🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ayah nimeitoa wapi kwani?Kwa hiyo tukusikilize wewe au Quran? Hao wema ndiyo wanafanya wale wengine wasiwe Makafir?
Heri na shari ni karama zake mwenyezimungu ni nguzo ya imani katika uislam...na Mungu ni mmoja na Dini mojaHuyu huyu Allah wa hamas na Hezbollah?