Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Vita ya kijinga kuwa kuanzishwa na babu yenu Nyerere haikuwa na malengo yoyote zaidi ya kujimwambafai kumlinda OboteWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 23 Agosti 2026 alifanya ziara Mkoani Kigoma na kukutana na Wanajeshi Wastaafu waliopigana vita.