Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wasaidie kupatikana kwa Mateka

Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wasaidie kupatikana kwa Mateka

Duuuuh kwamba umetafsiri maneno hayo Kwa elimu ya madrasa au 😂😂😂.
Mbona huyo jamaa ameeleza lugha ya kueleweka kuwa "Nazungumza Kwa wakazi wa ukanda wa Gaza, Kwa yeyote atakayesaidia kuachiwa Kwa mateka atalindwa , Waliobaki kifo ni halali yao " 😂😂😂
Jamaa hajui kutafsiri
 
Wanaukumbi.

Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
“I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,” former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
MKUU HIVI UNAJUA KUTAFSIRI HOTUBA?
AU ELIMU YAKO IMEISHIA MADRASA TU?
 
Wanaukumbi.

Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
“I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,” former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
Bora kuwapoteza hao mateka. Yaani wanauliwa wapalestina zaidi ya 9000 kisingizio mateka 200. Ukiona watu wanajivunia kua na mashoga na wasagaji kwenye viongoxi wao kama speaker wa bunge ujue wamelaaniwa na kuna siku mungu atapenda kuwafuta kwenye uso wa dunia
 
KAMA IDF SIO NOMA WAULIZE WAARABU WAISLAMU TOKA MWAKA 1948 WANAJUA HILO
Hamas wanafimbo na mawe mkononi🤣🤣🤣

Ninyi mna vikorokoro vyote vya kupigania,mwezi unaisha mnahangaika NAO,mateka hamjui walipo🤣

Hawa wanamgambo wakuhangaika NAO mwezi mzima ?
 
Wewe na elimu ya madrasa huwezi tafsiri alichozungumza huyo waziri , hebu nenda kasome upya alichozungumza [emoji23][emoji23]
Ww elimu yako ya kizungu imekusaidia nn kama sio kujaa stress tu.
 
Nibora ungenyamaza tu wenda ungeendelea kuuficha ujinga wako, kuliko kuuonyesha hadharani.
Sasa hapo kuna tofauti gani na alicho sema mtoa post?
Wote wewe na mtoa mada mna elimu ya madrasa hamuwezi kumuelewa huyo muisrael
Mkuu huu leo tena 😂😂😂😂 huu ni UZI WA NGAPI UKIFARIJI KUHUSU KICHAPO KINACHOENDELEA GAZA.......SI WALISEMA WATAIFUTA ISRAEL KWENYE RAMANI YA DUNIA.
😂😂😂 MBONA WANAOMBA CEASE FIRE BAADA YA KICHAPO KUWAKOLEA.

MAMBO MAGUMU KWA YUPI?
YULE ANAEOMBA CEASE FIRE AU YULE ANAETOA KICHAPO.?
MM NAKUSHAURI PROPAGANDA HAZISAIDII SABABU TUMEZIZOEA TOKA 1967.
Mkuu Israel akiamua kufanya jambo lake hata watu wapige kelele vip Huwa hasikilizi mtu. Nenda tweeter huko katibu mkuu wa UN Antonio Gutierrez analalamika kuwa Israel apunguze mashambulizi huko Gaza Hali ni mbaya ila watu hawana time naye wao na jambo lao 😂😂
Screenshot_20231104-200550.png
 
Israel iinachokifanya inaacha ALAMA moja mbaya DUNIANI,..kizazi na kizazi.
Dunia itasoma history..
 
Na
Israel iinachokifanya inaacha ALAMA moja mbaya DUNIANI,..kizazi na kizazi.
Dunia itasoma history..
Walisema kabla kuwa Hamas wamefanya kosa la kihistoria na majibu yake itakuwa historia kwa miaka mingi ijayo kitafanyika kitu ambacho akijawai kufanyika Gaza.
 
Wanaukumbi.

Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
“I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,” former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.

Ni bora wakawatonya walipo mateka maana Gaza yote imegeuka vifusi na maelfu kwa maelfu wanazidi kupukutika. Hata hivi vita vikiisha sijui hawa watu watakaobaki hai wataishi wapi! Inatia huruma mno maana raia wengi pale ni maskini sana na wengi wao huwa wanakwenda kufanya kazi Israel ambapo kwa sasa wote waliokuwa wanafanya kazi Israel wamefukuzwa na hawana tena kwa kwenda kuishi. Hivi Hamas kama nao ni wakali kwa vita kama ushabiki unavyowapamba mbona hawaingii ule upande wa Israel ili nao wageuze miji ya Israel vifusi? Wenzao wameingia kwao, ilibidi nao waingie upande wa Israel ili wakaonyeshe makali na mapigano ya-balance! Badala yake wao wamejificha kwa kukichanganya na raia na kwenye mashimo ambapo wanaendelea kufukuliwa humo!
Walianzisha moto, kuuzima imekuwa shida!
Israel wanasema watapulizia gesi yenye sumu humo kwenye mashimo walimojificha ili wakurupuke na wawanase!
 
