Soma kwanza uelewe lina maana gani ,enzi gani lilikuwa linatumika ....Sio kila asiyekuwa muislamu ni kafir ; kuna washirikina ,Manaswara na Mayahudi .Kafir linguistically means “unbeliever,” but in Islam, the term carries additional implications. Here are some key points to consider:
1.If a kafir is killed by mistake, his blood money (diyya) is half that of a Muslim.
2.If a kafir is killed intentionally by a Muslim, the Muslim cannot be executed in retaliation, as Muhammad said, “A Muslim is not killed for a kafir.”
3.The testimony of a kafir is not accepted.
4.A kafir cannot inherit from a Muslim.
5.A kafir cannot marry a Muslim woman.
6.A kafir cannot be buried in a Muslim cemetery.
7.A kafir cannot hold authority over a Muslim, particularly in high offices or as a judge.
8.The kafir is considered religiously unclean (najis), as stated in the Quran (9:28).
9.The kafir is described as “the worst of creatures” in the Quran (98:6).
10.A kafir and the Muslim who kills him cannot both be in Hell
KWa hiyo manaswara, washirikina na wa mayahudi ndio makafir?!Soma kwanza uelewe lina maana gani ,enzi gani lilikuwa linatumika ....Sio kila asiyekuwa muislamu ni kafir ; kuna washirikina ,Manaswara na Mayahudi .
Katika hayo makundi hapo ,mtume alipigana vita na washirikina ndiyo wakaitwa '' Makafiri'' ,hakuwahi kupigana na Manaswara wala wayahudi. Palikuwa na ugomvi wa hapa na pale ila sio vita kamil akiwa hai..
Watu waliotwa Makafiri'' ni jamii za makabila ya waarabu ,soma Qur an na tarekhe utaelewa sio kila asiykuwa muislamu ni kafiri ,kuna Manaswara ,washirikiana na mayahudi.
Na hao walikuwa wakikaa karibu na chemchem za jangwani , walishaingia mkataba wa amani (udaybiyyah) ..Mwishoe walirudi wakaishi pale , haikuwa labda ile nguvu , jews wanaongelewa pale ni jamii za waarabu ni kama kabila .
Soma vizuri , katika aliyekengeuza akapiga vita waislamu na uislamu ndiye kafiri..Ndiyo maana tunasema Kafir ni aduai kulingana na mapokeo ya enzi hizi : Myahudi , Manasawa na Mshirikina wanaweza kuwa Makafri ila sio kuwaita moja kwa moja ..Je, unajua kuna Wayahudi waislamu , Manasara .KWa hiyo manaswara, washirikina na wa mayahudi ndio makafir?!
Binadamu kwa kushangaa bhana Mtu kuwa mpagani ni jambo la kawaida huko China, Sweden, Denmark hata Afrika.Waziri wa Ulinzi wa Marekani mwenye utata Pete Hegseth amejichora tatoo ya neno Kafir kwa kiarab kwenye mkono wake wa kulia. Akimaanisha yeye hamuamini Allah
View attachment 3286173View attachment 3286175
Pete anajulikana kwa kupenda kwake tatoo ambazo amejichora kwenye mwili wake. Lakini tatoo aliyojichora karibuni ya neno Kafir kwa Kiarab imeleta gumzo siyo tu Marekani bali hata huko Mashariki ya Kati
View: https://x.com/BrotherRasheed/status/1905384323274211765?t=wnKt8AlMKCPPffYpOKnp0A&s=19
Pete Hegseth got a new tattoo in Arabic. Here's what it means
The Defense Secretary's new tattoo was publicly visible for the first time on Wednesday.www.newsweek.com
Secretary of Defense Pete Hegseth's 'kafir' tattoo draws criticism. What does it mean?
