imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Muache Bibie ajinafasi pambana na hali yako Ndugu Mwandishi.Sina muda kujadili ushuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muache Bibie ajinafasi pambana na hali yako Ndugu Mwandishi.Sina muda kujadili ushuzi
Ukosefu wa ubunifu ni jadi ya CCM wote.Tuna gas ambayo inaweza kugeuzwa kuwa mafuta ya kuendeshea mitambo na magari lakini wapi!Tanzania tunayo makaa ya mawe(Coal) ya kutosha na Mungu kaweka pembeni yake Chuma cha pua milima na milima,tunao upepo wa kutosha kuzalisha umeme kiasi tutakacho bila kusahau joto ardhi(Geothermal) nk.Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme.
Mradi wa JNHP ulikuwa ni moja ya njia ya kupunguza gharama za nishati ya umeme. Maana mradi huu ungekamilika kwa wakati June 2022 ungewezesha kushusha gharama za nishati ya umeme na hivyo kupunguza ughali wa maisha .
Mbali na JNHP taifa letu limejaliwa kuwa na madini lukuki ya Uranium ambayo kama yakitumiwa vizuri ni chanzo kizuri cha uhakika cha nishati ya umeme.
Mbona huyu waziri hatusikii akitilia mkazo juu ya taifa letu kuwa na Nuclear plant kwa ajili ya kuzalisha umeme?
Ngonjera zake ni marekebisho ya njia za kusafirisha umeme ambayo kila siku hayaishi.
Watanzania tumepigwa na kitu kizito
Kuimanage mnaweza ?Yamewashinda maji tu kusambaza kwa kila mtaa. Mtaweza manage nuclear reactors nyie ?Hatuwezi kujenga nuclear plant?
Mkuu nuclear plant kuzalisha umeme kuna taratibu zake sio suala la kukurupuka tu. Ni rahisi sana kuifanya kazi ya kulaumu unayoifanya wewe.Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme.
Mradi wa JNHP ulikuwa ni moja ya njia ya kupunguza gharama za nishati ya umeme. Maana mradi huu ungekamilika kwa wakati June 2022 ungewezesha kushusha gharama za nishati ya umeme na hivyo kupunguza ughali wa maisha .
Mbali na JNHP taifa letu limejaliwa kuwa na madini lukuki ya Uranium ambayo kama yakitumiwa vizuri ni chanzo kizuri cha uhakika cha nishati ya umeme.
Mbona huyu waziri hatusikii akitilia mkazo juu ya taifa letu kuwa na Nuclear plant kwa ajili ya kuzalisha umeme?
Ngonjera zake ni marekebisho ya njia za kusafirisha umeme ambayo kila siku hayaishi.
Watanzania tumepigwa na kitu kizito
Bungeni walifukuzwa kwa maelekezo ya JPM na CCM yake.Unauliza majibu.Walifukuzwa wapi? Na nani?
Anaandika asichokijua, hiyo chernobyl uliyomwambi hajui ni kitu gani.Uranium kwa akili zipi tulizonazo?
Katafute Chernobyl disaster ndio utajua mziki wa Uranium.
Kwa nini tushindwe? Wasomi wapo kibao.Kuimanage mnaweza ?Yamewashinda maji tu kusambaza kwa kila mtaa. Mtaweza manage nuclear reactors nyie ?
Tunaweza.Hatuwezi kujenga nuclear plant?
Wewe mjinga na mpuuzi namba moja Jf unajaza server takataka.Anaandika asichokijua, hiyo chernobyl uliyomwambi hajui ni kitu gani.
Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme.
Mradi wa JNHP ulikuwa ni moja ya njia ya kupunguza gharama za nishati ya umeme. Maana mradi huu ungekamilika kwa wakati June 2022 ungewezesha kushusha gharama za nishati ya umeme na hivyo kupunguza ughali wa maisha .
Mbali na JNHP taifa letu limejaliwa kuwa na madini lukuki ya Uranium ambayo kama yakitumiwa vizuri ni chanzo kizuri cha uhakika cha nishati ya umeme.
