BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Mimi bwana nilpata A ya Basic Math O level na B ya Advanced Maths A level enzi hizo Mkapa anamalizia awamu ya pili. Il leo ukinuliza somo gani muhimu duniani mtu kujifunza nitakwambia History. History ni somo lenye umuhimu sana. Ukitaka kufanya jambo na ufanikiwe, unapaswa kufuanya walivyofanya wengine waliokua katika hali yako na wakafanikiwa. Karibuni nchi zote duniani zimewahi kuwa na hali kama yetu na wengine walifanikiwa wakatoka, njia walizotumia kufanikiwa zipo, kwanini hatuzitumii?Ameamua kuwa mbunifu na siyo kuiga eti nchi Fulani wanafanya hivi nami nifanye Kama wao.
Unataka muige mpaka lini?
Bachelor of Economy - UDSM, 2004
Masters of Economy - UDSM, 2006
PhD in Economics - UDSM, 2017
===
Amewahi kufanya kazi kwenye daraja la - Economist I Bank of Tanzania, 2006 - 2010.
Yani ingekuwa Mimi Rais,nafasi hiyo ningempa yule mwarabu Koko Bashe-yule dogo ana akili sana.Bora angepewa Charles Kimei
Huyo Kimei wenu akili zake kama za Magufuli atahamisha hadi Wizara iende Kilimanjaro.Kwanini asipewe Charles Kimei maana tunajua mchango wake katika sekta fedha?
Wakuu punguza ni shombo kwa kila kitu, fuatilia kwa makini utamuelewa Mwigulu siyo unavyomdhania. Kwa kujihusisha na masuala ya fedha na uchumi Benki kuu na wizara ya fedha kwa zaidi ya miaka 20, inatosha kwa mwanasiasa.Kwa ujumla tuna waziri. Alisoma uchumi lakini hajawahi kuwa mchumi. Hana chapisho lolote la taaluma yake. Miaka yote alifundishwa akakariri na kujibu hadi akapewa Ph.D. Kwa ufupi hajawahi kufikiri kiuchumi, lakini alipendwa na Kikwete kwa mipasho yake.
Wakuu punguza ni shombo kwa kila kitu, fuatilia kwa makini utamuelewa Mwigulu siyo unavyomdhania. Kwa kujihusisha na masuala ya fedha na uchumi Benki kuu na wizara ya fedha kwa zaidi ya miaka 20, inatosha kwa mwanasiasa.
Sio dharau lakini elimu ya UD mpaka PhD ni utata kidogo, nondo za UD sio deep , useless and outdated theories kibao na kukariri tuu, no creativity or thinking outside the box na research ni zero, angalia budget ya UD ni ya kulipa mishahara tuu na umeme and what do you expect?Bachelor of Economy - UDSM, 2004
Masters of Economy - UDSM, 2006
PhD in Economics - UDSM, 2017
===
Amewahi kufanya kazi kwenye daraja la - Economist I Bank of Tanzania, 2006 - 2010.
Achilia mbali kufanya biashara, hapo alipo mshahara wake hakatwi kodi.Halafu hajawai kufanya biashara popote tufike sehemu tuwatumie watu ambao angalau wameshafanya biashara wakaonja machungu ya ulipaji kodi
hoja imekuelemeakwan ww una exposure gani??
Saidia kubuni hata kimoja ambacho mtaacha ulalakishiUbunifu wa vyanzo vipya vya mapato ndio hakuna
kwa hiyo ulitakaje mana upo nje ya uziBachelor of Economy - UDSM, 2004
Masters of Economy - UDSM, 2006
PhD in Economics - UDSM, 2017
===
Amewahi kufanya kazi kwenye daraja la - Economist I Bank of Tanzania, 2006 - 2010.
hahhahhahahahahha.kumbu kuna watu humu hawajielewiHapo ndio utajua tofauti ya kuhudhuria shule na kuelimika.
focus in topicsAmeamua kuwa mbunifu na siyo kuiga eti nchi Fulani wanafanya hivi nami nifanye Kama wao.
Unataka muige mpaka lini?