Na US anawanyoosha haswaaaa.Kwanza tambua target Namba Moja ya Israel katika vita hii ni kuwamaliza Hao magaidi . Ndiyo maana unaona IDF inafanya uharibifu maeneo Kila wakipata taarifa kuwa eneo Hilo wapo HAMAS wamejificha . Hilo la mateka ipo special unit Kwa ajili ya kufanya ukombozi , refer ya mateka wa Israel huko Uganda .
Hilo la kutambua mateka wako wapi litafuata baadae , lakini lengo kuu la Israel ni kupambana na hao wahuni .
Hebu Niambie ni taifa Gani limewahi kukaa meza Moja na magaidi na wakajadiliana Kisha kufikia makubaliano. Hao magaidi wanakupa msururu wa matakwa yao na wanataka uyatekeleze wewe ungeweza ?.
Kwa taarifa Yako hao mateka wa kipalestina wengi ni haohao magaidi waliofungwa kwenye magereza ya Israel. Ndio maana [emoji1258][emoji1258] ana slogan yake "no negotiations with the terrorists" usifikiri Hana akiri [emoji23][emoji23][emoji23]