Waziri wa ulinzi wa Israel akiri kuwa S-300 ya Urusi iliiona na kuishambulia ndegevita ya Israel F-35 (Stealth Fighter🤣🤣) huko Syria

Waziri wa ulinzi wa Israel akiri kuwa S-300 ya Urusi iliiona na kuishambulia ndegevita ya Israel F-35 (Stealth Fighter🤣🤣) huko Syria

Na kingine Israel haiombi ruhusa kwa Russia kwamba inaiogopa, Israel is not giving the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala about Russia. Wanafanya hivyo ili kuepusha escalation zaidi, kwa taarifa yako Israel iliwahi kuwatandika Wasovieti waliokuwa na air base yao wenyewe nchini Misri wakijiamini na taifa lao kubwa wanamsaidia Anwar Saddat.

Ruhusa isipoombwa matokeo yake yatakuwa kama haya ambapo Russia alipoteza ndege na wanajeshi 15 na hakuwa na namna ya kufanyaView attachment 2308270. Bado Israel inaweza shambulia air defence systems zitakazoishambulia kama ambavyo waliteketeza Pantsir za Syria miaka hii hii ya fujo.

S-300 zishapigwa na Azerbaijan kwenye Nagorno-Karabhak mwaka juzi zije ziishinde Israel. Hata last week Ukraine ilizipiga launchers mbili za S-300

Kubali hizo F35 ni makopo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huo mfumo ungekuwa imara vile vinu vya nyuklia visingeangamizwa na ndege za Israel miaka michache iliyopita hapo Syria.

Hapo jasusi wa Israel anaplan ya kufanya operation kubwa na anatanguliza kuwasifia ili aje alipue kila kitu ikiwemo hizo S-300 na hata S-400 zikiletewa.
Unafahamu huo mfumo umepelekwa lini na vinu viliharibiwa lini
 
Huo mfumo ungekuwa imara vile vinu vya nyuklia visingeangamizwa na ndege za Israel miaka michache iliyopita hapo Syria.

Hapo jasusi wa Israel anaplan ya kufanya operation kubwa na anatanguliza kuwasifia ili aje alipue kila kitu ikiwemo hizo S-300 na hata S-400 zikiletewa.
Syria ilikuwa haijapata hizo s-300! Russia imekuja kumpa Syria hizo s-300 miaka michache iliyopita baada ya ndege ya kijeshi ya Russia kutunguliwa na jeshi la Syria kimakosa wakidhani ni ndege ya kivita ya Israel.Vinu vya nuclear vya Syria vilishambuliwa na ndege za Israel 2007.
 
Na kingine Israel haiombi ruhusa kwa Russia kwamba inaiogopa, Israel is not giving the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala about Russia. Wanafanya hivyo ili kuepusha escalation zaidi, kwa taarifa yako Israel iliwahi kuwatandika Wasovieti waliokuwa na air base yao wenyewe nchini Misri wakijiamini na taifa lao kubwa wanamsaidia Anwar Saddat.

Ruhusa isipoombwa matokeo yake yatakuwa kama haya ambapo Russia alipoteza ndege na wanajeshi 15 na hakuwa na namna ya kufanyaView attachment 2308270. Bado Israel inaweza shambulia air defence systems zitakazoishambulia kama ambavyo waliteketeza Pantsir za Syria miaka hii hii ya fujo.

S-300 zishapigwa na Azerbaijan kwenye Nagorno-Karabhak mwaka juzi zije ziishinde Israel. Hata last week Ukraine ilizipiga launchers mbili za S-300
Kwamba ubabishana na waziri wa ulinzi au?
 
Hizo ndege hakuna kitu ni makopo tu kwanza zinaanguka zenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]. Wanatumia nguvu kubwa sana kuzipromote ila hazina maajabu yyte. US mambo yake ni ya kimchongo sana
Ubora wa ndege unapimwa Kwa flight hours na mpaka sasa F-35 imeshafika flight hours laki nne na kitu,kitu ambacho hakijaweza kufikiwa na ndege yeyote 5th generation kuanzia Russia mpaka Uchina.

Kumbuka mpaka sasa Urusi haina true 5th generation fighter wana hiyo Su-57 ambayo bado ni prototype haijaingia kwenye serial production mpaka sasa zipo kama 12 na hapo ilishawahi kupata ajali. Russia's most advanced Su-57 fighter jet suffers first crash Huwezi kulinganisha na F-35 ambazo zipo karibia 800 kwenye service ndani ya airforces tofauti tofauti.
Pia kwenye usalama sidhani Kama kuna ndege zenye rekodi mbaya ya usalama kama za Urusi,hapa juzijuzi kuna Mig-21 ya India imedondoka mpaka wahindi wenyewe wanaziita flying coffin na wanataka kuzistaafisha zote ikifika 2025.
Tizama hii habari toka India wakiziita hizo ndege 'Jeneza linalopaa'
 
Naona military experts wa Soviet Union na NATO Mnabishana sema ukweli ni kwamba urusi kwenye military technology Hana mpinzani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Moja ya project za hovyo kwa US ni hzo F35 walipigwa nje nje na walitumia pesa mingi sana afu hazina maajabu ni vile zilikua hazikutani na airdefense system nzuri
Mkuu Kama air defenses nzuri za Urusi kama S-300 zinasumbuliwa na non stealth 4th generation aircraft kama F-16 na F-15 hiyo F-35 itakuaje. Kila siku ndege za Israel zinafanya mashambulizi huko Syria na wakati mwingine zinashambulia hizohizo air defenses kama Pantsir,BUK,nk.

