Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth Ajichora Tatoo ya Neno Kafir kwa Kiarab

Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth Ajichora Tatoo ya Neno Kafir kwa Kiarab

Fatwaa inamuhusu huyu.... hata hvyo yeyote ambaye s muislamu si ni KAFIR au?
Neno kafir lina maana pana na halitumiki kwa kila mtu ,waliomaanishwa kweny Qur an ni wale waliokuwa wanapigana vita na Kumping Mtume na Mungu .

Kiufupi ni maadui wa wazi kabisa ,waliopigana vita na waislamu ...Ila leo watu wanatumia tu kumuita mtu bila ya kujua.
 
Basi wazir hana kosa/hajafanya jambo lolote baya ni sawa na kujibandika chata kuwa yeye si muislamu...
Ndivyo ilivyo hana kosa lolote alichofanya ni kuwajuza waarabu wasio jua kingereza kuwa yeye ni kafir
 
Waziri wa Ulinzi wa Marekani mwenye utata Pete Hegseth amejichora tatoo ya neno Kafir kwa kiarab kwenye mkono wake wa kulia. Akimaanisha yeye hamuamini Allah
View attachment 3286173View attachment 3286175

Pete anajulikana kwa kupenda kwake tatoo ambazo amejichora kwenye mwili wake. Lakini tatoo aliyojichora karibuni ya neno Kafir kwa Kiarab imeleta gumzo siyo tu Marekani bali hata huko Mashariki ya Kati

View: https://x.com/BrotherRasheed/status/1905384323274211765?t=wnKt8AlMKCPPffYpOKnp0A&s=19

pete ni mlevi asiyejitambua acha nae
 
Waarabu wameumia...!


Wanataka wao ndiyo wakuite wewe Kafir, ukijiita Mwenyewe hawapendi, unakua umewadharau.

Kuanzia Leo na Mimi ni Kafir.
😂😂😂😂😂

Umetisha chief

Jamaa hana kosa lolote, hajamtukana yeyote yule, na mambo ya kuitana Kafiri ni ujinga tupu

Utakuta huyo Kafiri anatoa misaada kwa wingi kwa wanaojiita si makafiri
 
Neno kafir lina maana pana na halitumiki kwa kila mtu ,waliomaanishwa kweny Qur an ni wale waliokuwa wanapigana vita na Kumping Mtume na Mungu .

Kiufupi ni maadui wa wazi kabisa ,waliopigana vita na waislamu ...Ila leo watu wanatumia tu kumuita mtu bila ya kujua.
Kafir linguistically means “unbeliever,” but in Islam, the term carries additional implications. Here are some key points to consider:

1.If a kafir is killed by mistake, his blood money (diyya) is half that of a Muslim.
2.If a kafir is killed intentionally by a Muslim, the Muslim cannot be executed in retaliation, as Muhammad said, “A Muslim is not killed for a kafir.”
3.The testimony of a kafir is not accepted.
4.A kafir cannot inherit from a Muslim.
5.A kafir cannot marry a Muslim woman.
6.A kafir cannot be buried in a Muslim cemetery.
7.A kafir cannot hold authority over a Muslim, particularly in high offices or as a judge.
8.The kafir is considered religiously unclean (najis), as stated in the Quran (9:28).
9.The kafir is described as “the worst of creatures” in the Quran (98:6).
10.A kafir and the Muslim who kills him cannot both be in Hell
 
Hiyo nchi imekuwa kama ghetto la wahuni sasa hivi.
 
Makafiri wanajitukuza ukafiri wao na maislam yanatukuza dini yao, magari yao huyaandika I PROUD TO MUSLIM. Waache na makafiri nao waone fahari ya ukafiri wao
 
Back
Top Bottom