Ila hawa hamas siyo wa mchezo mchezo nimeona video yao moja huko X utasema zile movie za Hollywood. Muisraeli ananyanyasika vibaya sana kwa ground hawezi ukweli usemwe bora aendelee kuangusha magorofa tu na kupiga raia kwa ndege vita .
 
Mbona kuna drones za US ziko kwenye anga ya Gaza kujaribu kubainisha maeneo walipo mateka?
Kitu ambacho IDF nadhani haitaki kukikubali,kwa taarifa ya msemaji wa Hamas,wale mateka wamewekwa maeneo tofauti tofauti,na inasemekana mateka wengine hawako Gaza,wako nje ya Gaza!
Hamasi walishatoa msimamo wao, kwanza IDF isimamisha mashambulizi,pili makubaliano ya kuwachia mateka lazima kuambatane na Israel kuwaachia mateka wa kipalestina wanaoshikiliwa na Israel.

Kwa nini isimamishe mashambulizi kama na wao Hamas ni wanaume? Si wafurushane hadi mwisho ili tuone nani ni jogoo? Na wao waingie Israel wapeleke moto badala ya kujificha kwenye mashomo kama panya! Unasnzisha vita ambavo huviwezi? Huu ndiyo ujinga sijawahi kuusikia tangu dunia iumbwe! Wao walifhani Israel inatumia marungu kupigana! Wangejua moto wa Israel hakika wasingethubutu kuanzisha uchokozi! Kwa sasa wacha wakione cha moto ili liwe fundisho kwa siku za usoni! Nadhani hawatathibutu tena kuichezea Israel. Wanachapwa huku pia magaidi wenzao wa Hezbola nao wanakula moto!
 
Hamas wanafimbo na mawe mkononi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ninyi mna vikorokoro vyote vya kupigania,mwezi unaisha mnahangaika NAO,mateka hamjui walipo[emoji1787]

Hawa wanamgambo wakuhangaika NAO mwezi mzima ?

Israel inachotaka ni kuwasafisha hao magaidi wote na mwisho watawaonyesha mateka wenyewe kwa vinywa vyao! La sivyo kichapo hakitakuwa na mwisho!
 
Wote wewe na mtoa mada mna elimu ya madrasa hamuwezi kumuelewa huyo muisrael

Mkuu Israel akiamua kufanya jambo lake hata watu wapige kelele vip Huwa hasikilizi mtu. Nenda tweeter huko katibu mkuu wa UN Antonio Gutierrez analalamika kuwa Israel apunguze mashambulizi huko Gaza Hali ni mbaya ila watu hawana time naye wao na jambo lao 😂😂
View attachment 2803970
Mtoa mada mtani wangu,,,kila akitoka kuswali basi anaweka uzi kuwapondea wayahudi ,🤣🤣🤣🤣🤣
Madrasa alikimbia fimbo za ustaadhi.
NB:HAKUNAGA INTERNATIONAL LAWS KWENYE UWANJA WA VITA SABABU ADUI HAKENULIWI MENO
 
Kwa nini isimamishe mashambulizi kama na wao Hamas ni wanaume? Si wafurushane hadi mwisho ili tuone nani ni jogoo? Na wao waingie Israel wapeleke moto badala ya kujificha kwenye mashomo kama panya! Unasnzisha vita ambavo huviwezi? Huu ndiyo ujinga sijawahi kuusikia tangu dunia iumbwe! Wao walifhani Israel inatumia marungu kupigana! Wangejua moto wa Israel hakika wasingethubutu kuanzisha uchokozi! Kwa sasa wacha wakione cha moto ili liwe fundisho kwa siku za usoni! Nadhani hawatathibutu tena kuichezea Israel. Wanachapwa huku pia magaidi hawenzao wa Hezbola nao wanakula ?moto!
Ww ni kilaza hauna unacho jua ,kwani hii ni mara ya kwanza kwa Hamas na Israel kupigana?

Kama ni kuuwa raia mbona hata JWtz inaweza ,ubora wa jeshi uko kwenye medani ya mapambano na sio kuuwa watoto na wanawake.
 
Hamas wanafimbo na mawe mkononi🤣🤣🤣

Ninyi mna vikorokoro vyote vya kupigania,mwezi unaisha mnahangaika NAO,mateka hamjui walipo🤣

Hawa wanamgambo wakuhangaika NAO mwezi mzima ?
MKUU WATU WANAPIGANA KWA MIPANGO NA SIO UNAVYOTAKA WEWE.
KIPAUMBELE WALA SIO MATEKA AU KUJYA WALIPO.
EBU TAFUTA VIONGOZI WA HAMAS UONE KAMA WANAWEZA KUWEKA HADHARANI IDADI YA MGAMBO WAO WALIOKUFA MPAKA SASA.
NB:MKUU HILO LA HAMAS WANA FIMBO NA MAWE LIMENITIA SHAKA KIWANGO CHA UELEWA WAKO,,,,AU LABDA UNALETA USHABIKI WA KIDINI.
 
Back
Top Bottom