Kama F-35 NI ndege ya hovyo jiulize kwann kila nchi inayojielewa yenye bajeti ya kutosha ya Ulinzi inataka kuinunua?! Juzi hapa Ujerumani imeichagua, Czech Republic nao wamepeleka maombi Washington wanaitaka, unadhan wote hao hawana akili?! Mzee Ile ndege ni flying computer ni system ndani ya System ina millions lines of code ndo maana unasikia kila siku wanasolve bugs ili kuzidi kuifanya iwe imara zaidi ndege Ile inapokea updates kama ww uvyopokea software updates kwenye iPhone yako.
Angalia picha hapa chini,mara ya Mwisho kufatilia ilikua upgrade to Block 3F software hapo ndege ilikua Mwisho wa maneuver ni 7Gs na sasa wanataka upgrade tena ifanye 9Gs maneuver na iweze kubeba silaha zaidi
View attachment 2309282
View attachment 2309283
 
Huo mfumo ungekuwa imara vile vinu vya nyuklia visingeangamizwa na ndege za Israel miaka michache iliyopita hapo Syria.

Hapo jasusi wa Israel anaplan ya kufanya operation kubwa na anatanguliza kuwasifia ili aje alipue kila kitu ikiwemo hizo S-300 na hata S-400 zikiletewa.
Unaongea huku unaumia
 
Mtoa mada punguza mahaba,

Wenzako wanapondwa pondwa na Himars na hayo machuma hayaoni kitu
Bongo ,watu wa story za vijiweni na kuzamia meli, mnavyoongeea humu forum, mngeapply huko mbwinde kwenu ndugu wasingeolewa na kuvaa viraka daily
 
Na Watu wetu wale wakikatiza na nyungo zao wataonwa na hizo mitambo zao?.
 
Niliandika humu kuhusu F35 pia kuhusu radar, stealth ni scam, hizo ni lugha za kibiashara.
Mig21 ina tosha kabisa ku battle na hio F35, ipo hivi huwezi kuwa na ndege ni stealth, ifanye close air support, ifanye electronic warfare, ifanye air to air missions na mambo lukuki, hio ndio F35.

Niliwaeleza humu vichwa ngumu radar ya 1942 inaona stealth.

F35 hamna kitu pale, su57 ni bora zaidi kuliko hilo garbage F35.

US walitaka kuweka kila kitu kwenye package moja na wamefeli, ndege lenyewe zitoo kama nini.

F35 hamna ndege hapo.
Kwa nini hawauzi F22?

Ni bora uwe na Mig21 kumi kuliko F35 20.
 
Acha uongo

Wewe ndo uache uongo hujui lolote huna elimu....unaokoteza habar zako za kifikirika unaleta hapa kujaza saver za watu...umeulizwa unaujua Maana ya stealth?....mkuu hapo juu amekuelimisha nini maana ya stealth tofauti ya wewe unavyodhania rudi kasome acha kukurupuka kama mabisi kikaangoni
 
Niliandika humu kuhusu F35 pia kuhusu radar, stealth ni scam, hizo ni lugha za kibiashara.
Mig21 ina tosha kabisa ku battle na hio F35, ipo hivi huwezi kuwa na ndege ni stealth, ifanye close air support, ifanye electronic warfare, ifanye air to air missions na mambo lukuki, hio ndio F35.

Niliwaeleza humu vichwa ngumu radar ya 1942 inaona stealth.

F35 hamna kitu pale, su57 ni bora zaidi kuliko hilo garbage F35.

US walitaka kuweka kila kitu kwenye package moja na wamefeli, ndege lenyewe zitoo kama nini.

F35 hamna ndege hapo.
Kwa nini hawauzi F22?

Ni bora uwe na Mig21 kumi kuliko F35 20.
Mkuu toa sababu sio unasema Su57 ni bora kuliko F35 halafu ndio mwisho wa story. Leta sababu zako kwanin?
 
Moja ya project za hovyo kwa US ni hzo F35 walipigwa nje nje na walitumia pesa mingi sana afu hazina maajabu ni vile zilikua hazikutani na airdefense system nzuri
Mkuu upo jimbo gani hapo Urusi?
 
Itabidi ukarudie kusoma maana halisi ya stealth. Stealth sio kutoonekana bali ni ile reduced radar cross section (RCS) na ushahidi mwingine wa kuwepo kwa ndege angani mfano umbo, rangi, mawasiliano na joto linalotolewa na injini. Kila ndege inaweza onekana ila utaiona kwa umbali gani, nakumbuka F-35 inakadiriwa na Wamarekani kuwa inaweza onekana na S-400 ikiwa around 50km range. Huo muda S-400 inakuja kuona ishashambuliwa na kuharibiwa mapema sana kuna anti radiation missiles zina range zaidi ya 200km pale USAF.

Taarifa yenyewe inakuambia wameiona ndege ilishaondoka eneo la mashambulizi, yani imeshambulia wakaona airstrike wakajua kuna ndege angani na ndio wakitafuta na kufyatua kombora bila mafanikio. Ni uzembe wa S-300 miaka yote ndege za Israel zinazurula anga la Syria na hamna kitu watafanya kuzuia
Kwann mturuki alikataliwa kununua f-35 baada ya kununua S-400 kutoka Urusi? Au ndio hayanihusu mkuušŸ˜€
 
Back
Top Bottom