Access to electricityTANESCO hawaangazi tena maisha yetu bali wanayapeleka kizani
Yupo anakula zake bataKwanini waziri aongee?? CEO Yuko wapi?
Kwani Tanesco haina CEO??..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Dah mkuu umenifanya nimkumbuke Dr. Shika na ikanijia imagination ya ile sauti yake akipokuwa kwenye mnada wa nyumba
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Eeh hii ndio awamu ya 6 katika ubora wake, story nyingi vitendo 0Wametutandika na tozo, tukaambiwa kelele zimesikika, watafanyia marekebisho makato, kimya.
Tukaambiwa umeme ni 27,000/ utekelezaji zero.
Sasa hivi tunapigwa danadana za chanjo.
Zilongwa na zitendwa tofauti kabisa.
Eeh hii ndio awamu ya 6 katika ubora wake, story nyingi vitendo 0
Wameassume wanaotumia 3 phase ni watu wanaojiweza na wafanya biashara ndio maanaKulikuwa hakuna sababu ya kushusha ada ya kuvutiwa kama ndio ivyo. Hakuna sekta wanaviburi na dharau kama tanesco. Na sijui kwanini serikali zimewakalia ukimya, wanafanya wanavyotaka. Na hii ni kwa sababu awana mpinzani.
TANESCO
Pia tunaomba umeme wa 3phase wapunguze walau laki mbili jamani, munazani wote wana uwezo!!!!!! Kama single fesi 27000, kwani 3fesi nayo isipungue angalau 200,000/=
HehehehehAu ndio ile "kweli magoli tumefungwa ila chenga twawala yakheeee..."
Breaking News: MOTO MKUBWA WATEKETEZA MITAMBO YA UMEME ILIYOPO MSAMVU MOROGORONdugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Niulize tena namba ya simu, jina,eneo, wilaya,Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Wameassume wanaotumia 3 phase ni watu wanaojiweza na wafanya biashara ndio maana
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Wewe ni kwa nini umeamua kutumia 3 phase?Hapana mkuu, hayo na mawazo yao yasio na kichwa wala miguu. Wako wengi muno wenye uhitaji wa 3fesi alakini awana uwezo kutokana na ada kubwa mno, 912,000/= sio kidogo mkuu, wenye viwanda vikubwa, vituo vya mafuta ndiyo wenye uwezo huo.
Kwani kwa kupunguza gharama za hiyo huduma kumeathiri mishahara yao?Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000.
Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi.
1. Hakuna surveyor
2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia
3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa hakuna meta za Umeme.
4. Hakuna nguzo
5. Hakuna waya
6. Ukiwabana sana wanasema wanafunga stock ya mwisho wa mwaka hivyo stoo zote zimefungwa Hadi September 2021.
7. Ili kuondoka Kero ofisi za tanesco wateja ambao walishapimiwa umeme wamenyimwa kulipia.
Kwa maelezo haya, waziri ataje au atoe orodha ya waliofanikiwa kulipia Tsh 27,000 na waliopo mijini na kufanikiwa kupata umeme wilaya Kwa wilaya,mkoa Kwa mkoa. Kuna mgomo baridi.
Ndugu watanzania, tanesco kuna matatizo tunaomba vyombo vya habari,ulinzi na usalama viingilie Kati . Hali sio
Shida yooote ni mama basi hakuna kingine. MagufuliJP will always be remembered forever. Pumzika kwa amani [emoji24] [emoji24] [emoji24] babaLalamiko lolote linaenda na taarifa muhimu hivyo kama kweli umekwama popote tupatie taarifa tuzifanyie kazi mara moja
Kuleta siasa kwenye shirika muhimu kama tanesco ni hatari sana.
Shida yooote ni mama basi hakuna kingine. MagufuliJP will always be remembered forever. Pumzika kwa amani [emoji24] [emoji24] [emoji24] babaLalamiko lolote linaenda na taarifa muhimu hivyo kama kweli umekwama popote tupatie taarifa tuzifanyie kazi mara moja