Leo nimepigiwa simu eti kamati inaomba nichangie pesa za simenti au matofali ili wafanikishe kujenga vyumba vya madarasa, mimi kama mdau wanahitaji mchango wangu.
Kama mwana JF hata mmoja haja hamasishwa au kufuatwa nyumbani basi subirini ni mkakati wanakuja. Kusema ukweli nimewapa lugha ambayo sio kwa sababu wamenikera hawatumii akili kuhamasisha.
Nina swali Hizi ndege tunazo panga kununua na huu ujenzi wa madarasa hakuna mahusiano au hizo pesa sa ndege haziwezi kujenga madarasa na pesa za ndege tukazitafuta wakati mwingine?