Waziri wa Usalama wa Israel afanya sala katika eneo takatifu la al-Aqsa. Awaudhi Wapalestina

Waziri wa Usalama wa Israel afanya sala katika eneo takatifu la al-Aqsa. Awaudhi Wapalestina

Safari ya kwenda mbinguni ilianzia "baytu Al-muqaddas" kwenda mbinguni huko ndiko alipozungumza na Allah moja kwa moja na kupewa amri ya Swala 5

Ilikuwa safali ya kwenda na kurudi na Uislamu unafundisha kuwa Yesu nae atarudi na ndiyo dalili kubwa za (kiyama)siku ya mwisho

na atapambana na (Masih dajjal)Masih wa uwongo ndiyo maana huwa nawashangaa waislam wanaomtukana "Yesu" kwa kigiriki "Lesous" na kwa Kiarabu "Isa" wanafanya hayo kwa ujinga.
Nani alishuhudia hiyo safari ikifanyika?Na nani aliwaambia kuwa al aqsa iko Jerusalem kwa kufuatilia maana halisi ya neno al aqsa?
 
Back
Top Bottom