Waziri wa Nishati sio mbunifu kutuondoa kwenye matatizo yanayosababishwa na umeme. Hajui nchini kuna Uraniun?

Ninalitambua hilo mkuu,ninajiamini mimi ni mtenda kazi ila nchi yetu wanaofaidi ni watu wajanja ndani ya CCM&System zao.Hawana ubunifu ndiyo maana nchi imekuwa omba omba wa misaada duniani pamoja na raslimali ilizonazo.
Watanzania ni wachapa kazi na watiifu mno ndiyo maana kuna watawala wanaostarehe kufuru kwa jasho letu.Ukitaka kuwafahamu waroho hao wa madaraka watajie madai ya Katiba mpya au hitaji la tume huru ya uchaguzi usikie wanavyong'aka.
Jumatatu Majaliwa anakwenda MSD akiongozana na Hamduni wa TAKUKURU na Mkuu wa Polisi, huo ni mfano mmoja tu wa madudu yetu watanzania.

Ni wazuri mno kwa kujenga hoja za kujitetea lakini wabovu sana kulinganisha na Wakenya au Waganda.
 
Huo ni usanii,Waziri Mkuu anakwenda kutafuta coverage yake binafsi na CCM yake.Kazi za Waziri Mkuu siyo kwenda kuagiza wezi kukamatwa,I hope.Tunayo mifumo na vyombo vya kufanya hizo Kazi on daily,monthly basis,quarterly vipo.PM anaenda kufanya nini?Hata huko TAKUKURU,POLISI,Magereza na Wizara ya Mambo ya ndani madudu yamejaa hadi ya silaha zilizoagizwa,ataenda na nani huko?
Tatizo la Tanzania ni Katiba dhaifu na CCM chakavu,bila kuvishughulikia vyanzo matatizo tutashuhudia drama za kila namna including Royal Tour failure.
 
Ungezijua kazi za waziri mkuu usingeandika hayo ya mifumo. Na siku zote wapigaji huamini katika ufanisi wa mifumo, kwamba wataiba na kutajirika bila kuingiliwa, wakitaka kuguswa tu wanakimbilia kuitumia mifumo kama kichaka.
 
Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme.

Mradi wa JNHP ulikuwa ni moja ya njia ya kupunguza gharama za nishati ya umeme. Maana mradi huu ungekamilika kwa wakati June 2022 ungewezesha kushusha gharama za nishati ya umeme na hivyo kupunguza ughali wa maisha .

Mbali na JNHP taifa letu limejaliwa kuwa na madini lukuki ya Uranium ambayo kama yakitumiwa vizuri ni chanzo kizuri cha uhakika cha nishati ya umeme.

Mbona huyu waziri hatusikii akitilia mkazo juu ya taifa letu kuwa na Nuclear plant kwa ajili ya kuzalisha umeme?

Ngonjera zake ni marekebisho ya njia za kusafirisha umeme ambayo kila siku hayaishi.

Watanzania tumepigwa na kitu kizito
Huyu ni Mediocre anabebwa tu. Hta shule yake ni ya hapa na pale
 
Ungezijua kazi za waziri mkuu usingeandika hayo ya mifumo. Na siku zote wapigaji huamini katika ufanisi wa mifumo, kwamba wataiba na kutajirika bila kuingiliwa, wakitaka kuguswa tu wanakimbilia kuitumia mifumo kama kichaka.
Tuondoe vyombo vya udhibiti na ukaguzi ili PM na wenzake waanze Lusaka wezi?Tunawalipa POLISI,TAKUKURU,UT na wengine kama CAG ili wafanye Kazi gani Sasa?
Pia usinifananishe na hao wezi Wa CCM.
 
Ni rahisi kuongea na kuandika ukikosoa hapa JF lakini utendaji upo tofauti na unavyodhani.
 
Utendaji wa nani unaoongelea?Hao CCM unaowatetea si walidai wapinzani wanawachelewesha?Sasa huu ufisadi,kupanda gharama za maisha,ukosefu wa ajira,kutoongezwa mishahara na madudu yote tunayoshuhudia yanatoka wapi?
Kama utendaji ni tofauti Serikali ijiuzulu ili tuwape wenye uwezo.Acheni siasa uchwara.Eti utendaji ni mgumu kuliko ninavyodhani,SHAME ON YOU!
 
Njaa yangu na yako hazina uwezo wa kubadilisha mambo kwa jinsi tunavyodhani, tuwe wapole tu.
 
Watoto wetu miaka 50 ijayo watafanya mambo yenye Ujasiri kama hayo kutumia Uranium yetu kuzalisha umeme hata kupitia mikopo , kwa mawazo yangu waliopo sasa hawana Ujasiri wala akili za kiwango hicho hufanya kazi za mazoea. hiyo inaitwa innovation, wengi tulio nao huo ni msamiati wa kizungu!
 
Back
Top Bottom