5. Hakuna waya
6. Ukiwabana sana wanasema wanafunga stock ya mwisho wa mwaka hivyo stoo zote zimefungwa Hadi September 2021.
7. Ili kuondoka Kero ofisi za tanesco wateja ambao walishapimiwa umeme wamenyimwa kulipia.
Kwa maelezo haya, waziri ataje au atoe orodha ya waliofanikiwa kulipia Tsh 27,000 na waliopo mijini na kufanikiwa kupata umeme wilaya Kwa wilaya,mkoa Kwa mkoa. Kuna mgomo baridi.
Ndugu watanzania, tanesco kuna matatizo tunaomba vyombo vya habari,ulinzi na usalama viingilie Kati . Hali sio
Kwani kwa kupunguza gharama za hiyo huduma kumeathiri mishahara yao?
 
Lalamiko lolote linaenda na taarifa muhimu hivyo kama kweli umekwama popote tupatie taarifa tuzifanyie kazi mara moja
Shida yooote ni mama basi hakuna kingine. MagufuliJP will always be remembered forever. Pumzika kwa amani [emoji24] [emoji24] [emoji24] baba
 
Kuleta siasa kwenye shirika muhimu kama tanesco ni hatari sana.

Hiri li nchi silielewi mkuu. Why awaruhusu upinzani/wawekezaji waingie kama mitandao ya simu!! Aise wangeruhusu upinzani wangefanya lamaana munoo.

Tanesco ni jipu

Back
Top Bottom