Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Waziri wa Ulinzi wa Israel amekiri kuwa wanajeshi wa Urusi nchini Syria mnamo may 13 kwa mara ya kwanza waliamua kuitageti na kuishambulia ndege vita ya Israe F-35, ile midoli ya Marekani ambayo tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni stealth fighter (hazionekani kwenye radar). La kushangaza ni kuwa radar za S-300 (mfumo wa Ulinzi wa anga wa kirusi uliondwa miaka kibao nyuma-mfumo wa zamani) ziliweza kuiona hiyo ndege 'stealth fighter plane' na kisha makombora ya s-300 yakaishambulia ndege hiyo kama kawa.
Kipindi iliposhambuliwa, Israel ilijitia kuficha ikadai kuwa makombora ya S-300 yalishambulia wakati ndege hiyo imeshatoka kwenye eneo la tukio. Sasa wameona waongee kweli ili Putin awaonee huruma asiwashambulie tena huko Syria.
Kwa miaka mingi Israel wamekuwa wakiiomba Urusi isitumie mifumo yake ya S-300 iliyopo Syria kushambulia ndege za Israel huko Syyria. Halafu kuna wapumb2vu fulani humu huwa wanadai kuwa S-300 zinashindwa kushambulia ndege za Israel ziingiazo Syria. Sasa ndio mjue kuwa sio tu kushambulia ndegevita za kawaida, bali hata zile ndegevita mnazodanganyana kuwa ni stealth fighters, F-35, zaweza kuonekana na kuangamizwa na mifumo ya ulinzi ya kawaida ya S-300 achilia mbali S-400.
=======