Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wasaidie kupatikana kwa Mateka

Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wasaidie kupatikana kwa Mateka

Ww ni kilaza hauna unacho jua ,kwani hii ni mara ya kwanza kwa Hamas na Israel kupigana?

Kama ni kuuwa raia mbona hata JWtz inaweza ,ubora wa jeshi uko kwenye medani ya mapambano na sio kuuwa watoto na wanawake.

Pumba wewe, hanas waliwahi kula kipigo wanachokula sasa hivi? Nipe mwaka na takwimu kwa mpukutisho huu ambao hadi dunia nzima inatetema! Umevaa musuli hapo unaongea pumba tu hapa! Nenda kawasaidie ndugu zako huko la sivyo watakwisha wote maana wanadhani vita ni kupigana kwa marungu na mawe!
 
Ww ni kilaza hauna unacho jua ,kwani hii ni mara ya kwanza kwa Hamas na Israel kupigana?

Kama ni kuuwa raia mbona hata JWtz inaweza ,ubora wa jeshi uko kwenye medani ya mapambano na sio kuuwa watoto na wanawake.
WAAMBIE WANAMGAMBO WA HAMAS WAACHE KUJIFICHA NYUMA YA WATOTO NA WANAWAKE NA WAACHE KUJIFICHA MASHULENI NA MAHOSPITALINI NA MISKITINI.
KWENYE VITA HAKUNA CEASE FIRE UKILIANZISHA ULIMALIZE,,,,SI WALIKUA WANASHANGILIA OCTOBER 07,,,SASA WANALIA NINI
 
Basi kama wanasaidia kuficha siri za Hamas kumbe ni sahihi IDF inavyowabonda wote.
Sasa kama wao Israel na Marekani na Interegensia tunao amishwa ndo bora kuliko zote duniani wameshindwa kujua mateka walipo hao raia wakawaida watajulia wapi?😀😀😀😀😀 Kweli njia ya muongo ni fupi

Alafu ww si ulikuwa unataka Urusi aishinde Ukraine ndani ya siku tatu leo hii inakuwaje taifa lenu teule limeshindwa kulishinda kundi la wahuni wanao tumia silaha za mwaka 47 kwa zaidi ya mwezi mzima?😀😀😀😀😃😃😀😃.
 
Ww ni kilaza hauna unacho jua ,kwani hii ni mara ya kwanza kwa Hamas na Israel kupigana?

Kama ni kuuwa raia mbona hata JWtz inaweza ,ubora wa jeshi uko kwenye medani ya mapambano na sio kuuwa watoto na wanawake.
Israel anapigana na magaidi hapigani na jeshi . Israel kabla ya kuingia Gaza alitangaza raia wahame eneo Hilo hao magaidi wakawakataza raia wasitoke hapo unamlaumu Israel Kwa lipi?.
Harafu watoto wenyewe Hawa unaowatetea ndo hao wanarusha mawe Kwa wanajeshi wa Israel unategemea waachwe tu ?. Leo atarusha jiwe Kwa kifaru utamchekea kesho Tena anarusha jiwe kumbe ni bomu la kurushwa 😂😂😂😂
F9tj8AlW4AAAgNn.jpeg
 
WAAMBIE WANAMGAMBO WA HAMAS WAACHE KUJIFICHA NYUMA YA WATOTO NA WANAWAKE NA WAACHE KUJIFICHA MASHULENI NA MAHOSPITALINI NA MISKITINI.
KWENYE VITA HAKUNA CEASE FIRE UKILIANZISHA ULIMALIZE,,,,SI WALIKUA WANASHANGILIA OCTOBER 07,,,
Naona sasa huo ndo wimbo wenu baada ya kushindwa kupigana vita.
Kwani Israel imeanza kuuwa raia sasa hivi?
Huko West bank kila mwaka Israel ana uwa mamia ya watu wasio na silaha na kuwabomolea nyumba zao.
 
Naomba nitumie jibu hili kumjibu mtoa thread maana nae hajaelewa kitu waziri alichosema na bado hajui israel, ikisikia hata mtoto wa shabiki wa hamas anapelekwa hospitali. Analipua ambulance na kama haitoshi akichelewa anamlipua mlangoni mwa hospital emergency ila halipui hospitali. Amekurupuka mtoa thread.
Wewe kusaidia Mimi kupata ndugu zangu waliotekwa ni hiari Yako . Lakini Mimi kuamua kuingia vitani Ili kuwakomboa mateka wangu nisikusikie unalalamika na kulialia kama mbwa😂😂
ili
 
  • Thanks
Reactions: F9T
Mtoto wa nyoka ni nyoka .
Watoto kama hawa wanapata wapi ujasiri wa kurusha mawe kwenye kifaru .Na unauhakika Gani hayo wanayorusha kuwa ni mawe na si mabomu ya kurusha?, . Harafu unataka waachwe tu. Hebu fikiria Hawa watoto wakakabidhiwa mtutu wa bunduki hawafyatui ?😂😂
F9tj8AlW4AAAgNn.jpeg
 
