Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth Ajichora Tatoo ya Neno Kafir kwa Kiarab

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,912
Reaction score
46,240
Waziri wa Ulinzi wa Marekani mwenye utata Pete Hegseth amejichora tatoo ya neno Kafir kwa kiarab kwenye mkono wake wa kulia. Akimaanisha yeye hamuamini Allah
20250328_201257.jpg
20250328_201543.jpg

Pete anajulikana kwa kupenda kwake tatoo ambazo amejichora kwenye mwili wake. Lakini tatoo aliyojichora karibuni ya neno Kafir kwa Kiarab imeleta gumzo siyo tu Marekani bali hata huko Mashariki ya Kati

View: https://x.com/BrotherRasheed/status/1905384323274211765?t=wnKt8AlMKCPPffYpOKnp0A&s=19

Waziri wa Ulinzi wa Marekani mwenye utata Pete Hegseth amejichora tatoo ya neno Kafir kwa kiarab kwenye mkono wake wa kulia. Akimaanisha yeye hamuamini Allah
View attachment 3286173View attachment 3286175

Yuko sawa, hii ndio maana ya uhuru wa dini. Sio lazima kila mtu aamini visakale vya jangwani huko.
 
Waziri wa Ulinzi wa Marekani mwenye utata Pete Hegseth amejichora tatoo ya neno Kafir kwa kiarab kwenye mkono wake wa kulia. Akimaanisha yeye hamuamini Allah
View attachment 3286173View attachment 3286175

Pete anajulikana kwa kupenda kwake tatoo ambazo amejichora kwenye mwili wake. Lakini tatoo aliyojichora karibuni ya neno Kafir kwa Kiarab imeleta gumzo siyo tu Marekani bali hata huko Mashariki ya Kati

View: https://x.com/BrotherRasheed/status/1905384323274211765?t=wnKt8AlMKCPPffYpOKnp0A&s=19

Fake photo
 
Special unity bab iyo we do bad things to bad people USA seal motto. Wenzetu wapo dunia nyingine
 
Back
Top Bottom