Mbona huyu waziri hatusikii akitilia mkazo juu ya taifa letu kuwa na Nuclear plant kwa ajili ya kuzalisha umeme?
Ngonjera zake ni marekebisho ya njia za kusafirisha umeme ambayo kila siku hayaishi.
Watanzania tumepigwa na kitu kizito
Na huu uzembe wetu Meltdown ni lazimaAnaandika asichokijua, hiyo chernobyl uliyomwambi hajui ni kitu gani.
Kutumia madini ya uranium ili yazalishe umeme wa nuclear power, madini hayo baada ya kuchimbwa ni lazima yawe processed kwa process inaitwa enrichment yaani enriching them ndipo ujenge a nuclear plant, mpaka sasa bara zima la Africa lina kinu kimoja tuu cha nuclear, Africa Kusini.Mbali na JNHP taifa letu limejaliwa kuwa na madini lukuki ya Uranium ambayo kama yakitumiwa vizuri ni chanzo kizuri cha uhakika cha nishati ya umeme.
Mbona huyu waziri hatusikii akitilia mkazo juu ya taifa letu kuwa na Nuclear plant kwa ajili ya kuzalisha umeme?
Ngonjera zake ni marekebisho ya njia za kusafirisha umeme ambayo kila siku hayaishi.
Watanzania tumepigwa na kitu kizito
Takataka ni wewe unaandika usichokifahamu ili mradi ulalamike tu.Wewe mjinga na mpuuzi namba moja Jf unajaza server takataka.
Nani Palamagamba?Kwa nini tushindwe? Wasomi wapo kibao.
Mbona mzee baba alijiyosa mradi wa JNHP tril 7+
Tunao wasomi wa kutosha na wenye uwezo mkubwa wa kubuni na kutekeleza chochote cha kisayansi tunachohitaji.Kama hawapo tutaajiri kampuni na sekta binafsi kubadili raslimali zetu asilia kuwa uchumi ili kujikwamua na umaskini/omba omba wa dunia.Mkuu nuclear plant kuzalisha umeme kuna taratibu zake sio suala la kukurupuka tu. Ni rahisi sana kuifanya kazi ya kulaumu unayoifanya wewe.
Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme.
Mradi wa JNHP ulikuwa ni moja ya njia ya kupunguza gharama za nishati ya umeme. Maana mradi huu ungekamilika kwa wakati June 2022 ungewezesha kushusha gharama za nishati ya umeme na hivyo kupunguza ughali wa maisha .
Mbali na JNHP taifa letu limejaliwa kuwa na madini lukuki ya Uranium ambayo kama yakitumiwa vizuri ni chanzo kizuri cha uhakika cha nishati ya umeme.
Mbona huyu waziri hatusikii akitilia mkazo juu ya taifa letu kuwa na Nuclear plant kwa ajili ya kuzalisha umeme?
Ngonjera zake ni marekebisho ya njia za kusafirisha umeme ambayo kila siku hayaishi.
Watanzania tumepigwa na kitu kizito
Nini kinatuzuia kurutubisha na kisha kujenga? Kuhaha kujenga LNG plant ni ishu nyingine hoja hapa ni kutatua tatizo la nishati.Kutumia madini ya uranium ili yazalishe umeme wa nuclear power, madini hayo baada ya kuchimbwa ni lazima yawe processed kwa process inaitwa enrichment yaani enriching them ndipo ujenge a nuclear plant, mpaka sasa bara zima la Africa lina kinu kimoja tuu cha nuclear, Africa Kusini.
Kama Tanzania ndio tuna haha hivi kujenga tuu hiyo LNG, unazungumziaje kujenga a nuclear reactor?.
Let's not joke, msikilize Kwa makini hapa Waziri January Makamba akizungumzia nuclear power
P
Wewe kenge unamaliza wino bureNani Palamagamba?
Mama yenu badala ya kutupa hope on what she can do to solve these problems instead tunaambiwa na bado as if kuna kosa tumefanya and we are paying for the mistakes. The mistakes of embracing maccm na mafisadi wake.[emoji19][emoji706].Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme.