Soma Qur an nzima then onesha sehemu imetaja wote ni Makafiri ,mbona kuna neno murtad ,... Unatakiwq kusoma chanzo cha Qur an .Hii ya kusema kafiri n yule anayempinga Mungu mnaiweka kinafiki tuu, Waislamu semeni tuu anayempinga mudy na Uislamu ndio kafiri na sio kumpinga Mungu
Nimwtafuta dhima ya andiko laki zaidi ya propaganda za kidini sijaonaWaziri wa Ulinzi wa Marekani mwenye utata Pete Hegseth amejichora tatoo ya neno Kafir kwa kiarab kwenye mkono wake wa kulia. Akimaanisha yeye hamuamini Allah
View attachment 3286173View attachment 3286175
Pete anajulikana kwa kupenda kwake tatoo ambazo amejichora kwenye mwili wake. Lakini tatoo aliyojichora karibuni ya neno Kafir kwa Kiarab imeleta gumzo siyo tu Marekani bali hata huko Mashariki ya Kati
View: https://x.com/BrotherRasheed/status/1905384323274211765?t=wnKt8AlMKCPPffYpOKnp0A&s=19
Pete Hegseth got a new tattoo in Arabic. Here's what it means
The Defense Secretary's new tattoo was publicly visible for the first time on Wednesday.www.newsweek.com
Secretary of Defense Pete Hegseth's 'kafir' tattoo draws criticism. What does it mean?
New photos show that Hegseth has a tattoo in an Arabic word: 'Kafir.' What does that mean and what do critics say it's indicating?www.usatoday.com
Dawa imekuingia. Vumilia tuNimwtafuta dhima ya andiko laki zaidi ya propaganda za kidini sijaona
Inakuathiri au kukuhusu vp haijulikani.
Yako mengi ya kuangazia huu niudaku sawa na kuchapisha habari za mahusiano ya majirani zako.
Haya ni maneno yako tu. Hayana msingi katika hadith wala quran. Mayahudi na Wakristu wote ni makafir na maandiko yenu yanahimiza muwaueUmesoma wapi au ushabiki ? Unaposema Manaswara (watu waliyeletewa mtume wakamuita Mungu) wayahudi ni watu wa kitabu ...Soma Qur an Miongoni mwao wapo wema basi wote Makafiri..
Hauwezi kuwa na akili ukamuitwa kilw ni kafiri ,soma Qur an na Terekhe ,moja kati ya Makafir ni Abuulab ,huyu alibashiriwa moto kabisa...Kila kuliko tajwa kafiri basi kun jambo baya walitenda dhidi ya uislamu na Waislamu.
Unajua waarabu ndiyo makafiri wakubwa kutokana na makabila yao?
Soma hizi ayah mbili kwanza.Haya ni maneno yako tu. Hayana msingi katika hadith wala quran. Mayahudi na Wakristu wote ni makafir na maandiko yenu yanahimiza muwaue
Wakristo wanamuamini Mungu ila labla hawamwamini Muhammad/Uislamu, sasa inakuwaje mnawaita wakristo ni makafiri wakati wanamuamini Mungu?Soma Qur an nzima then onesha sehemu imetaja wote ni Makafiri ,mbona kuna neno murtad ,... Unatakiwq kusoma chanzo cha Qur an .
Suratul Munafik imeeleza unafiki wa waarabu na makabila yao ,makafir wengi ni miongoni mwa makabila ya waarabu ...Waliotaka kuvunja kaabah..
Surat Al-Bayyinah (98:6)Soma hizi ayah mbili kwanza.
Sura Al-Maidah (5:82)
"Hakika utawakuta walio maadui zaidi kuliko watu wengine kwa walioamini ni Mayahudi na washirikina. Na hakika utawakuta walio karibu zaidi kwa mapenzi kwa walioamini ni wale wanaosema: Sisi ni Manasara. Hiyo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na watawa, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi."
Sura Al-Imran (3:113-115)
"Si sawa wote. Miongoni mwa Watu wa Kitabu wapo umma ulio simama wima, wanasoma Aya za Mwenyezi Mungu nyakati za usiku, nao wanasujudu. Wanamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, na wanaamrisha mema na wanakataza maovu, na wanafanya haraka katika mambo ya kheri. Hao ndio miongoni mwa watu wema. Na kheri yoyote wanayo ifanya basi hawatanyimwa malipo yake. Na Mwenyezi Mungu anawajua wachamngu."
Miongoni mwao wapo watu wazuri sio kila Myahudi ya Manaswara alikuwa akipingana na Qur an na kumpiga vita Mtume .
Nahisi una tatizo unajua wayahudi na manasara ni watu gani kwanza ?Surat Al-Bayyinah (98:6)
"Hakika wale waliokufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina watakuwa Motoni humo milele. Hao ndio viumbe waovu kabisa."
Surat At-Tawbah (9:30)
"Na Mayahudi wanasema: 'Uzair ni mwana wa Mwenyezi Mungu,' na Wakristo wanasema: 'Masihi ni mwana wa Mwenyezi Mungu.' Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao; wanayaiga maneno ya wale waliokufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!"
Surat Al-Ma'idah (5:72)
"Kwa hakika wamekufuru wale waliosema: Hakika Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryam, hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu na Mola wenu. Hakika anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, basi Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na makaazi yake ni Motoni. Na madhalimu hawatakuwa na wa kuwanusuru."
Surat Al-Ma'idah (5:73)
"Hakika wamekufuru wale waliosema: Mwenyezi Mungu ni watatu katika utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na wasipoacha waliyo yasema, hapana shaka itawashika adhabu iumizayo wale walio kufuru miongoni mwao."
Tatizo unalo wewe.Nahisi una tatizo unajua wayahudi na manasara ni watu gani kwanza ?
Sioni logic zaidi unajifunga ,una maanisha hakuna mayahudi au manasarah wema?
Nimekuambia Makafiri' wengi nu miongoni mwa makabila ya waarabu ,wayahudi na manaswara hawana uhusiano wa moja unless atakuwa kafiri kama atakataa na kupingaManeno ya mwenyezi Mungu...Tatizo unalo wewe.
Umesema Makafir siyo Manaswara (Wakristu) wala Wayahudi ukatoa ushahidi toka kwenye Quran.
Na mimi nimekuonesha toka kwenye Quran kuwa hao unaosema siyo makafir ndiyo Makafir wenyewe kwa mujibu wa Quran hiyo hiyo ana aya nimekuwekea hapo.
Ukichora unafukuzwaJeshi letu vipi, tattoo zipo kwa wajeda
Kama unapingana na aya za Quran. Ngoja nikuacheNimekuambia Makafiri' wengi nu miongoni mwa makabila ya waarabu ,wayahudi na manaswara hawana uhusiano wa moja unless atakuwa kafiri kama atakataa na kupingaManeno ya mwenyezi Mungu...
Wewe ulikuwa unajua kila Myahudi na manaswara ni kafiri 🤣🤣Somq vizuri hayo maneno ni zama , wengi Walikuwa waislamu walikuwep mpaka Makkah pala basi kama ulikuwa unajua kila Myahudi au Manasara alipotoka ,walikuwa na misimamo yako enzi za ujahili ila wengi wengine walisoma wakawa waislamu ..
jidandanye wakati unavuta pumzi yakeAllah is a hoax.
Unajichetua tu hujui ...Wayahudi wapo waislamu hata manasara baadh walibadilika..Kama unapingana na aya za Quran. Ngoja nikuache
Nimekuwekea aya hapo zinazowaita Manaswara na Mayahudi ni Makafir na unakataa.... Ndiyo maana nilikuuliza unaona wivu wao wakiitwa Makafir?Unajichetua tu hujui ...Wayahudi wapo waislamu hata manasara baadh walibadilika..
Wewe ndiye unapingana na Qur an.
Mbona nimekupa ayah kwamba miongoni mwao wako wema .Nimekuwekea aya hapo zinazowaita Manaswara na Mayahudi ni Makafir na unakataa.... Ndiyo maana nilikuuliza unaona wivu wao wakiitwa Makafir?