Waziri wa Nishati sio mbunifu kutuondoa kwenye matatizo yanayosababishwa na umeme. Hajui nchini kuna Uraniun?

Ukosefu wa ubunifu ni jadi ya CCM wote.Tuna gas ambayo inaweza kugeuzwa kuwa mafuta ya kuendeshea mitambo na magari lakini wapi!Tanzania tunayo makaa ya mawe(Coal) ya kutosha na Mungu kaweka pembeni yake Chuma cha pua milima na milima,tunao upepo wa kutosha kuzalisha umeme kiasi tutakacho bila kusahau joto ardhi(Geothermal) nk.
Maendeleo hapa kwetu ni CCM kushinda/kuiba uchaguzi na kudhibiti wapinzani na wananchi kuandamana/kupinga udhalimu.Mafanikio mengine ya watawala wa CCM ni kukopesheka,kusaidiwa na kusamehewa madeni ya ndani na nje.Hata ndege zetu tunazificha uvunguni kwa kuhofia zitakamatwa na urimbo wa wadeni wanautudai zikiruka huko duniani.
Hakuna kitakachoiponya nchi hii ikibaki chini ya utawala wa CCM isipokuwa Katiba ya Wananchi.
 
Mkuu nuclear plant kuzalisha umeme kuna taratibu zake sio suala la kukurupuka tu. Ni rahisi sana kuifanya kazi ya kulaumu unayoifanya wewe.
 

 
Kutumia madini ya uranium ili yazalishe umeme wa nuclear power, madini hayo baada ya kuchimbwa ni lazima yawe processed kwa process inaitwa enrichment yaani enriching them ndipo ujenge a nuclear plant, mpaka sasa bara zima la Africa lina kinu kimoja tuu cha nuclear, Africa Kusini.

Kama Tanzania ndio tuna haha hivi kujenga tuu hiyo LNG, unazungumziaje kujenga a nuclear reactor?.

Let's not joke, msikilize Kwa makini hapa Waziri January Makamba akizungumzia nuclear power

P
 
Mkuu nuclear plant kuzalisha umeme kuna taratibu zake sio suala la kukurupuka tu. Ni rahisi sana kuifanya kazi ya kulaumu unayoifanya wewe.
Tunao wasomi wa kutosha na wenye uwezo mkubwa wa kubuni na kutekeleza chochote cha kisayansi tunachohitaji.Kama hawapo tutaajiri kampuni na sekta binafsi kubadili raslimali zetu asilia kuwa uchumi ili kujikwamua na umaskini/omba omba wa dunia.
Kujiamini na uthubutu ndiyo mtaji mkubwa.Hivi unafahamu kuwa Rwanda ina uchumi imara/shirikishi kuliko Tanzania ya Ujamaa na Kujitegemea/Tegemezi?
 

January is too hypothetical so try not to envisage copiously from that voguish Chap
 
Nini kinatuzuia kurutubisha na kisha kujenga? Kuhaha kujenga LNG plant ni ishu nyingine hoja hapa ni kutatua tatizo la nishati.
 
Mama yenu badala ya kutupa hope on what she can do to solve these problems instead tunaambiwa na bado as if kuna kosa tumefanya and we are paying for the mistakes. The mistakes of embracing maccm na mafisadi wake.[emoji19][emoji706].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…