New photos show that Hegseth has a tattoo in an Arabic word: 'Kafir.' What does that mean and what do critics say it's indicating?www.usatoday.com
Unakubali Mtume alipigana na Wayahudi?Na hao walikuwa wakikaa karibu na chemchem za jangwani , walishaingia mkataba wa amani (udaybiyyah) ..Mwishoe walirudi wakaishi pale , haikuwa labda ile nguvu , jews wanaongelewa pale ni jamii za waarabu ni kama kabila .
Elewa ni makabila ya waarabu ...Wayahudi kwao ni wapi?Unakubali Mtume alipigana na Wayahudi?
Huko South Africa linatumika kuwaita watu weusi.Neno kafir lina maana pana na halitumiki kwa kila mtu ,waliomaanishwa kweny Qur an ni wale waliokuwa wanapigana vita na Kumping Mtume na Mungu .
Kiufupi ni maadui wa wazi kabisa ,waliopigana vita na waislamu ...Ila leo watu wanatumia tu kumuita mtu bila ya kujua.
Hii ya kusema kafiri n yule anayempinga Mungu mnaiweka kinafiki tuu, Waislamu semeni tuu anayempinga mudy na Uislamu ndio kafiri na sio kumpinga MunguNeno kafir lina maana pana na halitumiki kwa kila mtu ,waliomaanishwa kweny Qur an ni wale waliokuwa wanapigana vita na Kumping Mtume na Mungu .
Kiufupi ni maadui wa wazi kabisa ,waliopigana vita na waislamu ...Ila leo watu wanatumia tu kumuita mtu bila ya kujua.
Na kule mwisho mkono huo huo kachora msalabaWaziri wa Ulinzi wa Marekani mwenye utata Pete Hegseth amejichora tatoo ya neno Kafir kwa kiarab kwenye mkono wake wa kulia. Akimaanisha yeye hamuamini Allah
View attachment 3286173View attachment 3286175
Pete anajulikana kwa kupenda kwake tatoo ambazo amejichora kwenye mwili wake. Lakini tatoo aliyojichora karibuni ya neno Kafir kwa Kiarab imeleta gumzo siyo tu Marekani bali hata huko Mashariki ya Kati
View: https://x.com/BrotherRasheed/status/1905384323274211765?t=wnKt8AlMKCPPffYpOKnp0A&s=19
Pete Hegseth got a new tattoo in Arabic. Here's what it means
The Defense Secretary's new tattoo was publicly visible for the first time on Wednesday.www.newsweek.com
Secretary of Defense Pete Hegseth's 'kafir' tattoo draws criticism. What does it mean?
New photos show that Hegseth has a tattoo in an Arabic word: 'Kafir.' What does that mean and what do critics say it's indicating?www.usatoday.com
Hahaha kweli kabisa wao si wanadhani wakiwaita wakristo hilo jina huwa inawauma, sasa kitendo cha wakristo kulikubali na kujiita wenyewe ni kiashiria kwamba haiwaumi, kitu ambacho ni kinyume na matarajio yao hivyo inawafanya waonekane wapumbavu tuWaarabu wameumia...!
Wanataka wao ndiyo wakuite wewe Kafir, ukijiita Mwenyewe hawapendi, unakua umewadharau.
Kuanzia Leo na Mimi ni Kafir.
Umesoma wapi au ushabiki ? Unaposema Manaswara (watu waliyeletewa mtume wakamuita Mungu) wayahudi ni watu wa kitabu ...Soma Qur an Miongoni mwao wapo wema basi wote Makafiri..Unabishana na Quran na Hadith? Mbona unaona wivu Manaswara na Wayahudi wakijiita Makafir? Basi na wewe kuwa Kafir ufurahi
Umeona eeh! Sio neno zuri sema ni vile watu hwajui kuchambua ...Makafiri walikuwa ni wale maadui wa waislamu ,yaani wanapiga vita uislamu wazazi ila mkristo au Myahudi anayefuata mishe zake bila kuwaudhi waislamu au kuwapiga vita basi hawezi kuwa Kafiri.Huko South Africa linatumika kuwaita watu weusi.