Naona sasa huo ndo wimbo wenu baada ya kushindwa kupigana vita.
Kwani Israel imeanza kuuwa raia sasa hivi?
Huko West bank kila mwaka Israel ana uwa mamia ya watu wasio na silaha na kuwabomolea nyumba zao.
MKUU HV HUONI KINACHOENDELEA GAZA,,,AU NDIO UNAJIFARIJI NA KICHAPO HEAVY KINACHOWAKUTA WAARABU.SI WALIKUA WANASHANGILIA OCT 07 ????
SASA WANALIA NINI
 
Unapiga mabomu nyamba zao
Unapiga mabomu ambulance unapiga mambo shule unapiga mabomu Misikiti unapiga mabomu watoto unapiga mabomu wanawake kisha unawaambia wakusaidie kitafuta ndugu zao hawa kweli vichaa[emoji23]

Sasa kama magaidi yamejificha ndani ya miundo mbinu ya kiraia kwa nini wasishughulikiwe?!
Hata jwtz waliwatwanga magaidi kule kibiti bila huruma
 
Kwahiyo we unaona watanzania ndo binadamu wanaostahili kuishi Ila wengine la! Mbona mawazo yako yamekaa kibaguzi Kama ya makaburu.

Watanzania hawahusiki na hii vita lakini wametekwa. Hamas hawana huruma kabisa
 
Israel anapigana na magaidi hapigani na jeshi . Israel kabla ya kuingia Gaza alitangaza raia wahame eneo Hilo hao magaidi wakawakataza raia wasitoke hapo unamlaumu Israel Kwa lipi?.
Harafu watoto wenyewe Hawa unaowatetea ndo hao wanarusha mawe Kwa wanajeshi wa Israel unategemea waachwe tu ?. Leo atarusha jiwe Kwa kifaru utamchekea kesho Tena anarusha jiwe kumbe ni bomu la kurushwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2803985
Kwani Israel ndo taifa la kwanza kupambana na hao unao waita magaidi?

Jeshi la Iraq lilipambana na kundi la IS lenye nguvu mara 5 ya Hamas kwenye mji wa mosuri wenye mamilioni ya watu lakini mwezi mzima wa mapigano mpaka jeshi la Iraq lina iteka mosuri ni watu wasio zaidi 1500 tu tena wengi wao wakiwa wapiganaji wa IS walikuwa wameuawa , lakini leo Israel imesha uwa watu karibia 10,000 na kati yao 8000 ni wanawake na watoto alafu hilo unaliita jeshi? Leo ni wiki nzima wanadai wameizingira gaza lakini mpaka sasa wameshindwa kuingia katikati ya mji[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].
 
Hivi na wewe unazo akili yaani uniulie wazee na ndugu zangu halafu nikusaidie?

Kumbuka sio wapalestina wote ni magaidi, kuna kikundi cha watu wachache hamas ndio wanasababisha madhila kwa wengine wasio na hatia
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka .
Watoto kama hawa wanapata wapi ujasiri wa kurusha mawe kwenye kifaru .Na unauhakika Gani hayo wanayorusha kuwa ni mawe na si mabomu ya kurusha?, . Harafu unataka waachwe tu. Hebu fikiria Hawa watoto wakakabidhiwa mtutu wa bunduki hawafyatui ?[emoji23][emoji23]View attachment 2804004
Yaani una uwezo mdogo wa kufikiri kwa hiyo unataka kuniambia ya kuwa haujui ya kuwa hiyo ni picha ya kuedit?
 
Naomba nitumie jibu hili kumjibu mtoa thread maana nae hajaelewa kitu waziri alichosema na bado hajui israel, ikisikia hata mtoto wa shabiki wa hamas anapelekwa hospitali. Analipua ambulance na kama haitoshi akichelewa anamlipua mlangoni mwa hospital emergency ila halipui hospitali. Amekurupuka mtoa thread.

ili
Tatizo la wapalestina wa humu jf wanafikiri Israel anajipigia tu hovyo hovyo hapo Gaza. Bila kujua Israel anapiga maeneo potential yanayokua na magaidi kulingana na taarifa za kiuchunguzi na kiintelijensia anazokuwa amekusanya .
Juzi hapa amelipua Kambi ya wakimbizi iliyokua pia imemuhifadhi kamanda wa HAMAS na kumuua katika mlipuko huo . Sasa hapo utamlaumu Kwa lipi?
 
MKUU HV HUONI KINACHOENDELEA GAZA,,,AU NDIO UNAJIFARIJI NA KICHAPO HEAVY KINACHOWAKUTA WAARABU.SI WALIKUA WANASHANGILIA OCT 07 ????
SASA WANALIA NINI
Sasa kichapo gani ? Lini kuuwa raia hovyo ikawa sifa ya jeshi linalo itwa bora?

Kwenye vita ya dunia Ujerumani ndo nchi iliyo uwa watu wengi lakini mwisho wa vita ndo aliye shindwa vita.

Vita ya Vietnam , Marekani na washirika wake waliuwa mamilioni ya watu lakini mwisho wa siku Marekani aliikimbia Vietnam baada ya kupigwa kipigo cha mbwa koko.

Ubora wa jeshi unaonekana kwenye medani ya vita ba sio kuuwa raia hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom