Waziri wa Utalii, una kazi kubwa sana

Waziri wa Utalii, una kazi kubwa sana

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Waziri wa Utalii (simfahamu kwa jina) una kazi kubwa kukuza utalii nchini. Njoo na strategy na products za nyongeza kwenye utalii (eg. Sports, conference, medical, religious tourism) kujazia zilizopo hizi za wildlife, beach na mountain climbing/view.
#Royal tour imekusogeza kwenye kutumbuliwa mchana peupe
 
Ilani ya CCM ni kuwa na watalii 5 Mil by 2025

Hata wapike data namna Gani, hawatafika hiyo namba.

Muda ni huu, wa kufanya maamuzi magumu, na kutenda... Tayari Rais ameonyesha njia, !

Inatakiwa Waziri wa Utalii, akutane na wadau wa Utalii, Tour Operator, na TANAPA, halafu kuwe na uamuzi...

Utalii ni biashara, na inayo fursa nyingi

Utalii unayo ushindani mwingi
 
Tatizo Waziri anawaza semina kuliko kufanya kazi (posho mzee)
 
Rwanda wamekamatia conference na sports tourism. Na wanaenda vzr
 
Wamrudishe Nyarandu anaweza promo au wampe Bashe malengo yataenda sawa au hata Nchimbi matokeo yataonekana.
 
Halafu sisi mkutano muhimu wa siku ya wanahabari Duniani.
Uliowakutanisha wanahabari kutoka pande zote Afrika jijini Arusha, tunaupeleka Gran Melia hotel badala ya AICC ili kuutangaza ukumbi wetu maarufu kimataifa.
 
Wamrudishe Nyarandu anaweza promo au wampe Bashe malengo yataenda sawa au hata Nchimbi matokeo yataonekana.
Pale panataka mtu mwenye exposure
 
Waziri wa Utalii (simfahamu kwa jina) una kazi kubwa kukuza utalii nchini. Njoo na strategy na products za nyongeza kwenye utalii (eg. Sports, conference, medical, religious tourism) kujazia zilizopo hizi za wildlife, beach na mountain climbing/view.
#Royal tour imekusogeza kwenye kutumbuliwa mchana peupe
Kashatolewa
 
Back
Top Bottom