DOKEZO Waziri wa Ujenzi, Bashungwa barabara ya Tanga TO Pangani mmeitelekeza? Mbunge Ummy saidia barabara hii itengenezwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi?

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
 
wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi?

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, TAKE ACTION PLEASE, TATIZO NI NINI? BASI WAJE WAIRUDISHE KAMA ILIVYOKUWA MAANA NI KERO SANA WALIVYOIACHA
Ummy hakuoona akiwa waziri ??
 
Ummy mwenyewee Hana hata hamu tenaa Toka V8 ya uwaziri iache kumfata getini kwakee...
 
Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi?

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
Taarifa nii

Miradi mingi iliyoanzishwa kwa mbwembe

Imekata moto

Mfano bara×2 ya bukoba mjini iko hoi
Mwanza sengerema via kamanga hoi
Stand ya bukoba hoi
Standing ya arusha hoi
 
Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi?

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
Yani wawe serious jamani. Hiyo barabara ni muhimu very starategic. Barabara nyingine muhimu wafikirie kujenga kiwango cha lami ni kutoka king'ori hadi longido na kutoka Sanya juu hadi longido.
 
Back
Top Bottom