Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
KAMA IDF SIO NOMA WAULIZE WAARABU WAISLAMU TOKA MWAKA 1948 WANAJUA HILOTuliaminishwa kwenye makaratasi Israel ni noma kijeshi.View attachment 2803935
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAMA IDF SIO NOMA WAULIZE WAARABU WAISLAMU TOKA MWAKA 1948 WANAJUA HILOTuliaminishwa kwenye makaratasi Israel ni noma kijeshi.View attachment 2803935
Jamaa hajui kutafsiriDuuuuh kwamba umetafsiri maneno hayo Kwa elimu ya madrasa au 😂😂😂.
Mbona huyo jamaa ameeleza lugha ya kueleweka kuwa "Nazungumza Kwa wakazi wa ukanda wa Gaza, Kwa yeyote atakayesaidia kuachiwa Kwa mateka atalindwa , Waliobaki kifo ni halali yao " 😂😂😂
MKUU HIVI UNAJUA KUTAFSIRI HOTUBA?Wanaukumbi.
Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
“I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,” former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
Nazan Israel Wana dam ya Shaba.....na wao no Bora kuliko wengine duniani na Kwa munguThe rest deserve to die
Bora kuwapoteza hao mateka. Yaani wanauliwa wapalestina zaidi ya 9000 kisingizio mateka 200. Ukiona watu wanajivunia kua na mashoga na wasagaji kwenye viongoxi wao kama speaker wa bunge ujue wamelaaniwa na kuna siku mungu atapenda kuwafuta kwenye uso wa duniaWanaukumbi.
Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
“I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,” former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
Hamas wanafimbo na mawe mkononi🤣🤣🤣KAMA IDF SIO NOMA WAULIZE WAARABU WAISLAMU TOKA MWAKA 1948 WANAJUA HILO
Ww elimu yako ya kizungu imekusaidia nn kama sio kujaa stress tu.Wewe na elimu ya madrasa huwezi tafsiri alichozungumza huyo waziri , hebu nenda kasome upya alichozungumza [emoji23][emoji23]
Wote wewe na mtoa mada mna elimu ya madrasa hamuwezi kumuelewa huyo muisraelNibora ungenyamaza tu wenda ungeendelea kuuficha ujinga wako, kuliko kuuonyesha hadharani.
Sasa hapo kuna tofauti gani na alicho sema mtoa post?
Mkuu Israel akiamua kufanya jambo lake hata watu wapige kelele vip Huwa hasikilizi mtu. Nenda tweeter huko katibu mkuu wa UN Antonio Gutierrez analalamika kuwa Israel apunguze mashambulizi huko Gaza Hali ni mbaya ila watu hawana time naye wao na jambo lao 😂😂Mkuu huu leo tena 😂😂😂😂 huu ni UZI WA NGAPI UKIFARIJI KUHUSU KICHAPO KINACHOENDELEA GAZA.......SI WALISEMA WATAIFUTA ISRAEL KWENYE RAMANI YA DUNIA.
😂😂😂 MBONA WANAOMBA CEASE FIRE BAADA YA KICHAPO KUWAKOLEA.
MAMBO MAGUMU KWA YUPI?
YULE ANAEOMBA CEASE FIRE AU YULE ANAETOA KICHAPO.?
MM NAKUSHAURI PROPAGANDA HAZISAIDII SABABU TUMEZIZOEA TOKA 1967.
Usiangaike naye huyo. Kwa kutunga ujinga anaongoza.Kwani Hamas wenu hao wako wapi, mbona hawapo Gaza, make Gaza IDF ndio wapo pale, Hamas wako shimoni na mateka wamegeuka panyabuku🤣🤣🤣🤣🤣
Walisema kabla kuwa Hamas wamefanya kosa la kihistoria na majibu yake itakuwa historia kwa miaka mingi ijayo kitafanyika kitu ambacho akijawai kufanyika Gaza.Israel iinachokifanya inaacha ALAMA moja mbaya DUNIANI,..kizazi na kizazi.
Dunia itasoma history..
Wanaukumbi.
Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
“I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,” former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
Mbona kuna drones za US ziko kwenye anga ya Gaza kujaribu kubainisha maeneo walipo mateka?
Kitu ambacho IDF nadhani haitaki kukikubali,kwa taarifa ya msemaji wa Hamas,wale mateka wamewekwa maeneo tofauti tofauti,na inasemekana mateka wengine hawako Gaza,wako nje ya Gaza!
Hamasi walishatoa msimamo wao, kwanza IDF isimamisha mashambulizi,pili makubaliano ya kuwachia mateka lazima kuambatane na Israel kuwaachia mateka wa kipalestina wanaoshikiliwa na Israel.
Hakuna mtu wa Gaza atakayedanganyika na ahadu za yahudi akatoa siri za Hamas.
Kama Yahudi ALIUA YESU KRISTO kuna cha kushangaza?!Basi kama wanasaidia kuficha siri za Hamas kumbe ni sahihi IDF inavyowabonda wote.
Hamas wanafimbo na mawe mkononi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninyi mna vikorokoro vyote vya kupigania,mwezi unaisha mnahangaika NAO,mateka hamjui walipo[emoji1787]
Hawa wanamgambo wakuhangaika NAO mwezi mzima ?
Mtoa mada mtani wangu,,,kila akitoka kuswali basi anaweka uzi kuwapondea wayahudi ,🤣🤣🤣🤣🤣Wote wewe na mtoa mada mna elimu ya madrasa hamuwezi kumuelewa huyo muisrael
Mkuu Israel akiamua kufanya jambo lake hata watu wapige kelele vip Huwa hasikilizi mtu. Nenda tweeter huko katibu mkuu wa UN Antonio Gutierrez analalamika kuwa Israel apunguze mashambulizi huko Gaza Hali ni mbaya ila watu hawana time naye wao na jambo lao 😂😂
View attachment 2803970
Ww ni kilaza hauna unacho jua ,kwani hii ni mara ya kwanza kwa Hamas na Israel kupigana?Kwa nini isimamishe mashambulizi kama na wao Hamas ni wanaume? Si wafurushane hadi mwisho ili tuone nani ni jogoo? Na wao waingie Israel wapeleke moto badala ya kujificha kwenye mashomo kama panya! Unasnzisha vita ambavo huviwezi? Huu ndiyo ujinga sijawahi kuusikia tangu dunia iumbwe! Wao walifhani Israel inatumia marungu kupigana! Wangejua moto wa Israel hakika wasingethubutu kuanzisha uchokozi! Kwa sasa wacha wakione cha moto ili liwe fundisho kwa siku za usoni! Nadhani hawatathibutu tena kuichezea Israel. Wanachapwa huku pia magaidi hawenzao wa Hezbola nao wanakula ?moto!
MKUU WATU WANAPIGANA KWA MIPANGO NA SIO UNAVYOTAKA WEWE.Hamas wanafimbo na mawe mkononi🤣🤣🤣
Ninyi mna vikorokoro vyote vya kupigania,mwezi unaisha mnahangaika NAO,mateka hamjui walipo🤣
Hawa wanamgambo wakuhangaika NAO mwezi mzima ?