Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wasaidie kupatikana kwa Mateka

Na US anawanyoosha haswaaaa.
 
Sio raia wote wa Palestina ni magaidi kama Hamas
Sasa kama mnalitambua hilo mbona mna shangilia Israel kuuwa raia hovyo hali yakuwa mnajua kuna raia wasio kuwa na mahusiano na hamas?
 
Si ni nyinyi mlisema Israel haingii Gaza, umebadili gia Tena ?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Anyway Gaza kuchukuliwa na Israel ni suala la muda Kaa Kwa kutulia sheikh ngoma Bado mbichi πŸ˜…πŸ˜…
 
Si ni nyinyi mlisema Israel haingii Gaza, umebadili gia Tena ?[emoji23][emoji23][emoji23]. Anyway Gaza kuchukuliwa na Israel ni suala la muda Kaa Kwa kutulia sheikh ngoma Bado mbichi [emoji28][emoji28]
Ila kubali Jeshi la Israel ni kundi la wahuni tu kumbe hata jwtz tunawamudu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]
 
Marekani hakupigwa vita hiyo unayosema na vietcongs hao. Yeye alienda asijue dhamira ya vita. Watu aliwategemea wapi vitani anawasaidia, kumbe wavietnam wanawasaidia, yaani jamaa wameweka kambi, wanaishi pamoja, marekani akakuta mbona mambo tofauti. Ikabidi aondoke si kujishusha.

Vita zote za germany alizoshiriki tunasema ziliisha in a draw hajawahi ua watu bila sababu.
Hizi vitu zingine maiandike tu mitandaoni kufanya justification.
Stay on point as the thread say.
 
Sasa kama mnalitambua hilo mbona mna shangilia Israel kuuwa raia hovyo hali yakuwa mnajua kuna raia wasio kuwa na mahusiano na hamas?
 

Attachments

  • 0979A015-41F2-43CC-9C8B-A0345CDAD2F4.jpeg
    46.8 KB · Views: 1
Agent yellow
 
Mkuu sasa unawapangia wanajeshi mahali pa kupigana vitani??
Adui akivaa kiraia unaua
Adui akijificha nyuma ya watoto na wanawake unaua
Risasi haina macho
NB:MKUU ACHA KUTUPANGA WENGINE WANA TAALUMA UJUE.NI KWELI KUA USA HAKUPIGWA KIPIGO CHA MBWA KOKO VIETNAM BALI ALIJIONDOA.
 
Ww jamaa buana Marekani kapigana vita nchini Vietnam kwa zaidi ya miaka 8 na kapoteza maelfu ya wanajeshi na alipotez maelfu ya ndege sasa alijiondoa kivipi?

Vita ya Vietnam ni historia chungu na ilijaa aibu kwa Marekani.

Kwa hiyo kumbe Ujerumani alikuwa sahihi kuuwa mamilioni ya wayahudi, maana umetuambia kuwa Ujerumani hajawahi kuuwa watu bila sababu?
 
Yuko sahihi kuna watanzania wenzetu wametekwa na Hamas watu wa Gaza wasaidie watanzania wenzetu waachiwe

Kama ni majasusi wauawe haraka, hakuna cha utanzania wala nani, kama ni mossad wauliwe tu. Hamas tekelezeni
 

Wanaomba bado msaada!!! Narudia tena, wanaomba bado msaada!!!! Wameshauwa raia, watoto, wazee halafu wanaomba msaada kweli!!! Ingelikua inawezekana ndugu zangu waislamu twendeni tukawasaidie ndugu zetu dhidi ya hao mayahudi weupe
 
Kama kila jeshi lingekuwa linafanya linavyo taka basi kusingekuwepo Sheria za vita na wala kusingekuwa na mashitaka ya uharifu wa kivita.

Marekani hakujiondoa bali alikimbia baada ya kupata hasara ya maelfu ya wanajeshi wake kuawa na maelfu ya vifaa vyake vya kijeshi kuharibiwa,na vita ya Vietnam ni vita iliyo ipa hasara kubwa tangu kuhasisiwa kwa taifa hilo.

Kwahiyo Urusi akitangaza kujiondoa Ukraine na majeshi ya Ukraine yateka tena eneo lote la Ukraine utasema Urusi hajashindwa vita bali kajiondoa?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hamas sio jeshi au ni sawa kwa Hamas kuua raia wema ila sio sw IDF kujibu hivyo hivyo
 
Wanaomba bado msaada!!! Narudia tena, wanaomba bado msaada!!!! Wameshauwa raia, watoto, wazee halafu wanaomba msaada kweli!!! Ingelikua inawezekana ndugu zangu waislamu twendeni tukawasaidie ndugu zetu dhidi ya hao mayahudi weupe
akili yako ndogo kuelewa hiyo kauli , yaan ili usiguswe na dozi bas toa msaada la sivyo , wote wana haki ya kufa
 
Tafuta sababu ya mjerumani kuuwa wayahudi. Very open reason.
Yaani enzi hizi watu wapuuzi mngekua mnauliwa ningekua jabali kma hitler. At this age vitu vidogo vidogo hvi huvifahamu ni kuzika tu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…