Tatizo Waziri anawaza semina kuliko kufanya kazi (posho mzee)Ilani ya CCM ni kuwa na watalii 5 Mil by 2025
Hata wapike data namna Gani, hawatafika hiyo namba.
Muda ni huu, wa kufanya maamuzi magumu, na kutenda... Tayari Rais ameonyesha njia, !
Inatakiwa Waziri wa Utalii, akutane na wadau wa Utalii, Tour Operator, na TANAPA, halafu kuwe na uamuzi...
Utalii ni biashara, na inayo fursa nyingi
Utalii unayo ushindani mwingi
Halafu sisi mkutano muhimu wa siku ya wanahabari Duniani.Rwanda wamekamatia conference na sports tourism. Na wanaenda vzr
Hata January Makamba anaweza kufanya Mapinduzi makubwa kwenye nafasi hiyo.Pale panataka mtu mwenye exposure
KashatolewaWaziri wa Utalii (simfahamu kwa jina) una kazi kubwa kukuza utalii nchini. Njoo na strategy na products za nyongeza kwenye utalii (eg. Sports, conference, medical, religious tourism) kujazia zilizopo hizi za wildlife, beach na mountain climbing/view.
#Royal tour imekusogeza kwenye kutumbuliwa mchana peupe